mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkuu wa Mkoa wa Songwe amvaa mkandarasi Tunduma, atoa siku 7

    https://www.youtube.com/watch?v=HkDDYR59Gj4
  2. Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu atoa salamu za Pasaka kwa wananchi wa Israel

    "Katika usiku wa seder, tunakusanyika na wapendwa wetu kusimulia safari kutoka utumwa hadi uhuru. “Lakini mwaka huu, familia nyingi zitaona viti vitupu—wale mateka wetu bado wanashikiliwa na Hamas, mashujaa wetu walioaga dunia, na waliojeruhiwa ambao wanapigania kufufuka. “Imbeni na kusaidiana...
  3. B

    PreGE2025 Jaji Mutungi: Lissu na "no Reforms no Elections" hawajafanya kosa lolote kisheria

    Maneno mazito yake Jaji Mutungi Msajili wa vyama vya siasa ni mwiba mwingine kwa waliojibatiza utawala badala ya uongozi: --- Msajili wa vyama vya Siasa Tanzania, Jaji Francis Mutungi amesema kauli ya ‘No reform, no Election’ bado haijavunja sheria ya vyama vya siasa, huku akisisitiza kuwa...
  4. TANZIA Mkuu wa Operesheni Jeshi la Polisi Mtwara afariki dunia

    Mkuu wa Operesheni Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara, Emmanuel Garuyamoshi amefariki dunia Aprili 9,2025 akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Misheni Ndanda. Taarifa za kifo chake zimetolewa leo Aprili 10, 2025 na Mkuu wa Jeshi la Polisi, Camillius Wambura katika kurasa za mitandao ya kijamii ya...
  5. Mbunge wa Busega umetumwa au umejigeuza CHAWA wa Waziri Mkuu Majaliwa ???

    Wana JF , Heshima kwenu!! Moja kwa moja kwenye mada, Leo katika Bunge alipokuwa anachangia hoja juu ya bajeti ya ofisi ya Waziri Mkuu ,Ndugu Simon Songe,umetumia muda mwingi kumsifia waziri Mkuu, huku ukiwataka wakazi wa Lindi mintarafu Ruangwa kumwamini Waziri Mkuu,ukirejea kuwa kaleta...
  6. PreGE2025 ACT Wazalendo inachambua bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu

    https://www.youtube.com/live/boUBc1geEE0 UCHAMBUZI WA BAJETI YA OFISI YA WAZIRI MKUU KUHUSU MAPITIO NA MWELEKEO WA KAZI ZA SERIKALI 2025/26 “Serikali inaogopa uchaguzi huru na haki” Utangulizi Tarehe 09 Aprili 2025 Waziri Mkuu aliwasilisha Bungeni mapitio na mwelekeo wa kazi za Serikali na...
  7. I

    Mufti mkuu wa Misri akataa fatwa ya jihad dhidi ya Israel kama 'kutowajibika'.

    Mufti mkuu wa Misri akataa fatwa ya jihad dhidi ya Israel kama 'kutowajibika'. Mufti Mkuu wa Misri Nazir Ayyad Jumatatu alisema "halikuwa jambo la kuwajibika" kwa Umoja wa Kimataifa wa Wanazuoni wa Kiislamu (IUMS) kutoa fatwa ambayo ilisema "Waislamu wote wenye uwezo" wana wajibu wa kufanya...
  8. Waziri Mkuu Majaliwa: Pato la Taifa limekua kwa asilimia 5.5

    "Mwenendo wa viashiria vya uchumi na bajeti katika mwaka 2024/2025 umeendelea kuwa wa kuridhisha. Katika mwaka 2024, Pato halisi la Taifa lilikua kwa wastani wa asilimia 5.5 ikilinganishwa na asilimia 5.1 mwaka 2023. Ukuaji huo ulitokana na kuongezeka kwa uzalishaji wa umeme; uimarishaji wa...
  9. Waziri Mkuu Majaliwa aitakia heri Simba SC dhidi ya Al Masry

    Waziri Mkuu Majaliwa akisoma bajeti yake aitakia heri Simba SC dhidi ya Al Masry
  10. PreGE2025 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Mapato ya ATCL yameongezeka kutoka Tsh Bilion 254 hadi TSh. Trilioni 1.5

    Shirika la Ndege Tanzania ATCL limeongeza mapato yake kutoka Shilingi Bilioni 254 mwaka 2021 hadi kufikia Shilingi Trilioni 1.5 Februari mwaka 2025, ikichangiwa na Ongezeko la Ndege na safari za ndege kwenda nje ya nchi, kulikofanywa na Serikali ya awamu ya sita ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan...
  11. Waziri Mkuu, Majaliwa: SGR Dar - Dodoma yakusanya TSh. Bilioni 54.9

