mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA kutoshiriki Uchaguzi Mkuu ujao ni Pigo Takatifu la Kisiasa kwao, ila ni Ishara kuwa kuna Mpasuko na pia hawana Washauri wazuri

    GENTAMYCINE nilidhani baada ya Tundu Lissu kuwa Mwenyekiti Taifa basi asingeacha kuwa karibu na aliyemshinda Freeman Mbowe. Yawezekana kabisa kuwa Tundu Lissu alimhitaji zaidi Mbowe na baadhi ya Watu kwa Ushauri thabiti ndani ya Chama cha CHADEMA na Uhai wake. Kwa Kitendo cha CHADEMA...
  2. L

    JamiiForums Tanzania PICHA: Huyu hapa ndiye dereva aliyefariki katika ajali Iliyomuua Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO

    Ndugu zangu Watanzania, Kuna watu walikuwa wanauliza sana juu ya dereva aliyefariki katika ajali ambayo imechukua Maisha ya Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO. Soma Pia: Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamo-Hanga na dereva wake wafariki dunia Wengine wakaenda mbali zaidi kwa kusema kuwa...
  3. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA; baada ya tamko la kutoshiriki Uchaguzi Mkuu, fanyeni haya

    SEHEMU YA KWANZA Salaam na heshima nyingi kwenu; Uongozi, Wanachama, Wapenzi na Wadau wote wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Waswahili husema; haraka haraka haina baraka, simba mwendapole ndiye mla nyama, polepole ndio mwendo lakini pia haba na haba hujaza kibaba... Kwanza...
  4. JamiiForums Tanzania Wabunge wamuelekeza CAG asipeleke Ripoti yake Bungeni kisa itamharibia Rais Samia kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025. Ina Ufisadi Mkubwa

    Bunge lataka CAG asipeleke Ripoti yake Bungeni kisa itamharibia Rais Samia kuelekea Uchaguzi Mkuu Wabunge akiwemo kibajaji, amedai muda hautoshi. Ripoti ya CAG ipelekwe Bungeni Mwenzi Novemba baada ya Uchaguzi Mkuu. Amedia kama ikipelekwa bunge hili kuelekea Uchaguzi Mkuu, itapunguza kura za...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa kuwa msimamo wa mkutano mkuu wa chadema ni KUZUIA uchaguzi usifanyike, kwa nini Mnyika amekiuka kwa KUSUSIA uchaguzi kwa kutosaini maadili?

    Bado msimamo wa chama unawachanganya CHADEMA Uongozi unasema watazuia uchaguzi. Kusaini maadili ni sehemu ya uchaguzi. Nlitarajia Mnyika aende pale akazuie kipengele hiki cha uchaguzi. Hajafanya hivyo, sasa wanataka kuuzuia katika hatua gani? Alichofanya leo Mnyika ni kususia. Amefanya hivyo...
  6. JamiiForums Tanzania Mahmoud Khalil, Muongozaji mkuu wa maandamano ya #freepalestine anaelekea kupigwa teke la deportation baada ya mahakama kuidhinisha.

    Safi sana Trump, Sasa arudi nyumbani kwimba tumsaidie kuandamana tukiwa huku.
  7. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb), ambaye ni Waziri Mkuu wa Tanzania, na Mhe. Dkt. Tulia Ackson Mwansasu (Mb), Spika wa Bunge la Tanzania, pia Rais...
  8. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Songwe amvaa mkandarasi Tunduma, atoa siku 7

    https://www.youtube.com/watch?v=HkDDYR59Gj4
  9. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu atoa salamu za Pasaka kwa wananchi wa Israel

    "Katika usiku wa seder, tunakusanyika na wapendwa wetu kusimulia safari kutoka utumwa hadi uhuru. “Lakini mwaka huu, familia nyingi zitaona viti vitupu—wale mateka wetu bado wanashikiliwa na Hamas, mashujaa wetu walioaga dunia, na waliojeruhiwa ambao wanapigania kufufuka. “Imbeni na kusaidiana...
  10. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jaji Mutungi: Lissu na "no Reforms no Elections" hawajafanya kosa lolote kisheria

    Maneno mazito yake Jaji Mutungi Msajili wa vyama vya siasa ni mwiba mwingine kwa waliojibatiza utawala badala ya uongozi: --- Msajili wa vyama vya Siasa Tanzania, Jaji Francis Mutungi amesema kauli ya ‘No reform, no Election’ bado haijavunja sheria ya vyama vya siasa, huku akisisitiza kuwa...
  11. JamiiForums Tanzania TANZIA Mkuu wa Operesheni Jeshi la Polisi Mtwara afariki dunia

    Mkuu wa Operesheni Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara, Emmanuel Garuyamoshi amefariki dunia Aprili 9,2025 akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Misheni Ndanda. Taarifa za kifo chake zimetolewa leo Aprili 10, 2025 na Mkuu wa Jeshi la Polisi, Camillius Wambura katika kurasa za mitandao ya kijamii ya...
  12. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Busega umetumwa au umejigeuza CHAWA wa Waziri Mkuu Majaliwa ???

