Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.
Hata kama ni haraka unawezaje kuandika Press release ya ajabu namna ile tena inatoka Ofisi kuu ya Nchi , Nanukuu baadhi ya maneno Para ya Kwanza, " Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe.Nurdin Hassan Babu...
Ndugu zangu Watanzania,
Mkuu wa mkoa wa Dar Mheshimiwa Albert Chalamila Amesema ya kuwa yeye binafsi alishaacha masuala ya ubabe kabisa.
Ameyasema maneno hayo mbele ya Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan katika kikao chake na maafisa habari...
Wanabodi,
Naangalia Bunge live asubuhi hii, kusubiria hotuba ya hali ya uchumi, ndio nikakumbuka kumbe leo ni siku ya Alhamisi, ni siku ya maswali ya moja kwa moja kwa Waziri Mkuu, sasa naomba kuuliza, jee kuna uwezekano wa kukosekana kwa kambi rasmi ya upinzani Bungeni, kumepelekea kupunguza...
New Delhi [India], Juni 2024
Waziri Mkuu Narendra Modi amejibu jumbe mbali mbali za pongezi kutoka kwa viongozi wa dunia baada ya kuapishwa kwake kwa muhula wa tatu mfululizo.
Narendra Modi aliapishwa kuwa Waziri Mkuu wa India kwa muhula wa tatu mfululizo Jumapili katika sherehe ya kuvutia...
Habarini,
Leo tena Afisa Uhamiaji kaendeleza unyanyasaji wake kwa maelekezo ya DC wa Maswa kwa kutuma askari wa uhamiaji kwenda kumkamata raia mkazi wa Malampaka Wilaya ya Maswa kwa kile anachodai siyo raia wa Tanzania ingawa chanzo chake ni kuwepo mgogoro wa ardhi baina ya Baraka Kabezi na...
Hii ni fragile moment. CCM wanaangalia wapi chadema itadondoka na wameshaona kizuizi kikubwa ni Mbowe. Haongeki. Kwa kipindi hiki cha uchaguzi mkuu wa Rais na wabunge, nawashauri postpone uchaguzi wa Mwenyekiti na makamu wake mvuke salama kipindi hiki.
Mtakumbuka machawa walivyoshangilia...
Dr Mathuki toka Kenya amefurushwa EAC kabla ya kipindi chake cha uongozi kukamilika. Sasa EAC Ina Katibu Mkuu mpya Bi Veronica. Nini haswa sababu ya kufurushwa Dr Peter Mathuki (PhD)?
NB: Aliyekuja=Aliyekua
Salaam, Shalom!!
Kila Kona ya nchi yetu Kwa sasa, dollar imekuwa mtihani, hazipatikani hata Kwa tochi,
Mfanyabiashara mwenye pesa za kitanzania, akienda benki kubadili Tshs Ili apewe USD Kwa ajili ya kuagiza bidhaa nje ya Nchi, anaambiwa dollar hamna. Analazimika kuzitafuta mtaani na kuzipata...
https://www.youtube.com/live/qQ_4w2DCSSY
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha ADC, Doyo Hassani Doyo anatarajia kuchukua fomu ya kugombea Uenyekiti Taifa, Juni 11, 2024.
Doyo anakwenda kumrithi Mwenyekiti Taifa, Hamad Rashid aliyemaliza muda wake Kikatiba.
Amesema lengo kuu la kugombea nafasi...
Binafsi Sina uelewa wa sheria kabisa, ila naomba hizi mahakama za mwanzo ziondolewe au zifutwe kabisa kwani huku ndio kimbilio letu sisi masikini na wajinga na sisi tusio na akili,
Kwa mfano Mimi Kuna kesi nimeenda kumdhamini mtu anadaiwa kiasi kisichazidi mil 1 Nina barua anayonitambua...
Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvus Mrindoko amewataka wanunuzi wa zao la Pamba kuhakikisha wanalipa pesa za wakulima kwa wakati ili kuwafanya wakulima wa zao la pamba kutokata tamaa ya kulima zao hilo.
Mrindoko ameyasema hayo wakati akizindua msimu mpya wa mauzo ya zao la Pamba katika Kijiji cha...
Ndugu zangu Watanzania,
Napowaambia kuwa David Kafulila ni Chuma nakuwa namaanisha ni CHuma kwelikweli na Mzalendo wa dhati Wa Taifa letu,ambaye huwa hayumbi wala kuyumbishwa wala kutetereshwa wala kuogopa wala kupoozwa wala kuangalia ni nani anayepambana naye au aliye mbele yake.
Chuma David...
Sektretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, inatarajia kumfikisha mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika, Onesmo M. Buswelu kwa tuhuma za Ukiukwaji wa Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma
Pia, Sekretarieti hiyo itamfikisha mbele ya Baraza hilo, Yusuph H...
Wakuu, nimelala nikiwaza namna ya kupata CV niliyoutaja hapo juu.
Wengi tutajiuliza,ninaitafuta ya kazi Gani?
Niwe muwazi kuwa ubinafishwaji wa uwanja wa ndege wa Kilimanjaro ( KIA), ubini wake nimeuona unafanana na kile watanzania wengi wanachokiwaza.
Nikiipata,nitaweka wazi Kila kitu...
NAIBU WAZIRI MKUU BITEKO APONGEZA MIKAKATI YA KUINUA ELIMU DODOMA JIJI
- Ampongeza Mbunge Mavunde kwa ubunifu wa Teachers’ Breakfast Meeting
- Mbunge Mavunde agawa photocopiers kwa ajili ya uchapishaji wa mitihani
- Prof. Mkenda aanika mikakati ya serikali kwenye Elimu
- RC Senyamule aeleza...
Ni miaka 40 toka aondoke Hayati Waziri Mkuu Edward Moringe Sokoine,na ni miaka mitatu toka aondoke Hayati Rais John Pombe Magufuli, Viongozi awa wametuachia alama za Uongozi wao wa mfano kwa jinsi walivyokuwa na uadilifu na kufuatilia utendaji kazi huku wakikemea ulaji rushwa,ubadhirifu wa mali...
Kutokana na sababu mbalimbali Hali ya uchumi wetu yamkini si nzuri sana hivyo hata Kama haisemwi lakini kuna mambo yanaakisi hili.Kama taifa yatupasa kushikamana sana na kuhamasisha uzalishaji wa ndani Kwa Kiwango kikubwa ili kuondoa utegemezi wa bidhaa toka nje na matumizi makubwa ya fedha Za...
Upigaji kura ulimalizika jana tarehe 29.05.2024. Zoezi linaloendelea sasa ni uhesabuji wa kura.
Wapiga kura waliojiandikisha ni zaidi ya 27m. Watu walijitokeza kwa wingi kupiga kura. kulikuwa na utitiri wa vyama vilivyoshiriki uchaguzi huu.
ANC, EFF, DA na MK hivi vikiwa ndio vyama...