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amesema kwa kipindi cha Agosti Mosi 2024 mpaka Februari 2025, Jumla ya shilingi Bilioni 54.9 zimekusanywa kwenye huduma ya usafiri wa reli kati ya Dar Es salaam - Morogoro - Dodoma. Waziri Mkuu Majaliwa amebainisha hayo leo...
  12. Waziri Mkuu Majaliwa: Zaidi ya ajira milioni 8 zimezalishwa kupitia sekta ya umma na sekta binafsi

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akitoa hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri mkuu na Bunge 2025/2026 "Serikali imeendelea kubuni na kutekeleza mikakati mbalimbali ya kuzalisha fursa za ajira nchini kupitia uwekezaji na utekelezaji wa miradi mikubwa ya kimkakati ikiwemo ujenzi wa bomba la mafuta...
  13. Kamishna wa Intelijensia ya Jinai CP Charles Mkumbo: Polisi tupo timamu kwaajili ya Uchaguzi Mkuu 2025

    Kamishna wa Intelijensia ya Jinai kutoka Makao Makuu ya Polisi CP Charles Mkumbo, wakati akiwasilisha mada kwenye kikao kazi cha 20 cha maafisa habari wa Serikali kilichofanyika Zanzibar Aprili 3 - 6, 2025 alisema Jeshi la Polisi limejiandaa kwaajili ya Uchaguzi Mkuu wa 2025 Mkumbo alisema...
  14. Mahojiano na Sky News : Msemaji mkuu wa serikali ya Israel kujibu maswali muhimu aliyoulizwa

    Moja kwa moja. Juzi juzi nilikuja na mada chini hapo kuhusiana na tukio la IDF kuua watu wanaotoa Huduma za kitabibu Gaza wakiwa kwenye ambulance na kueleza uongo wao katika taarifa ya awali waliyotoa kuhusiana na tukio hilo amabalo sasa hivi limezidi kuchafua taswira mbaya ya IDF baada ya...
  15. PreGE2025 Julius Mwitta: G-55 iliundwa na Katibu Mkuu wa Chadema, John John Mnyika

    Naam. Julius Mwitta anapasua mbarika, kumbe mwenye G-55 yupo na hamsemi. Haha. === Akizungumza kupitia Clouds FM, Julius Mwita aliyekuwa Katibu wa Sekretarieti ya CHADEMA amesema; "G-55 ilizaliwa kutokana na kikao kilichoitishwa na Katibu wa Chama. Wakati huo mimi bado nilikuwa Katibu wa...
  16. Barua ya wazi kwa Mh. Rais: Ombi la Haraka kwa Mh. Rais la kulinda Usalama wa Raia na Mali zao Jijini Dodoma kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025.

    Kwa sasa, usalama wa raia na mali zao jijini Dodoma umekuwa katika hali mbaya sana. Kila siku, vifo vya watu vinarekodiwa mitaani, huku serikali ikiendelea na kimya. Hali hii ya kutisha inahitaji hatua za haraka na madhubuti ili kuokoa maisha ya watu. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, ambaye pia ni...
  17. Chadema: Makosa ya Kisayansi ,kufanya uchaguzi wa ndani,badala ya kujiandaa kwa uchaguzi mkuu, kinachosababisha Changamoto Kubwa kwa Chama

    Katika kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ni muhimu kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutazama kwa makini makosa yaliyofanywa ambayo yanaweza kupelekea chama kusambaratika au hata kufa kabisa. Hapa, nitajaribu kubainisha makosa hayo na kutoa mapendekezo ya marekebisho...
  18. NDUGU MWANACHADEMA, UNACHAGUA KUA UPANDE WA KIDEMOKRASIA, NO REFORM NO ELECTIONS AU UPANDE WA MAANDAMANO YA AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU WA OCTOBER?

    Kuelekea uchaguzi mkuu wa mwezi October mwaka huu, utata na migawanyiko imeibuka hususan ndani ya chadema. Je kama mwana chadema, ukiachilia mbali mvutano wa kamati kuu na g55, wewe ungependa uwe upande gani katika mgawanyiko huu wa kidemokrasia ndani ya chadema? :NoGodNo: Mungu Ibariki Tanzania
  19. PreGE2025 Katibu Mkuu CCM, Nchimbi akizungumza na Wananchi wa Mbinga Mjini

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akizungumza na wananchi wa Mbinga mjini, alipokuwa njiani kuelekea Wilaya ya Nyasa, ikiwa ni siku ya nne ya ziara yake ya siku tano, katika Mkoa wa Ruvuma, leo Jumamosi tarehe 5 Aprili 2025.
  20. A

    PreGE2025 Mwenyekiti wa Baraza la Makanisa ya Kipendekoste ataka mshikamano Tamasha la kuombea Uchaguzi Mkuu 2025

    Mwenyekiti wa Barazaa la Makanisa ya Kipenteksote Mkoa wa Dar es Salaam, Mchungaji Emmanuel Mwasota amesema tamasha la kuombea Uchaguzi Mkuu 2025 lipo kwa ajili ya maombi ya kuombea uchaguzi huo. Mchungaji Mwasota amewataka waumini wa madhehebu yote nchini kuiombea nchi ya Tanzania, viongozi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…