    Wana JF , Heshima kwenu!! Moja kwa moja kwenye mada, Leo katika Bunge alipokuwa anachangia hoja juu ya bajeti ya ofisi ya Waziri Mkuu ,Ndugu Simon Songe,umetumia muda mwingi kumsifia waziri Mkuu, huku ukiwataka wakazi wa Lindi mintarafu Ruangwa kumwamini Waziri Mkuu,ukirejea kuwa kaleta...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 ACT Wazalendo inachambua bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu

    https://www.youtube.com/live/boUBc1geEE0 UCHAMBUZI WA BAJETI YA OFISI YA WAZIRI MKUU KUHUSU MAPITIO NA MWELEKEO WA KAZI ZA SERIKALI 2025/26 “Serikali inaogopa uchaguzi huru na haki” Utangulizi Tarehe 09 Aprili 2025 Waziri Mkuu aliwasilisha Bungeni mapitio na mwelekeo wa kazi za Serikali na...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Mufti mkuu wa Misri akataa fatwa ya jihad dhidi ya Israel kama 'kutowajibika'.

    Mufti mkuu wa Misri akataa fatwa ya jihad dhidi ya Israel kama 'kutowajibika'. Mufti Mkuu wa Misri Nazir Ayyad Jumatatu alisema "halikuwa jambo la kuwajibika" kwa Umoja wa Kimataifa wa Wanazuoni wa Kiislamu (IUMS) kutoa fatwa ambayo ilisema "Waislamu wote wenye uwezo" wana wajibu wa kufanya...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Pato la Taifa limekua kwa asilimia 5.5

    "Mwenendo wa viashiria vya uchumi na bajeti katika mwaka 2024/2025 umeendelea kuwa wa kuridhisha. Katika mwaka 2024, Pato halisi la Taifa lilikua kwa wastani wa asilimia 5.5 ikilinganishwa na asilimia 5.1 mwaka 2023. Ukuaji huo ulitokana na kuongezeka kwa uzalishaji wa umeme; uimarishaji wa...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa aitakia heri Simba SC dhidi ya Al Masry

    Waziri Mkuu Majaliwa akisoma bajeti yake aitakia heri Simba SC dhidi ya Al Masry
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Mapato ya ATCL yameongezeka kutoka Tsh Bilion 254 hadi TSh. Trilioni 1.5

    Shirika la Ndege Tanzania ATCL limeongeza mapato yake kutoka Shilingi Bilioni 254 mwaka 2021 hadi kufikia Shilingi Trilioni 1.5 Februari mwaka 2025, ikichangiwa na Ongezeko la Ndege na safari za ndege kwenda nje ya nchi, kulikofanywa na Serikali ya awamu ya sita ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan...
  18. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, Majaliwa: SGR Dar - Dodoma yakusanya TSh. Bilioni 54.9

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amesema kwa kipindi cha Agosti Mosi 2024 mpaka Februari 2025, Jumla ya shilingi Bilioni 54.9 zimekusanywa kwenye huduma ya usafiri wa reli kati ya Dar Es salaam - Morogoro - Dodoma. Waziri Mkuu Majaliwa amebainisha hayo leo...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Zaidi ya ajira milioni 8 zimezalishwa kupitia sekta ya umma na sekta binafsi

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akitoa hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri mkuu na Bunge 2025/2026 "Serikali imeendelea kubuni na kutekeleza mikakati mbalimbali ya kuzalisha fursa za ajira nchini kupitia uwekezaji na utekelezaji wa miradi mikubwa ya kimkakati ikiwemo ujenzi wa bomba la mafuta...
  20. JamiiForums Tanzania Kamishna wa Intelijensia ya Jinai CP Charles Mkumbo: Polisi tupo timamu kwaajili ya Uchaguzi Mkuu 2025

    Kamishna wa Intelijensia ya Jinai kutoka Makao Makuu ya Polisi CP Charles Mkumbo, wakati akiwasilisha mada kwenye kikao kazi cha 20 cha maafisa habari wa Serikali kilichofanyika Zanzibar Aprili 3 - 6, 2025 alisema Jeshi la Polisi limejiandaa kwaajili ya Uchaguzi Mkuu wa 2025 Mkumbo alisema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…