mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu apewe maua yake changamoto ya wafanyabiashara Kariakoo

    Leo Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa amefanya jambo Kubwa sana namna alivyotatua Mgomo wa wafanyabiashara. Mambo makubwa nimejifunza kupitia mgogoro wa Leo Moja amekuwa sehemu ya wenye Tatizo, amekuwa mwalimu mzuri katika kufundisha namna ya kutatua migogori katika Jamii na Kubwa ameshirikisha...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa aibukia Kariakoo, azungumza na wa fanyabiashara

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amefika katika Soko la Kariakoo ambako wafanyabiashara wametangqza mgomo tangu asubuhi. Majaliwa amelazimika kuacha Bunge na kuja kwa dharura ili kuzungumza na wafanyabishara hao kwa lengo la kupata suluhu. Awali taarifa kutoka ofisi yake ilisema kuwa kiongozi hiyo...
  3. JamiiForums Tanzania Dkt. Ashatu Kijaji: Biashara Kariakoo zinaendelea, wafanyabiashara wametumia Demokrasia na Uhuru wao kufungua au kutokufungua

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la Bunge la 12 Mkutano wa 11, Kikao cha 25 leo Mei 15, 2023. WAZIRI MASAUNI: SERIKALI HAIJAJIRIDHISHA URAIA PACHA NI MATAKWA YA WENGI Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amesema “Bado Serikali haijajiridhisha kwamba uraia pacha ni takwa la...
  4. JamiiForums Tanzania Nafasi chache uwa hazitangazwi na ikulu au press yeyote wachache ndo tunazijua kulingana na unyeti. R.I.P mshauri Mkuu wa Rais Juu ya Usalama wa Taifa

    Bwana Bernard Camilius Membe, Mtu Maalumu kwa mikakati maalumu kwa lengo Maalumu (Mshauri mkuu wa masuala ya usalama wa Taifa na nchi kwa Jumla) Ni wachache watakao kuwa wanajua nafasi yake ilikuwa ipi Ila kwa kifupi nafasi Kama yake uwa hazitangazwi, zinatangazwa za mshauri mkuu wa masuala ya...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wabunge waanza mkakati wa kupiga kura kutokuwa na imani na Waziri Mkuu Majaliwa

    KUNA Tetesi zinaenea bungeni kuhusu wabunge kutaka kumwajibisha Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa baada ya kukithiri kwa vitendo viovu ndani ya Serikali na kama msimamizi mkuu wa SERIKALI hajachukua hatua zozote. Miongoni mwa wabunge wanadai suala la Mbarali lazima litang'oka na Waziri Mkuu...
  6. JamiiForums Tanzania Mawakili katika mkutano mkuu Arusha wasema sasa hawakamatwi ovyo kama enzi ya Magufuli, wamwaga kongole kwa Rais Samia

    #MauaYaSamia Mawakili wasomi wanaokutana Arusha mwaka huu 2023 wamekunwa na sera nzuri na tamu za SSH. Mawakili hao wamesema Sasa wanafanya kazi kwa Uhuru mkubwa na utawala wa sheria umetamalaki. Mawakili hao walionekana kukerwa kabisa na uongozi wa awamu ya tano. Mawakili ni moja ya makundi...
  7. K

    JamiiForums Tanzania DC wa Bariadi, Simon Simalenga anakaidi maagizo ya Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu

    Machi 13, 2023 Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, iliendesha Mafunzo ya uongozi kwa wakuu wa Wilaya wote nchi nzima, hii ni kutoka na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kufanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya. Mgeni rasmi katika ufunguzi alikuwa Makamu wa Rais Dkt. Phillip Mpango...
  8. K

    JamiiForums Tanzania DC wa Bariadi, Simon Simalenga anakaidi maagizo ya Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu

    Machi 13, 2023 Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, iliendesha Mafunzo ya uongozi kwa wakuu wa Wilaya wote nchi nzima, hii ni kutoka na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kufanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya. Mgeni rasmi katika ufunguzi alikuwa Makamu wa Rais Dkt. Phillip Mpango...
  9. JamiiForums Tanzania DOKEZO Kilakala: Mwalimu Mkuu anashirikiana na Mwenyekiti kuficha taarifa za ulawiti kwa Mwanafunzi

    Vitendo vya unyanyasaji wa kingono vimeendelea kushamiri katika nchi yetu na tunategemea jamii iwe na ushirikiano katika kupinga na kutokomeza uovu huu ili kuokoa jamii yetu. Katika hali ya kushangaza, mwanafunzi mmoja (jina linahifadhiwa) (KE) wa shule ya msingi Kilakala katika manispaa ya...
  10. JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango: Kuna Mawakili wanatuhumiwa kuchukua rushwa. Profesa Hoseah: Wimbi la Polisi na Vyombo vya Dola kukamata Mawakili ovyo limetulia

    Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili Tanganyika (The Tanganyika Law Society - TLS) unafanyika Jijini Arusha, leo Mei 11, 2023 ambao Makamu wa Rais, Dkt. Phillip Mpango ndiye mgeni rasmi katika shughuli hiyo. RC Mongella anatoa neno Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella amepata nafasi ya kutoa...
  11. JamiiForums Tanzania Huku kulialia kwa Waitara ni 'Presha' za Uchaguzi Mkuu 2025

    Mjadala umeibuka kuhusu tabia ya Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara kulia kila anapopata changamoto za utatuzi wa kero zake za kibunge, ambapo baadhi ya wanasaikolojia na wataalamu wa sayansi ya siasa; wakitilia shaka mtindo huo. Hata hivyo, akihojiwa na Wasafi FM leo Mei 10, 2023...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Msisitizo unaowekwa Mara kwa Mara na waziri mkuu na Makamu wa Rais kuwa waliotajwa kuhusika na ufisadi kwenye Ripoti ya CAG, una maana gani?

