mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Gaming Act inaruhusu watu wazima kucheza kamari. Sasa mbona Waziri Mkuu anamzuia huyu jamaa?

    Waziri Mkuu amemuonya mtumishi wa umma kuacha kucheza kamari kwa kuwa muda wote ataliwa tu. Atachukua mikopo benki na bado ataendelea kuliwa ambapo ataingiwa na msongo wa mawazo. Amempata kazi mtumishi mwingine kumfuatilia mtumishi huyo
  2. Nigeria: Mahakama yatoa hukumu IGP kutupwa Jela miezi mitatu

    Mahakama Kuu ya Nigeria imetoa hukumu hiyo kwa kosa la kutotii amri ya Mahakama, uamuzi huo umetokana na kesi ya Afisa wa Polisi ambaye alifutwa kazi mwaka 1992, ambapo alipinga kustaafu kwake kwa kulazimishwa na kuachishwa kazi. Mahakama imeamua Inspekta Jenerali Usman Alkali Baba kuwa...
  3. J

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira (DAWASA) kuendelea kutafuta vyanzo vipya vya maji

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira (DAWASA) kuendelea kutafuta vyanzo vipya vya maji na kuviingiza kwenye mfumo. Amesema kuwa licha ya kuongezeka kwa kiwango cha maji kwenye mfumo wa uzalishaji na usambazaji, wasilale bali waendelee kuwatumia...
  4. RC Mwanza, RPC, Brela, TRA Mwanza. Hawa Matapeli wanapatikana hapa. Wakitumia vielelezo vyenu

    Nimeona bandiko la member mmoja akitahadhalisha kuhusiana na Ponze Scheme moja inajiita Champions Investments ltd. Inadai ipo Mwanza. Nami nimeomba Link ya kuingia kwenye group lao. Hawa jamaa ni matapeli. Ukiangalia Hata members wao wengi ni kutoka nchi flani flani kwa mujibu wa namba zao za...
  5. Baada ya Tarehe ya Uchaguzi Mkuu Simba SC kutangazwa, tegemeeni Simba SC Kushinda mfululizo hadi January 2023

    Baada ya tarehe ya Uchaguzi Mkuu wa Simba SC Kutajwa rasmi leo kuwa ni January 2023, tegemea kuanzia sasa kuiona Klabu ya Simba ikishinda tena kwa Kishindo kabisa Mechi zake zote. Ni kwamba karibu Wagombea Wote (Watamani Uongozi ndani ya Simba SC) ndiyo wamekuwa Wasaliti Wakuu wa Matokeo ya...
  6. Dk bashiru ndiye katibu mkuu kiongozi aliyedumu kwa muda mfupi zaidi,siku 37 tu!

    aliteuliwa tar 26 februali na kutumbuliwa tar 31 march! kwani mama alimuondoa haraka sana je alikuwa kirusi? kwa nini hakumpa muda hata wa mwaka mmoja kuna mahali huenda hawakuwa sawa hata kabla ya magufuli kurest in peace? je mama hakupendezewa na uteuzi wake? na hayo yanayotokea sasa msigano...
  7. TRC: Picha zinazosambaa ni za Mabehewa ya safari ndefu, mengine yatafika Juni 2023

    Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema mabehewa yote yaliyoainishwa kuletwa kwa ajili ya treni ya Reli ya Kisasa (SGR) yatakuja na kwamba yaliyoanza kuingia nchini ni ya safari ndefu. Wiki hii katika mitandao ya jamii kumekuwa na picha zikionyesha mabehewa yaliyoletwa sio yale yaliyoahidiwa...
  8. Alichosema Waziri Mkuu wa Italia kinaendana na Tanzania ya sasa hivi?

    Sina cha kuongezea, angalia mwenyewe kuanzia dakika 0:40 huyo ni Mkuu wa Serikali ya Italia, member of the EU, Tanzania ilifanya ziara rasmi Ufaransa na kusaini Mikataba kama blue economy, sasa hivi samaki (baharini) Tanzania wamekwisha wamevuliwa wote na foreigners, wamebakia kambale tu, anyway...
  9. J

    Moto wa Kabaka: Wajumbe mkutano mkuu UWT wamekubaliana kwa kauli moja Kabaka mitano tena

    KABAKA MITANO TENA MGOMBEA NAFASI YA MWENYEKITI UWT TAIFA Wajumbe kwa kauli Moja wamekubaliana kumchagua kwa awamu nyingine (MITANO TENA) ndugu Gaudensia Kabaka ili kuendeleza Yale mazuri aliyoyaanzisha ili yaweze kukamilika na kuyasimamia yale yaliyokamilika. Kauli hiyo imekuja siku chache...
  10. Malaysia: Mpinzani ateuliwa kuwa Waziri Mkuu baada ya Serikali kupoteza viti vingi Bungeni

    Mfalme Sultan Abdullah amelazimika kumteua Kiongozi wa Upinzani Anwar Ibrahim na kuhitimisha siku 5 za mzozo wa Kisiasa uliosababishwa na Kura zenye utata wa matokeo ya Uchaguzi Mkuu. Uteuzi wa Anwar unatajwa pia kumaliza miaka 30 ya mvutano wa kisiasa kati ya Serikali na Upinzani na kuweka...
  11. Mkuu Gaganiga

    Majobless, masikini na mnaoshi kwa shemeji zenu mko poa? Na wakerewe pia mko poa? Wakuu humu jf kuna lijamaa linaitwa gaganiga daah wakuu huyu jamaa ni mnyamwezi fulani iko pesa nyingi sana aisee mimi kwanza nilistaajabu baada ya kumuona nikajiuliza hilidaa chalii mbona ni cool? Nilikutana nae...
  12. Kwako Lusinde na Kenani; Dkt. Bashiru aliwahi kusema maneno haya akiwa Katibu Mkuu wa CCM. Je, hamkumuelewa enzi zile?

