mmoja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Shetani wako wengi, hayuko mmoja na wanapingana

    Mwaka 2022 ni mwaka ambao sitaka niusahau hivi vyote navyoandika huku jamiiforums ikiwemo na huu uzi wa sahivi niliuandaa mwaka 2022 (Kuna mambo mengi sana sijaandika sababu nitazua taharuki) mfano au baadhi ya mambo ambayo niliyaandika mwaka 2022 na nimesha-share huku ni kama yafuatayo;-...
  2. JamiiForums Tanzania Msimu wa 2025/2026 Azam au Simba mmoja atakuwa Bingwa

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Kwanini Nasema Azam au Simba mmoja wapo atakuwa Bingwa Msimu huu? 1.Kocha Fadlu Davis amekuwa kocha wa Simba huu unaelekea msimu wa pili;mazingira ya ligi Kuu tayari keshayajua,tayari kesha tambua na kufahamu kikwazo Cha yeye kutochukua Ubingwa kilikuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Ali Kamwe hongera sana kwa Kuoa ila umehakikisha kuwa Boss wako Mmoja mharibifu hadi kwa Wake za Wachezaji hatopita pia na Mkeo huyu Mrembo?

    Uzuri wetu wengine Wachezaji wako ni Marafiki zetu na hawatufichi jambo. Boss hapendi vitu vizuri vizuri vimpitie mbali.
  4. JamiiForums Tanzania Wale tunao struggle kila mmoja amuulize "dingi" yake kua alikua wapi hizi royal families za nchi zikiwa zinaandaa mazingira ya kula keki ya taifa

    Niko hapa naangalia hii mikeka ya chama Cha tawala forever, halafu wakati naangalia hapa huku nikiwa nacheka kwa uchungu naskia nyimbo ya mwamba Profesa Jay na Stamina Embu kila mtu anae struggle amuulize mzee wake leo na kila mtu aweke jibu hapa, kwamba wakati ule Hawa wanawekwa mazingira ya...
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Familia ya Kikwete yakosa upinzani CCM mbio za ubunge majimbo ya Mchinga na Chalinze

    Kufuatia majina ya waliopitishwa na uongozi wa juu wa ccm pale Dodoma. Jimbo la Mchinga kapita mama Salma Kikwete pekee hana mpinzani. Jimbo la Chalinze kapita Ridhiwani Kikwete maana hakuna aliyejitokeza kuchukua form. Hakika huu ni uthibitisho kuwa hawa wabunge waliwatumikia wananchi wa...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemteua CPA Charles Mhando Njama Kaimu Meneja Mkuu wa Barrick Tanzania, kuwa mmoja wa wagombea wa nafasi ya Ubunge Korogwe

    Jina: Charles Mhando Njama Cheo: Kaimu Meneja Mkuu – Barrick Tanzania Utaaluma: CPA (NBAA), MBA – Mzumbe University Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo: Korogwe Mjini Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemteua rasmi CPA Charles Mhando Njama, Kaimu Meneja Mkuu wa Barrick Tanzania, kuwa mmoja wa...
  7. JamiiForums Tanzania Je Chung Ju Yung, mwanzilishi wa Hyundai aliyeuza ng'ombe mmoja wa baba yake ili kupata nauli ya kuhama Korea Kaskazini

    Chung Ju Yung: Mwanzilishi wa Hyundai na Mfano wa Mafanikio Je Chung Ju Yung (1915–2001) alikuwa mfanyabiashara wa Korea Kusini ambaye alibadilisha historia ya uchumi wa taifa hilo kupitia uanzishaji wa Hyundai Group. Anaenziwa kama moja ya nguzo muhimu za “Miracle on the Han River”—kuinuka kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Wakuu zinaa sio dili tulia na wako mmoja anatosha ona wenzetu anavyoyeseka

    Sijui gonjwa Gani hili limembutua kwa starehe ya siku moja
  9. JamiiForums Tanzania David Kafulila: Ni ngumu kujenga Demokrasia kwenye nchi masikini

    Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila anasema, Akirejelea Utafiti unaosema kwenye nchi ambazo watu wake wanakipato chini ya DOLA 1,000 Kwa mwaka zinaweza kuishi kidemokrasia si zaidi ya Miaka 10 tu na baadae kuangukia kwenye Tawala nyingine zisizo za...
  10. JamiiForums Tanzania Mtangazaji Maryam Rachuo wa Coco FM: Kama uko na mke mmoja, ongeza wa pili ili udumu na huyo mwanamke uliye naye

    ''Ukiwa nae huyo huyo tu Mmoja ndani ya Siku 91 ukiwa nae utaanza Kumchoka na kumuona wa kawaida ila ukiwa na mwingine wa Pili utakuwa na muda wa Kujigawa katika kuwa nao Kimapenzi na hii itakufanya Usiwachoke bali sasa uwe unatamani kupata Vitu vipya kutoka Kwako kwao ni lazima tu wakishajijua...
  11. JamiiForums Tanzania WAISLAMU WANARUHUSIWA KULA NGURUWE KWA MAZINGIRA HAYA