    Si chini ya Mara mbili kumsikia Makamu wa Rais na Waziri Mkuu kwa nyakati tofauti wakiweka msisitizo na mkazo juu ya waliohusika na ufisadi na waliotajwa na Ripoti ya CAG kuchukuliwa hatua kali za kinidhamu, kiuwajibikaji na kisheria. Je, msisitizo huo wa Mara kwa Mara una maana ipi hasa? Nina...
  13. JamiiForums Tanzania Hofu yatanda mji mkuu wa Moscow, Urusi huku rais akisuburiwa kuhutubia

    Tangu hivi majuzi ambapo Ukraine walionyesha uwezo wa kupitisha pitisha drones kwenye ikulu ya Urusi, imedhihirika hamna popote salama nchini Urusi ambapo Ukraine hawawezi kufikisha mapigo, na Warusi wengi hawajui nini kimepangwa kutokea siku rais atahutubia taifa. Urusi imekataza drones za...
  14. JamiiForums Tanzania Ni kweli maagizo ya Waziri Mkuu hayatekelezwi au wanamuonea tu

    WIKI iliyopita Bunge lilichemka baada ya mvutano baina ya Jenister Mhagama na Spika wa Bunge kuhusu kauli ya Luhaga Mpina kwamba maagizo ya Waziri Mkuu kuhusu wafugaji hayajatekelezwa na wanaendelea kunyanyaswa kwenye nchi yao. Je ni kweli maagizo ya Majaliwa hayatekelezwi? Kati ya Jenister...
  15. JamiiForums Tanzania Kuna Wapuuzi wataiamini hii Kauli ya Kiunafiki ya Kocha Mkuu wa Marumo Gallants FC kuelekea Mechi yao ya CAFCC

    " Kama kuna Timu naiogopa na Mchezaji Hatari kwa sasa Africa basi ni ya Yanga SC na Fiston Mayele. Hakika wako vizuri sana na Mayele atawafikisha mbali kwa Umahiri wake wa Ufungaji na ana uwezo wa hata Kucheza Timu Kubwa Uingereza na Kwingineko Ulaya" Dylan Keir Kocha Mkuu wa Timu ya Marumo...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Dodoma haifai kuwa Makao Makuu ya Nchi, inakuwaje Uwanja wa Ndege hauna taa? Ni aibu

    Baada ya juzi kuona taarifa ya mamlaka ya anga kuhusu ndege ya precision kuahirisha kutua Dodoma, nikasema moja kwa moja Makao Makuu ya Nchi hayawezi kuwa Dodoma. Hiyo inatokana na kwamba miundombinu yake bado haijawa vizuri ikiwepo kiwanja cha ndege. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Hamza...
  17. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Arusha afichua mazito hali ya ushoga Arusha

    Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Felician Mtehengerwa, amesema hali ya ushoga katika jiji la Arusha ni mbaya kwa sababu inakadiriwa zaidi ya vijana 400 wanajihusisha na vitendo hivyo na kuwataka madiwani kuvikemea katika maeneo yao. Aidha, amesema kuanzia hivi sasa nyumba za starehe zikiwemo baa na...
  18. JamiiForums Tanzania Mkuu ukishaoa acha kujichua

    Habari wakuu, I know kwamba ni issue ambayo naweza kuikaushia ila nahisi ni tabia ambayo imenikera sana. Hapa ninapoishi kuna jirani yangu nahisi ana urahibu wa kujichua, Alafu ubaya ni kwamba anajichulia bafuni ambapo vyoo vyetu hivi vya public inakuwa sio ustaarabu, Huyu mwamba ananikwaza...
  19. JamiiForums Tanzania Wabunge wampongeza Waziri Mkuu

    Viongozi mbalimbali wakimpongeza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa mara baada ya kuwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi Ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka wa Fedha 2023/24 kupitshwa na Bunge.
  20. JamiiForums Tanzania Wabunge wa Uingereza wagomea mwaliko wa Rais Mnagangwa kuhudhuria kusimikwa kwa 'King Charles III'

    Wabunge wa Uingereza wametoa tamko la kumshinikiza Waziri Mkuu, Rishi Sunak kufuta mwaliko wa Rais Emmerson Mnangagwa kushiriki sherehe hizo kwa maelezo kuwa uongozi wake umekuwa ukivunja Haki za Binadamu. Kama mwaliko huo hautafutwa, Mnangagwa atakuwa Rais wa kwanza kuingia jijini London baada...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…