mlima kilimanjaro

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dalton elijah

    TANZIA Watano wafariki Ajali Ya Ndege Mlima Kilimanjaro

    Helikopta ya kampuni ya uokoaji Kilimediair Aviation imepata ajali katika Mlima Kilimanjaro nchini Tanzania na kusababisha vifo vya watu watano, wakiwemo raia wa kigeni wawili, rubani na daktari. Ajali hiyo imetokea Jumatano ya Desemba 24 , katika eneo lililopo kati ya kilele cha Kibo na Barafu...
  2. Huihui2

    CDF, IGP na DG TISS wanastahili nishani ya Mlima Kilimanjaro

    Wakuu wa Vyombo vya dola IGP, CDF na DG TISS wanastahili kupata nishani ya juu kabisa ya Mlima Kilimanjaro kwa kuwa walifanikiwa kudhibiti mapinduzi ambayo yalianzishwa na magenge ya wahuni tarehe 29/ 10. Bila kazi yao pevu na tukufu, pengine leo tungekuwa tuna mgogoro kama wa Sudan
  3. B

    Dr. Mnyaka Sururu Mboro - Ni "Upuuzi" katika masomo ya historia jinsi Mjerumani "alivyogundua" mlima Kilimanjaro

    Ruka hadi yaliyomo Potsdam baada ya ukoloni "Upuuzi" katika masomo ya historia Mnyaka Sururu Mboro jinsi Mjerumani "aligundua" mlima Kilimanjaro https://m.youtube.com/watch?v=RctLtVYpIyc Mnyaka Sururu Mboro alizaliwa mwaka 1951 na anaishi Berlin. Yeye ni mwanaharakati wa Tanzania...
  4. R

    GE2025 James Mbowe aahidi Vijana Jimbo la Hai kufundishwa Kiingereza wakafanye kazi Mlima Kilimanjaro

    Zingatia hizo sera za Mgombea Ubunge kutoka Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kisha zingatia Mavazi aliyovaa ni ya Makamanda wa CHADEMA Jamaa kahama chama lakini bado itakadi za CHADEMA anatembea nazo hadi kwenye kampeni za CHAUMMA hii ni dharau tosha kwa CHAUMMA Baasi tuendelee kuzingatia...
  5. ze-dudu

    Naomba kumjua mbunifu wa hizi mbao hapa kileleni mwa Mlima Kilimanjaro

    Ubunifu wake unavutia sana hapo kileleni
  6. 4

    Rasmi katika mfungo wangu Mungu kanipa code ambayo inapatikana kileleni mwa mlima Kilimanjaro

    Amani ya Bwana ikawe juu yenu wana jf kila mmoja kwa imani yake . Nimekua kwenye maombi mazito sana juu ya taifa langu ,kuamukia leo Mungu wangu kanipa codes flani hivi ambapo itanibidi mimi mwenyewe kufika juu na kileleni mwa mlima Kilimanjaro. Naomba kujuzwa taratibu zote za kufuata ili...
  7. Prof_Adventure_guide

    Wafanyakazi wa Mlima Kilimanjaro: Jiungeni Sasa Kudai Haki Zenu Kisheria Kupitia Mountain Workers Advocacy Union (MWAU)

    Kwa muda mrefu, wapagazi, waongozaji na wapishi wa Mlima Kilimanjaro wamekuwa wakifanya kazi katika mazingira hatarishi, bila mikataba, bila bima ya afya, na wakikosa kinga ya kisheria – hali inayokiuka haki zao za msingi kazini. Kwa mujibu wa Employment and Labour Relations Act, 2004, Kifungu...
  8. Prof_Adventure_guide

    Haki kwa wapanda Mlima Kilimanjaro, kama wewe ni mdau soma na ushiriki

    We are going to lose the rights of mountaineers and the entire tourism industry in general. We are the Mountain Workers Advocacy Union (MWAU) — a powerful collective voice for porters, guides, and cooks on Mt. Kilimanjaro. We stand for dignity, justice, fair contracts, and safe working...
  9. Prof_Adventure_guide

    Ubinadamu Umefiwa Mlima Kilimanjaro – Ukimya wa Serikali, Manyanyaso ya Makampuni na Kilio cha Wapagazi

    Jamii nzima ya Tanzania na ulimwengu kwa ujumla mnapaswa kufunguka masikio, kufumbua macho na kusikiliza kwa makini kilio hiki kinachotoka kwenye mioyo ya wale ambao wamesahaulika – Wapagazi (porters), wapishi na magwiji wa milimani (guides) wa Mlima Kilimanjaro. Hawa ndio watu ambao kwa mikono...
  10. Prof_Adventure_guide

    Viongozi na Wanajukwaa: Tukipanda Pamoja Mlima Kilimanjaro, JamiiForums Itafika Kilele cha Heshima ya Afrika Mashariki

    Ni wakati muafaka kwa admins wa JamiiForums na distributors wake kuangalia mbele kwa jicho la kimaono (visionary approach) na kukubali kuwekeza – kifedha na kiuwezo – katika mradi wa kipekee na wa kihistoria: kuipandisha JamiiForums hadi kwenye kilele cha Uhuru Peak, Mlima Kilimanjaro. Kwanini...
  11. Prof_Adventure_guide

    Utalii wa Mlima Kilimanjaro: Hazina ya Taifa Inayoendelea Kupotezwa kwa Kutojengewa Mfumo Endelevu wa Kiuchumi na Kihistoria

