mmoja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Jaji Chande et al, mnasikiliza upande mmoja mnatoa hukumu bila kuwapa upande mwingine haki ya kusikilizwa while they are available to cross examine

    Probative value ya mahojiano/ ushahidi wenu na so called mliwahoji iko wapi bila kusikiliza upande mwingine! Nilisema mnajiletea aibu mkiwa retired Chief Justices
  2. M

    JamiiForums Tanzania Media na wasanii Bongo ni wanafiki sana, walikufa watu wengi Oktoba 29, 2025 hamkupost, akifa mtu mmoja post kila kona

    Media na wasanii Bongo ni wanafki sana, walikufa watu wengi Oktoba 29, 2025 hamkupost, kafa mtu mmoja post kila kona halafu mnajiita nyie ni vioo vya jamii. Nyie ni vioo vya jamii gani? Mbona hiyo jamii haiwatambui kama vioo, kwanza vioo mmetoa wapi, unafki tu
  3. JamiiForums Tanzania Usikubali abiria wako wabaki bila charge safari nzima!

    πŸš—βš‘ KWANINI ABIRIA WAKO WAKOSE CHARGE? Usikubali abiria wako wabaki bila charge safari nzima! Jipatie Car Fast Charger inayoweza kucharge hadi simu 6 kwa wakati mmoja πŸ”₯ πŸ”Œ Type-C + USB (Fast Charging) πŸ“ Cable ndefu – inafika hadi siti za nyuma πŸ’‘ LED ya kisasa inayovutia πŸ‘¨β€πŸ‘©β€πŸ‘§β€πŸ‘¦ Inafaa kwa dereva...
  4. JamiiForums Tanzania ARUSHA: Mmoja akamatwa akituhumiwa kumfanyia ukatili Mtoto

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linamshikilia mtu mmoja aitwaje Johnson Jonas mkazi wa Matejoo Jijini humo kwa tuhuma za kumpiga mtoto mwenye umri wa miaka kumi na tatu kufuatia picha mjongea inayosambaa katika baadhi ya mitandao ya kijamii ikionesha tukio hilo. Akitoa taarifa hiyo, Kamanda wa...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali iongeze Watumishi wa Afya, Wilaya ya Mlele, Kitengo cha Mionzi, kuna mtumishi mmoja tu

    Mimi ni Mwananchi kutoka Katavi Wilaya ya Mlele naomba Serikali iongeze Watumishi Idara ya Afya Kitengo cha Mionzi, kwani kuna Mtumishi mmoja tu naye anapitia changamoto za ajali ya mguu, hivyo Wananchi wanakosa huduma kwa wakati. Kibaya zaidi kuna Zahanati Inyonga B na Zahanati Ilunde na...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kimara: Polisi walingilia kati kumuokoa aliyepigwa na Wananchi kwa kudaiwa kupoteza nyeti za mtu Mwanaume mmoja

    Jeshi la Polisi limelazimika kuwahi eneo la tukio na kuingilia kati taharuki iliyojibuka Kimara Mwisho, Wilayani Ubungo Mkoani Dar es salaam jioni hii baada ya Wananchi wa eneo hilo kumpiga Mwanaume mmoja anayedaiwa kupoteza sehemu za siri za Mkazi mmoja wa Kimara baada ya kumshika begani...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Matosa - Goba (Dar) eneo la Shule ya Msingi More Light hakuna maji mwezi mmoja sasa

    Wakazi wa Matosa - Goba DSM, hususan eneo la Shule ya Msingi More Light, tumekumbwa na changamoto kubwa ya ukosefu wa maji kwa takribani mwezi mmoja sasa. Kila tunapouliza, tunaelezwa kuwa bomba linaloleta maji kutoka Uzalamoni limeharibika, hata hivyo, inashangaza kuona kuwa bomba hilohilo...
  8. JamiiForums Tanzania KERO Ninaponunua umeme na kukatwa 3% ya REA na 18% ya VAT si ni sawa na kulinipisha kodi mara 2 kwa kitu kilekile?

    Unaponunua umeme unakatwa Kodi ya Ongezeko la Thamani ambayo ni Asilimia 18 ya pesa uliyotoa, kisha TANESCO wanakukata 1% wanasema ni hela ya EWURA, baada ya hapo . TENA unakatwa 3% eti pesa ya REA. Je, kwa nini mlaji anaigharimikia Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) na...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Mmoja wa rubani wa ndege ya Marekani iliyotunguliwa na Iran aokolewa akiwa mzima

    One of two US pilots in the F-15 fighter jet which went down in Iran has been rescued by American forces, NBC News reports. The two-seater plane went down over Iran earlier today, our US partner network reported earlier, citing two American officials. A US official now tells NBC one of the...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Zaidi ya mwezi mmoja sasa mfumo wa vibali vya kazi (OWAIS) haufanyi kazi. Nini shida?

