mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. X

    JamiiForums Tanzania ChinaTech: Italy walijitoa katika BRI ya China, hatimaye Waziri Mkuu wa Italy atembelea China kuomba kurudisha tena ushirikiano kati ya mataifa hayo

    Mwanamama Giorgia Meloni alishinda uchaguzi mkuu wa Italy mwaka 2023 na kuwa Waziri Mkuu wa taifa hilo ambalo pia ni member wa G7 na NATO. Alipoingia tu madarakani, kwa shinikizo la Marekani na mataifa mengine ya Ulaya akaiondoa Italy kutoka kwenye mpango wa China unaoitwa BRI na kumkosoa...
  2. JamiiForums Tanzania Mkuu wa mkoa wa Mtwara kuonekana kavaa nguo za chama cha Mapinduzi wakati yeye ni mtumishi wa JWTZ ni sahihi?

    Picha kama inavyojionesha kwa mkuu wa mkoa wa Mtwara leo tarehe 28.07.2024 kuonekana kavaa nguo za chama cha CCM wakati yeye ni mtumishi wa JWTZ je leo jeshi letu ni CCM au ndyo utaratibu wa kijeshi. Mkuu wa majeshi kwa kukomesha ili mchukulieni hatua mkuu wa Mtwara kwa kuvunja kanuni za JWTZ...
  3. JamiiForums Tanzania UCHAGUZI MKUU VS UWAZI WA VYAZO VYA FEDHA NS MATUMIZI

    Tunaelekea na tumekaribia msimu wa uchaguzi pamoja na mwaka wa uchaguzi mkuu.. Halipingiki fedha ni chambo muhimu ktk kufanikisha uchaguzi ktk vyama na kwa wagombea udiwani,ubunge na urais.Lakini vyanzo vya fedha husika vyapaswa kuwa wazi ktk muktadha wa kuepuka fedha chafu,Za maadui wa...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi Katibu Mkuu wa CCM Kuongoza Secretarieti Katika Ziara Nzito ya Mikoa Ya Kusini

    Ndugu zangu Watanzania, Wakati vyama kama CHADEMA viking'ang'aniana na kila mtu akijitangaza kuwa ndiye mgombea Urais,wakati CHADEMA ikiendelea kupukutika na kukimbiwa na wanachama wote wenye akili Timamu na wanaojitambua,wakati vyama kama CHADEMA vikiwa vimepotea kabisa mitaani kutokana na...
  5. JamiiForums Tanzania Katibu mkuu kiongozi kiongozi umeshindwa kumshauri Rais kuhusu mishahara ya watumishi wa umma? Tukiibia serikali mtatulaumu?

    Just imagine kwenye harusi moja ya mtoto wa kiongozi mmoja wa serikali ya mapinduzi zanzibar amezawadiwa bilioni 1.5 ndiyo 1.5 bilion hizo pesa zinatoka wapi? Sio kama wizi nini? Mtumishi wa umma unapataje kiasi chotee cha pesa hiko? Hii haikubaliki hata kidogo Yaani haiwezekani mtumishi wa...
  6. JamiiForums Tanzania Marekani: Mkuu wa Idara ya Ulinzi wa Viongozi (Secret Service) ajiuzulu

    U.S Mkurugenzi wa Huduma ya Ulinzi wa Viongozi (Secret Service) Kimberly Cheatle amejiuzulu baada ya shinikizo kutoka kwa wabunge kumtaka ajiuzulu kufuatia kushindwa kudhibiti shambulio la jaribio la mauaji ya Rais wa zamani Donald Trump mnamo Julai 13, vyanzo vitatu viliiambia NBC News...
  7. JamiiForums Tanzania Baada ya kudokeza ulinzi wa Rais uimarishwe naona mtu kabadilishiwa majukumu, ni mkuu wa Misafara ya Rais

    Kuna jambo moja Hatari lilikuwa limepangwa dhid ya Rais Samia nikatoa angalizo, Ila baadae mliona ana msafara wa magari 120 na ulinzi mkali; ni pale ambapo walipanga kumfanyia mafia Naona ameamua amtoe muhusika wa ulinzi hadi kuwa RAS Kilimanjaro kutoka kuwa mkuu wa kikosi cha ulinzi wa Rais...
  8. JamiiForums Tanzania Tunaomba kiundwe chombo cha kusikiliza madai na madeni ya wazabuni wote wanaoidai serikali nchi nzima

    Hili naamini liko ndani ya uwezo na maamuzi yenu. Kwa ridhaa yenu tunaomba kiundwe chombo cha kusikiliza madai na madeni ya wazabuni wote wanaoidai serikali nchi nzima , madeni yanayo anzia miezi 3 na kuendelea kulingana na sheria ya manunuzi ya nchi yetu. Kisha Taasisi inayosumbua wazabuni au...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais William Ruto atangaza Baraza Jipya la Mawaziri 11 na Mwanasheria Mkuu mpya

    Wiki moja tu baada ya kuvunja Baraza lake la Mawaziri na kumfukuza Kazi Mwanasheria Mkuu, Rais William Ruto ametangaza Baraza Jipya la Mawaziri na kumteua Mwanasheria Mkuu mpya. ✓ Ni Mawaziri 6 tu wamerejeshwa kazini: • Waziri wa Ulinzi Adan Duale • Waziri wa mambo ya ndani Professor Kithure...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Hii nchi kila mtu anaweza kuwa mkuu wa mkoa kama hata Makonda naye aliteuliwa basi kila mtu anaweza.