    Mlima Kilimanjaro—maarufu kama "The Roof of Africa" ni zaidi ya kivutio cha kijiografia; ni iconic symbol of Tanzania's natural heritage na turathi ya kiulimwengu. Hata hivyo, pamoja na umuhimu wake wa kimazingira, kihistoria na kiuchumi, sekta ya utalii wa mlima huu inaendelea kukumbwa na...
  12. Prof_Adventure_guide

    Tembea Mlima Kilimanjaro – Safari ya Kuukumbuka Milele! ⛰️

    Je, umewahi kujiuliza hisia halisi za kusimama juu ya Afrika? Sasa ni muda wako! Tunakupeleka katika safari ya kipekee ya kupanda Mlima Kilimanjaro – "The Roof of Africa" – kwa mpangilio ulio professional, safe and unforgettable. ✅ Muongozo wa kitaalamu (Certified Mountain Guides) ✅ Mafunzo ya...
  13. Prof_Adventure_guide

    Ifahamu Hali ya hewa ya mlima Kilimanjaro na zones zake kwa ujumla

    Mlima Kilimanjaro ni mlima mrefu zaidi barani Afrika na unajulikana kwa utofauti mkubwa wa mimea na viumbe hai. Kuna maeneo tofauti ya uoto wa asili yanayopatikana katika mlima huu, ambayo yanaweza kugawanywa katika maeneo saba (zones): 1. Lower Forest Zone: Hapa ndipo panapokuwepo na miti ya...
  14. Prof_Adventure_guide

    Nimeandaa safari ya kupanda mlima Kilimanjaro kwa ajili ya wanaJF tu ambao wanavutiwa kufika kilele cha mlima

    Ndugu wanajamii, nataka kuwashauri tuungane pamoja katika adventure ya kupanda mlima Kilimanjaro! Gharama ya safari hii ni Shilingi 700,000 kwa kila mtu, na itafanyika mwezi wa sita. Tutatumia Marangu Route, ambayo ni the easiest way to climb Kilimanjaro. Safari hii itachukua siku 6, na itakuwa...
  15. Prof_Adventure_guide

    Hii hapa historia kamili ya mlima Kilimanjaro, soma kwa makini uielewe

    Mlima Kilimanjaro, ambao ni mlima mrefu zaidi barani Afrika, una historia yenye mvuto na thamani kubwa. Katika muktadha wa utafiti wa muda mrefu, Kilimanjaro inajulikana kama "Kilimanjaro" kutoka kwa neno la Kiswahili linalomaanisha "mlima wa wingu". History ya Kilimanjaro inategemea mazingira...
  16. Prof_Adventure_guide

    Fursa ya kupanda Mlima Kilimanjaro mpaka kileleni Uhuru Peak

    Wana jamvi mnaonaje kama mtakuwa tayari kuchangamkia fursa hii ya kutembelea mlima Kilimanjaro kwa gharama nafuu zaidi ambayo imeandikwa kwenye tangazo letu hapo chini! Changamkini fursa chap chap ili ukajionee kwa macho na kujifunza mengi zaidi kwa mwaka huu 2025 Kwa maelezo zaidi nicheki...
  17. TRA Tanzania

    Kilimanjaro: Ujumbe wa Kodi wenye picha ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan wafika kilele cha Mlima Kilimanjaro

    Bendera yenye nembo ya TRA na picha ya Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ikiwa na ujumbe wa kodi wa “TUWAJIBIKE kulipa kodi kwa hiari kwa maendeleo ya Taifa letu” imefika katika kilele cha mlima Kilimanjaro tarehe 09 Desemba, 2024, mlima mrefu kuliko yote...
  18. Prof_Adventure_guide

    Historia ya mlima Kilimanjaro

    Mlima Kilimanjaro Kilimanjaro ni jina la mlima mrefu kuliko yote barani Afrika. Mlima huo uko nchini Tanzania katika Mkoa wa Kilimanjaro. Una urefu wa mita 5,895 (futi 19,340). Hali halisi Kilimanjaro ni zaidi ya mlima tu, ni kama safu ndogo ya milima mitatu: Kibo, Mawenzi na Shira. Hiyo...
  19. TRA Tanzania

    Kilimanjaro: TRA yashiriki zoezi la kupanda Mlima Kilimanjaro

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) leo 5 Desemba, 2024 imeshiriki zoezi la kuanza kupanda mlima Kilimanjaro ambapo zoezi hilo linalenga kuadhimisha miaka 63 ya Uhuru wa Tanganyika lenye kaulimbiu ya "Twenzetu Kileleni". Maafisa wa TRA nane kutoka mikoa mbalimbali nchini wanapanda mlima Kilimanjaro...
  20. Cute Wife

    Mwenge wa Uhuru wafikishwa kwenye kilele cha Mlima Kilimanjaro, waimba Wimbo wa Taifa

    Wakuu, Mbio za mwenge zilihitimishwa tar 14, Oktoba na wakimbiza mwenge huo kutakiwa kukamilisha zoezi hilo kwa kufika katika kelele cha mlima huo pamoja na kuweka bendera ya taifa. Wajuba walikamilisha zoezi na hapa wanaimba wimbo wa taifa kwa uzalendo mkubwa uliotukuka! Pia soma: Rais...
Back
Top Bottom