hii sofa ni balaa
inanesa nesa tu ina spring
yaan bado ina hata karatasi kwenye hizo gold
ni full white lether afu ngumu
ni L shaped na ina sehemu za kuchajia simu
bei yake mpya kabisa ni 650000 au 700000
mimi hii nimeitumia karibia mwezi mmoja tu
utaipata kwa 500,000
mahari
Dar es...