Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.
Nenda Mkoa wa Geita ukajionee
Utekelezaji wa mradi wa REA awamu ya tatu mzunguko wa pili mkoani Geita umesitishwa bila sababu za msibgi na bila wakandarasi kujulishwa na mikataba tukiwa tumesainishwa.
Wananchi na wakandarasi huko wako wanakusubiri ukawape majibu na uelekeo wa mikataba na...
Akichaguliwa Advocate Moses Kalua nitawaona wana akili, ila akichaguliwa tu Msaliti Murtaza Mangungu nitaamini rasmi na kweli kuwa sisi wana Simba SC ni mbumbumbu (yaani hatuna akili) kabisa.
Haya kazi Kwenu wapiga kura kesho.
Mkuu wa majeshi ya ulinzi nchini jenerali Jacob John Mkunda amesema Tanzania ipo salama.
Jenerali Mkunda ameyasema hayo leo mjini Songea katika kikao cha kawaida cha makamanda wa vikosi kilichofanyika katika Brigade ya Kusini mjini Songea.
Mkuu wa magaidi ya Islamic state aliyekua amejificha kwenye pango Somalia, ameuawa na makomando wa Marekani, pia washirika wake kumi wamewahishwa huko peponi.
Poleni wenzetu humu JF ambao hutetea hawa magaidi kisa dini.
=======
US forces have killed an Islamic State leader, Bilal al-Sudani...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya Wapya 37, kuwahamisha vituo vya Kazi Wakuu wa Wilaya 48 na wengine 55 kubakia kwenye vituo vyao.
Kati ya Wakuu wa Wilaya hao 140, Wanawake ni 40 na Wanaume ni 100 ambao ni kama ifuatavyo:
A)...
Hii inaonyesha kuwa huenda katika Media zingine (ukiachana na TBC) huwezi kumpata Kiongozi mahiri au hawajaiva Kimaadili hivyo hawastahili kuteuliwa kuwa Wakuu wa Wilaya.
Sijafahamu lengo la SSH kumpeleka Katwale kuwa mkuu wa wilaya ya Chato.
Huyu ndugu ni mtaratibu, mpole, na aliwahi kufanya kazi NEMC kama mwanasheria, akajijenga kisiasa, akakubalika kweli kweli, ila Jiwe akawa anamtaka Kalemani ambaye alikuwa dhaifu kisiasa.
Ikasukwa zengwe, akapita Kalemani...
Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yanakuja hivi karibuni katika kuongeza ufanisi.
Mabadiliko hayo yanaweza yasiwe na tija au yakawa na tija, ila naamini mabadiliko hayo yakilenga kuvunja Baraza kumwondoa Waziri Mkuu yataleta ufa badala yake aachwe amalize miaka miwili ijayo.
Bado sioni Waziri...
Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Manyoni imetakiwa kuchunguza mauaji ambayo yamekuwa yakiripotiwa kutokea mfululizo pamoja na vitendo vya ushirikiana vinavyohusisha kufukua maiti na kuchukua nguo za ndani na baadhi ya vitu vya thamani.
Maagizo hayo yametolewa Januari 20, 2022 na Mkuu wa...
Ni Rish Sunak wa Uingereza
Source: Sky news
Hii kwa Tanzania na Afrika kwa ujumla haiwezekani
----
Waziri Mkuu wa Uingereza, Rishi Sunak amepigwa faini kwa kutofunga mkanda kwenye gari lililokuwa likitembea wakati akirekodi video kwa ajili ya mitandao ya kijamii.
Polisi wa Lancashire...
Viongozi wa dini wajifunze kwa nabii mkuu,kuisaidia jamii,Watu wanateseka na maisha
msijilimbikizie Mali
Neno liendane na matendo,msikalie kufukuzana makanisani kulinda maslahi yenu,saidieni watu,isaidieni jamii ipone
Ni wazi kwamba toka Tanzania ipate uhuru, Nabii Mkuu Mheshimiwa Dr Geor Davie wa Ngurumo ya Upako na Msemaji Mkuu wa Serikali na Ufalme wa Mungu hapa Duniani ndie mtu maarufu kuwahi kutokea katika mkoa wa Arusha.
Umaarufu na ushawishi wa Nabii Mkuu umefanya sasa hata wanasiasa wa mkoa wa Arusha...
This is ridiculous!
Ndio unavyoweza kusema!
Sophia mjema Katibu mwenezi wa CCM ameitaka Serikali yake ya CCM kugawa haraka vishikwambi Kwa walimu na ametoa wiki Moja Tu..
Anyway
Jacinda Ardern (42) amesema ataachia ofisi kabla haijavuka Februari 7, 2023 kwa kuwa anahisi hana nguvu ya kutosha kuendelea kushika madaraka hayo.
Ardern alikuwa kiongozi wa kwanza mwenye umri mdogo Mwanamke alipoteuliwa kushika nafasi hiyo akiwa na umri wa miaka 37 Mwaka 2017 kisha mwaka...
Nimekuwa nikipita humu mara kwa mara na threads nyingi zimekuwa zikimtakia au kumuombea mabaya Waziri wetu Mkuu mchapa kazi hodari mzalendo wa kweli asiyependa uzembe utokee popote, amekuwa akipigwa Vita na vya kimtandao wa kumuombea mabaya yamfike.
Nadhani pengine hili linatokea baada ya...
Leo tujikumbushe kwenye historia ya nchi yetu tangu tulipoungana na wenzetu wa Zanzibar mwaka 1964.
1. Ni watu wawili tu wamewahi kushika madaraka hayo zaidi ya mara moja ambao ni Edward Sokoine na Cleopa Msuya
Edward Sokoine akishika madaraka hayo mwaka 1977 mpaka 1980.
Kwa mara pili...
Ombi langu Kubwa kwenu kama GENTAMYCINE kwa mnaomuandaa huyo Waziri Mkuu Mwanamke (Mwanamama) ajaye wa mwaka 2025 (ambaye tayari Jina lake nimeshapenyezewa ila kamwe sitothubutu Kulitaja) ni kwamba mlindeni mno ili yale ya Deo na Chopper ya mwaka 2015 yasijirejee tena.
Na nasikia huenda hata na...
Hii haina uhusiano wowote na kikao cha Bunge kinachofuata.
Nilitaka kujua tu, hivi wabunge wetu hawa ambao wengi walipita kwa mgongo wa Hayati JPM, ikitokea mmoja 'miongoni mwao' anapigwa chini u PM halafu linapelekwa jina lingine, wanaweza kulikataa?
Maana wanasema mwenzako akinyolewa wewe...
Wana Simba SC wote (hasa Wanachama) mkikosea tena, mkarubuniwa na Kuhongwa Pesa za Msoga na Salamander na Kumrejesha tena Uongozini Murtaza Mangungu (Mwenyekiti anayemaliza muda wake) nitawadharau na nitaichukia Klabu Daima kwani nitaamini kuwa mtakuwa mmekubali Kuuhalalisha Ubingwa wa Yanga SC...
Habari za asubuhi
Siku zinakwenda, mambo mengi yanabadilika, watanzania wanabadilika lakini hatari ni kwamba mifumo na miongozo ya vyama vingi vya siasa inabaki ileile ya kufanya mambo kwa mazoea.
Hivi, viongozi wa vyama vya siasa pinzani mlishawahi kujiuliza ni nini kipya mnaweza ambia...