    KWAKO MH LUSINDE NA MH KENANI;DK BASHIRU ALIWAHI KUSEMA MANENO HAYA AKIWA KATIBU MKUU WA CCM,JE HAMKUMUELEWA ENZI ZILE!? Leo 17:50hrs 20/11/2022 1. "Nimekuta wizi wa kutisha kwenye chama chetu cha CCM na wengine nikiwataja hamtanielewa. Wanajifanya ni waheshimiwa kumbe ni wezi,mijizi,wameiba...
  13. Lamine Ndiaye anaweza kutangazwa kuwa Kocha Mkuu wa Simba

    Kwa mujibu wa taarifa mbalimbali, kocha wa Horoya anayemaliza mkataba wake, Lamine Ndiaye anaweza kutangazwa muda wowote kuwa kicha mkuu wa Simba. Ameshawahi kufundisha TP Mazembe, Cotton Sports, Leopards na hata Senegal National Team. Ngoja tuone kama watafikiana makubaliano na Simba.
  14. Zitto Kabwe: Mwambieni Waziri Mkuu "Watu wake hawawezi kumpenda kama wana hofu ya kupigwa na kutekwa"

    “Najua kuna Maafisa wa Usalama wa Taifa hapa kwenye Mkutano wetu Ruangwa, nawatuma wakamwambie Waziri Mkuu kuwa Zitto anasema maliza hofu Ruangwa. “Watu wako hawawezi kukupenda kama wana hofu ya kupigwa na kutekwa kwa sababu tu wako vyama tofauti na wewe,” - Zitto Kabwe akiwa Jimbo la Ruangwa...
  15. Waziri mkuu wa Uingereza bwana Sunak awasili Kyev, Ukraine

    Safi sana kuona Kyev inaendelea kupokea viongozi wakuu.... Ameahidi kuwapa Ukraine teknolojia za kupiga chini aina yoyote ya drones.... British Prime Minister Rishi Sunak made a surprise visit to the Ukrainian capital Kiev on Saturday for his first meeting with Ukrainian President Volodimir...
  16. Mkuu wangu Jokate huyu Mkandarasi mumemtoa wapi?

    Kuna Mkandarasi amepewa azibe viraka kwenye Barabara za Temeke ambalo ni jambo zuri sana, kwa sabababu ilishakuwa kero.. Jambo la ajabu kazidi kuyatanua mashimo halafu katokomea kusikojulikana katuachia adha kubwa kuliko hata ilivyokuwa awali. TARURA nao wanaona freshi tu hela zetu za Tozo...
  17. Waziri Mkuu mpya kutoka Kanda ya Ziwa ili kuinusuru CCM

    Lazima Waziri Mkuu mpya atoke Kanda ya Ziwa Ili kuinusuru CCM lazima Waziri Mkuu anayefuata baada ya Majaliwa atoke Kanda ya Ziwa. Sijasema Majaliwa atafukuzwa hapana me nasema baada ya Majaliwa Waziri mkuu ajaye anatakiwa kutoka Kanda ya Ziwa nafikiri nimeeleweka!
  18. Kama kweli Watanzania tupo makini na taifa letu, basi Mkuu wa Mkoa wa Tanga hastahili kuwepo ofisini

    Kama taifa tuna Mambo na vitu vingi vya kufanya lakini kwajili alilofanya Omary Mgunda aisee hapana huyu bwana arudi tuu kule kwenye Biashara ya mazao. Haiwezekani kijana Mdogo aliefanya jambo lake kishujaa na kiitifaki kama Taifa na serikali lishakubali na kumpa medani, Sasa katika kipindi...
  19. R

    Jaji Mkuu: Toeni taarifa dosari za mahakama zitatuliwe

    Ameyasema juzi katia ufunguzi wa majengo ya Mahakama huko Same/Mwanga. Kweli Mh. Jaji Mkuu, hujui dosari za mahakama zako? Hilo ulilolisema linatoka rohoni au unajikosha? watu wanaozea jela kwa kuonewa hasa wafuasi wa Chadema, nalo hulijui? La "wabunge" 19 wa mchongo nalo hulijui? Unaona...
  20. M

    Rais Zelensky wa Ukraine anaweza kuitumbukiza dunia kwenye janga la vita kuu ya dunia

    Rais Zelensky wa Ukraine ni mtu hatari sana!! Yuko tayari kuiingiza dunia kwenye vita kuu ya dunia ili mradi tu afanikiwe kuziingiza nchi zingine moja kwa moja zipigane na Urusi. Amekuwa akitafuta upenyo wa kufanya hivyo tangu mwanzo kabisa wa vita vya ukraine. Anaona haitoshi kupewa silaha na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…