    Baadhi ya wanazuoni na maulamaa katika dini ya kiislam wanasema mtu anaweza kula nyama ya nguruwe endapo mtu atakuwa katika mazingira ambayo hakuna chakula cha aina yeyote zaidi ya nguruwe, apa mja anaruhusiwa kula nyama iyo kwa lengo la kupoza njaa na kujiepusha na kifo. Maana katika maandiko...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Dk Muchunguzi: Mwaka 2020 Polepole alisimamia mgombea mmoja CCM, waliotaka kugombea walifukuzwa

    Mchambuzi wa masuala ya siasa, Dk Dennis Muchunguzi amekosoa kauli za aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole kuhusu uteuzi wa Rais Samia kuwa mgombea pekee aliyepitishwa na mkutano mkuu wa CCM, Januari 19, akisema ni utaratibu wa CCM kwa rais anayegombea awamu ya pili kuwa...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Dk Muchunguzi: Mwaka 2020 Polepole alisimamia mgombea mmoja CCM, waliotaka kugombea walifukuzwa

    Mchambuzi wa masuala ya siasa, Dk Dennis Muchunguzi amekosoa kauli za aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole kuhusu uteuzi wa Rais Samia kuwa mgombea pekee aliyepitishwa na mkutano mkuu wa CCM, Januari 19, akisema ni utaratibu wa CCM kwa rais anayegombea awamu ya pili kuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Wana CCM tusisikilize chochote hata kama tulikosea, Mgombea wetu ni mmoja tu

    1 Ni ukweli tulikiuka katiba yetu wenyewe kwenye kuteua Mgombea wetu pale Dodoma. Ila tujikaushe tu hili nalo lipite 2. Tukisema tunarudia mchakato aisee Itakua aibu Sana. Natanguliza shukrani. Insha'Allah mambo yatakaa sawa. Msajili punguza ujuaji kwenye hili. Utauponza
  15. B

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Sofa (L-shape) imetumika mwezi mmoja tu inauzwa

    hii sofa ni balaa inanesa nesa tu ina spring yaan bado ina hata karatasi kwenye hizo gold ni full white lether afu ngumu ni L shaped na ina sehemu za kuchajia simu bei yake mpya kabisa ni 650000 au 700000 mimi hii nimeitumia karibia mwezi mmoja tu utaipata kwa 500,000 mahari Dar es...
  16. JamiiForums Tanzania Wazalendo wasiruhusu kabisa Uhuni wa Dodoma kua Desturi , itaangamiza Taifa , MTU mmoja' anaweza mpitisha Mwanae 2030 kugombea Urais na asihojiwé !!

    Mkutano ulikua wa kumteua Makamo!!. Wahuni na Machawa wakiwa tayari wameshajipanga, Anaibuka MTU ,kama vipi TUMPITISHE hapahapa? Makofi na kelele vikawa vingi. Wakaibuka Machawa na Vilaza na wahuni wengi wengi kufanya Fujo za makofi na vigelegele. Lini Samia alichukua Fomu? Licha ya...
  17. JamiiForums Tanzania Mmoja kati ya hawa ni mwanasiasa mkongwe hapa Tanzania. Umemtambua?

    Wakuu, Kwani hii nayo inahitaji D mbili? Kwa sasa huyu ndo anatetemesha nchi. Chawa wakisikia jina lake wanakimbilia uvunguni.
  18. JamiiForums Tanzania Hivi kuna ulazima wa kutambulisha mchezaji mmoja mmoja au ni ulimbukeni tu.

    Unakuta mchezaji anatambuliwa kwa mbwembwe alafu uwanjani hamna kitu au analewa sifa mwisho anajiona bora kuliko wenzake mwisho wa siku kipaji kwishnei. Timu kubwa nyingi huwa hawana mbwembwe nyingi kama za bongo; wanasema tumesajili wachezaji watano wapya majina ni haya na haya ( wanataja list...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Ni wazi Kassim Majaliwa hatakuwa Waziri Mkuu ajaye, je Waziri Mkuu ajaye atahudumu muhula mmoja?

    Rais Samia anagombea muhula wa pili wa Urais wake na ndiyo muhula wa mwisho kwa kwa mujibu wa Katiba iliyopo. Kwa kuwa Majaliwa hagombei tena ubunge na kwa mujibu wa Katiba iliyopo Waziri Mkuu lazima awe ametokana na Wabunge wa kuchaguliwa, Rais Samia atalazimika kuchagua Waziri Mkuu mwingine...
  20. JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa Kenya na Uganda walioteswa wakiwa Tanzania wanadai fidia ya US$1 million kila mmoja wao

    Wanaharakati Hawa walifika Tanzania ili kuhudhuria kesi ya Mwenyekiti wa Chadema ikiwa inatajwa au kusomwa mahakamani. Hawakufanikiwa kufika mahakamani ila walikamatwa na watu wenye kusadikika ni Marisa wa vyombo vya usalama. Waliteswa sana na mwisho walitupwa kwenye mipaka ya nchi zao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…