    Watu wa nje wanaotaka kupata vibali vya kazi siku hizi wanapata changamoto kubwa. Zaidi ya mwezi mmoja sasa mfumo wa vibali vya kazi (OWAIS) haufanyi kazi. Hii ina maana kwamba maelfu ya watu wa nje wanasubiri mpaka watakapoweza tena kuanza au kuendelea na kazi kihalali. Hii ishu sio kero tu...
  11. M

    JamiiForums Tanzania wakamaria maarufu hupata pesa kupitia codes na referral links, haijalishi mkeka umetiki au umechanika, usijidanganye kuwa mpo boti moja.

    Betting Codes Mkamaria anasuka mkeka wake kisha anashare betting codes za mkeka huo, mfano 72HD82. Wateja wengine hawahitaji kusuka mkeka kutoka mwanzo; wanachagua tu code, na mkeka unajisuka moja kwa moja. Ukiweka dau, mkamaria hupata sehemu ya asilimia fulani, mfano 4%. Kwa mfano, ikiwa watu...
  12. JamiiForums Tanzania Ashinda milion 30 aapa kuwa tajiri ndani ya mwaka mmoja

    Jamaa kashinda bet kaamua kununua zake bajajj, toyo na boda zake mbili.. anaona maisha kayapatia kishenzi.. anasema tumpe mwaka mmoja tu atakuja kutuajiri kwenye kampuni yake.. watu wazima wanamcheka tu, wanamwambia maisha siyo rahisi hivyo..sasa ninajiuliza dogo amekosea wapi?
  13. JamiiForums Tanzania BAKWATA: Kila mmoja anapaswa kupata funzo kwa kilichotokea Oktoba 29, 2025

    Salamu za BAKWATA katika baraza la Eid El Fitr zilizotolewa na Katibu Mkuu wa BAKWATA, Alhaj Nuhu Jabir Mruma
  14. JamiiForums Tanzania Kuna jamaa mmoja wa bodaboda hapa mtaani namchapia mke wake Sasa nahisi kama ameanza kujua

    Kifupi yaani huyu demu katokea kunielewa code ninazopiga sababu ni pamba Kali na kunukia pafyumu nzuriMimi ni mtaalamu sana wa kupangilia pamba Sasa huyu jamaa yeye kuva hajui na pesa Hana Sasa mke wake hua namchapia gesti Sasa Leo Kuna jicho kaniangalia nimepishana nae yeye alikua kwenye...
  15. JamiiForums Tanzania Chelsea yafungiwa kusajili wachezaji kwa mwaka mmoja na kutozwa faini ya Pauni milioni 10.75 na Premier League

    Klabu ya Chelsea yafungiwa kusajili wachezaji kwa kipindi cha mwaka mmoja, pamoja na kutozwa faini ya Pauni milioni 10.75 na Premier League kufuatia ukiukwaji wa kanuni za kifedha uliotokea wakati klabu hiyo ikiwa chini ya umiliki wa Roman Abramovich. Adhabu hiyo pia inajumuisha marufuku ya...
  16. JamiiForums Tanzania Mwaka Mmoja wa Bodi ya Ithbati Waandishi wa Habari: JAB Yafanya Makubwa, Yasajili Waandishi Zaidi ya 3,000 Wakati Enzi za Maelezo, Hawakufika 1,000!

    Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo. Mwezi huu wa March, mwaka 2026, Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari nchini Tanzania, JAB, imetimiza mwaka mmoja tangu kuzinduliwa kwake, ambapo Bodi ilizinduliwa rasmi tarehe 3 March, mwaka 2025, hivyo kufikia tarehe...
  17. Q

    JamiiForums Tanzania John Heche: Hakuna sheria inayozuia mtu kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine ndani ya Tanzania. Ni Udikteta.

    Nchi hii hakuna sheria wala utaratibu wa polisi kupangia mtu aende wapi, au asiende wapi.. Polisi Tanzania hawana mamlaka kisheria wala kikatiba kuingilia uhuru wa watu kwenda wanapotaka wao wenyewe.. Polisi Nchi nzima wameweka barriers wanakamata viongozi na wanachama wa Bawacha waliokua...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Hizo propaganda zina mwisho wake mmoja au wawili lazima anywe kikombe

    Kumekuwa na storie niseme propaganda zikiongozwa na mtu mzima Rais wa Marekani huku zikijibiwa kwa vitendo na Iran Wenye akili walishajua kuna mtu alikuwa anajazwa kwenye mfumo naye kajaa kisawasawa kituo kinachofwata Israeli inaenda kufutwa kwenye Uso wa dunia na Marekani atapoteza kambi zake...
  19. JamiiForums Tanzania Wabobevu wa maandiko ni nini maana ya kuwa mwilini mmoja?(Mwanzo 2:24)

    Mwanzo 2:24 [24]Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja. Therefore shall a man leave his father and his mother, and shall cleave unto his wife: and they shall be one flesh. Nimeweke na tafsiri ya kiingereza ili ilete maana yenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…