    Hivi wajameni tuseme ukweli mnauonaje uwezo wa yule bwana mdago makonda. Sidhani kama anajua hata ofisini yupo kwa ajiri gani. Anachofanya huwa hakieleweki yeye ni kutafuta kiki tu basi. Hata creativity ya maendeleo hata kidogo yeye ni kudeal na wadudu daily as if there is only one dimension in...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Donald Trump kuamtangaza rasmi mgombea mwenza wake muda wowote kuanzia sasa, kuelekea uchaguzi Mkuu wa Novemba 2024

    UDATES Trump taps J.D VANCE Ohio’s junior senator as his running mate Former U.S. President Donald Trump on Monday selected J.D. Vance, a senator from the Midwestern state of Ohio, as his running mate in November’s presidential election. Trump made the announcement on his Truth Social media...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkuu wa Polisi Kenya atoa siku 21 kukamilisha uchunguzi wa mauaji ya Kuare, Nairobi

    Kaimu mkuu wa polisi nchini Kenya Douglas Kanja amewahamisha maafisa wote wa kituo cha Kuare kiliko mita chache kutoka machimbo ya mawe ambako maiti zi;likutwa zimetupwa, ili kuruhusu uchunguzi huru kufanyika. "Ili kuhakikisha uchunguzi wa haki na usio na upendeleo, nimewahamisha maafisa hao...
  13. JamiiForums Tanzania Mwamposa atua Arusha kwenye mashindano ya Samia Motocross Championship

    Mkuu wa Kanisa la Arise and Shine (inuka uangaze) Mtume Boniface Mwamposa @bulldoza_mwamposa ameungana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Paul Christian Makonda aka baba_keagan wakikagua njia za mashindano ya pikipiki za SAMIA MOTOCROSS CHAMPIONSHIP yanayotarajiwa kufanyika kesho Julai 14, 2024...
  14. JamiiForums Tanzania Je, huwa kuna msamaha wa Katibu Mkuu wa bodi ya Ualimu kuhusu hawa waliopata division three?

    Habali zenu wana ndugu wa jamiiforms mimi na kijana wangu anasoma uwalimu wa special diploma ya sekondari ya miaka mitatu, na mwaka huu ni wapili wa masomo amefanya mtihani wa taifa wa kidato Cha sita amepata division three ya point 17 (3.17) na amefeli somo moja la kufundishia. ila sasa vigezo...
  15. JamiiForums Tanzania Tetesi: Hussein Katanga, Katibu Mkuu wa zamani kurejea kivingine

    Katibu mkuu Kiongozi anaweza rejea nafasiniii au akalamba sehemu fulan nzito Keep waiting…. Britanicca
  16. JamiiForums Tanzania Kipi kitakuongoza kufanya maamuzi ya kuchagua kiongozi wako katika uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu ujao?

    Utazingatia chama cha siasa na itikadi yake tu, Utazingatia ilani, sera, mipango, dira, mbinu, uelekeo na mikakati ya chama husika, katika kutatua changamoto mbalimbali na kuleta maendeleo kwa wananchi? Utazingatia Elimu, umakini, uadilifu, umahiri, maelezo na ushawishi wa mgombea kwenye...
  17. JamiiForums Tanzania RC Said Mtanda wa Mwanza hastahili kuwa kiongozi wa umma kwa kutaka kuzima kesi ya Binti Tumsiime anayedai kulawitiwa na Dkt. Nawanda

    Hapa nasikiliza video ya Binti Tumsiime anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Dkt. Nawanda. Binti ameelezea kwa kina sakata zima la kulawitiwa, mpaka msukumo mzima wa kutaka kuzima kesi. Binti Tumsiime ameelezea kuwa baada ya kufanyiwa kitendo kile, aliripoti kituo cha...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Kwa yanayoendelea sasa Arusha, najiuliza, Makonda alipangiwa kuwa Mkuu wa Mkoa Arusha kwa maslahi ya Taifa au ya wawekezaji toka Uarabuni?

    Kwa wale mlio wakazi wa Arusha na Manyara huko, nadhani mmeona kwamba hivi karibuni kumekuwa na shughuli nyingi zinazohusu wale wanaosemwa kuwa wawekezaji nchini toka mataifa ya Uarabuni. Mara kadhaa Makonda ameonekana kushiriki kikamilifu katika shughuli wa "Wawekezaji" hawa. Madege makubwa...
  19. JamiiForums Tanzania Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi

    https://www.youtube.com/live/ie3dUDq4evE Binti aliyesadikika kulawitiwa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu anafunguka yote amtaja RC Mwanza. Tumsime Mathias Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza cha SAUT Mwanza anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Yahaya Newanda anafunguka...
  20. JamiiForums Tanzania Simba wanasajili wachezaji bila kuwa na kocha mkuu

    Ukitaka kuona vituko basi njoo kwenye club ya simba dirisha hili la usajili wanasajili wachezaji na kuacha bila kuwa na kocha mkuu unajiuliza mwekezaji wa simba mo dewji ana akili kweli Makosa yaleyale ya misimu iliyopita wanayarudia na kipindi hiki akija kocha baada ya mda atawatupia lawama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…