mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Netanyahu: Tunakwenda Kutimiza ahadi yetu kwamba hakutakuwa na Taifa la Palestina eneo hili ni letu

    Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, siku ya Alhamisi alisema kuwa "hakutakuwa na taifa la Palestina." Alitoa kauli hiyo wakati wa ziara yake katika makazi ya Maale Adumim yaliyoko katika Ukanda wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu. Netanyahu alisaini rasmi hati ya kuidhinisha ujenzi wa...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Uchaguzi Mkuu ni uhalali wa kutakatisha Fedha za Walipa Kodi

    Kwenye kalenda ya uchaguzi, tunaambiwa kutakuwa na kupiga kura, niwaambie watanzania wenzangu Chadema wanahoja, mfumo uliopo sasa, naomba sana muelewe ile kauli mbiu ya October tuna tiki, maana yake hata usipoenda kupiga kura, watakutikia .. Tume ifunge camera vituo vyote ,kama wanataka haki
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Sumaye awaonya wanachama wa CCM Manyara wasibweteke Uchaguzi Mkuu

    Waziri Mkuu Mstaafu Fredrick Sumaye, amewataka wanachama wa CCM Mkoa wa Manyara kutobweteka kuwa wagombea wao watashinda bila kufanya kampeni na kujitokeza kupiga kura Oktoba 29 mwaka huu. Fredrick Sumaye, ambaye kwa sasa ndiye mratibu wa kampeni za uchaguzi za CCM mikoa ya Kanda ya Kaskazini...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 TAFEYOCO yataka wananchi watumie mitandao kwa Amani kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Shirika la Vijana na Wanawake Tanzania (TAFEYOCO) limewataka wananchi kutumia mitandao ya kijamii kwa uangalifu na kwa manufaa, ili kudumisha amani na utulivu kuelekea Uchaguzi wa Madiwani, Wabunge na Rais, huku likikemea vikali watu wote wanaojihusisha na vitendo au kauli zenye viashiria vya...
  5. JamiiForums Tanzania Naibu Katibu Mkuu kanisa la Ufufuo na Uzima (Askofu Mwanamapinduzi) akimbia nchi kunusuru maisha yake

    Hii taarifa rasmi imetolewa na Askofu Emaus Mwamakula. Nimewawekea hapa chini tamko lake soon hapa (kwa njia ya video). Ameelezea kwa kina kilichomsibu na hata kutishiwa maisha. Askofu Gwajima yupo hatarini
  6. JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu George Masaju akemea na kuwaonya majaji na mahakimu wanaopindisha haki kwa maelezo kuwa ni "maelekezo toka juu". But, is he really serious?

    Nimemtazama na kumsikiliza Jaji Mkuu George Masaju mwanzo mwisho akiseminisha na kuelekeza majaji wake hapa. Anaonekana kuwa na mtazamo chanya contrary na mambo yalivyo chini ya utawala wa Rais Samia.. Swali ni: Atadumu kweli ktk hiyo nafasi yake kwa tabia yake ya kusisitiza HAKI, HAKI badala...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mada ya mkuu Stuxnet kuhusu nyomi za Samia Suluhu Hassan

    Hiyo mada siioni tena hapa, pengine imeunganishwa na ile kuu ihusuyo Kampeni za CCM. Mimi nawaomba wahusika mada hii wasiiunganishe huko; kwa sababu ile mada ya mkuu Stuxnet ilihitaji mjadala makini sana kujuwa ni sababu zipi hasa zinawavuta waTanzania kwenye mikutano hiyo ya kampeni. Ingawa...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Bi Kunguru ni boya tu, Mkuu wa Nzengo ni Chekecheke ndiye anatoa amri zote japo wengi wanamgomea.

    Katika Nzengo yetu hususani kule juu wamo wateule wengi ambao wanaumizwa na hali ya mambo ilivyo sasa kwenye Kampuni ya walima.mboga mboga na kwenye Nzengo kwa ujumla. Wamo wengi wanaounga mkono juhudi za upopoaji zinazofanywa na Mdunguaji aliyeko mafichoni dhidi ya Kunguru. Taarifa za ndani...
  9. JamiiForums Tanzania Taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu Kwa Magaidi wa Hamas!!

    Taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu: Kwa bahati mbaya, hii inazungushwa zaidi na magaidi wa Hamas ambayo hawana jipya. Vita vinaweza kumalizika mara moja kwa masharti yaliyowekwa na Baraza la Mawaziri la Usalama: 1. Mateka wote waachiliwe . 2. Hamas wanyang’anywe silaha. 3. Ukanda usiwe na...
  10. JamiiForums Tanzania ARUSHA: Mlinzi adai Mwalimu Mkuu huamuru Wanafunzi kufungwa kwa Mnyororo kwa Utoro

    Anayedaiwa Mlinzi wa Shule ya Msingi Ngarenaro, ambako Mwanafunzi wa Darasa la Saba (13), ameonekana amefungwa kwa mnyororo kwenye dawati kwa kosa la utoro, amedai kuwa Mwalimu Mkuu wa shule hiyo ndiye aliyeagiza mtoto huyo afungwe, akieleza kuwa adhabu hiyo imekuwa ikitekelezwa Shuleni hapo na...
  11. JamiiForums Tanzania Tukio la Mtoto kufungwa na mnyororo darasani, Polisi yawashikilia Mwalimu Mkuu na Mlinzi

    Baada ya kusambaa kwa video ikumuonesha Mwanafunzi amefungwa mnyororo darasani, kama hukuiona ipo hapa ~ Mwalimu Mkuu amfungia mwanafunzi darasani kwa Mnyororo, Jeshi la Polisi limechukua hatua. MWALIMU MKUU, MLINZI WAKAMATWA KWA TUHUMA ZA UKATILI Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia...
  12. JamiiForums Tanzania Malawi: Wafungwa wagoma kushiriki Uchaguzi Mkuu

    Wafungwa wa gereza moja nchini Malawi wamewagomea maafisa wa tume ya uchaguzi baada ya kutoridhishwa sababu za wao kushiriki uchaguzi mkuu mwaka huu. Tukio hili limetokea wakati viongozi wa tume walipowatembelea na kuwajulisha jinsi watakavyoshiriki uchaguzi wa rais tu, wakiwajibu maafisa hao...
  13. JamiiForums Tanzania Mwalimu Mkuu amfungia mwanafunzi darasani kwa Mnyororo

    Mwanafunzi wa darasa la saba (13) shule ya Msingi Ngarenaro Jijini Arusha amefungwa na mnyororo na kufungwa kwenye dawati Darasani na Mwalimu mkuu wa shule hiyo kwa kile kilichoelezwa kuwa kuwa ni mtoro. Wakizungumza wazazi wameleza kuwa walipigiwa simu na mlinzi wa shule aliyekuwa zamu mchana...
  14. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Chemba: Mkuu wa Elimu Msingi atuhumiwa kwa Ubadhirifu na Unyanyasaji akidaiwa kuwa na Mtandao wa Kumlinda

    Wilaya ya Chemba imegeuka kitovu cha malalamiko makubwa baada ya walimu na watumishi wa Idara ya Elimu Msingi wilayani humo kuibuka na tuhuma nzito dhidi ya Mkuu wa Idara ya Elimu Msingi, Bw. Josephat Ambilikile. Wakiwa wamechoshwa na kile wanachoita utendaji mbovu, matumizi mabaya ya madaraka...
  15. JamiiForums Tanzania Mganga Mkuu wa Serikali afafanua sakata la Muuguzi na Askari kuvutana Wodini Hospitali ya Kibondo

    Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Grace Magembe amewatoa hofu wananchi juu ya picha mjongeo (video) iliyosambaa mitandaoni ikimuonesha Muuguzi na Askari wakivutana katika Hospitali ya Halmashauri ya Kibondo huku ikidaiwa askari kuvamia chumba cha kujifungulia, jambo ambalo amesema sio kweli na likiwa...
  16. JamiiForums Tanzania Responded Majaliwa apiga marufuku matumizi ya ving'ora na vimulimuli barabarani kwa madereva wa magari ya serikali

    Yaani ukitaka kujua unachelewa pita njia za Ubungo, Kimara, Mwenge na Tegeta ndani ya dakika 30 utaona ving'ora kama vinne vimepita na vimulimuli Nimejiuliza hivi kila gari linatakiwa kuwa na king'ora na kimulimuli? Na ni wakati gani vinatakiwa kutumika? ---- Waziri Mkuu Kassim Majaliwa...
  17. U

    JamiiForums Tanzania TAARIFA MUHIMU: Mkuu Mkoa wa Arusha, CPA Amos Makalla, Jumatatu hii Septemba 1, 2025, amefanya ziara ya kumtembelea Nabii Mkuu Mhe. Dkt. GeorDavie,

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Makalla, Jumatatu hii Septemba 1, 2025, amefanya ziara ya kumtembelea Nabii Mkuu Mhe. Dkt. GeorDavie, ikiwa ni muendelezo wa ziara zake za kuwatembelea viongozi wa dini mkoani Arusha kwa lengo la kujitambulisha na kubadilishana uzoefu katika mambo mbalimbali...
  18. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi ya Israel Lt Jeneral Eyal Zamir awatishia viongozi wa Hamas nje ya nchi: 'Tutawafikia Popote walipo!!

    Mkuu wa IDF awatishia viongozi wa Hamas nje ya nchi: 'Tutawafikia pia' Mkuu wa IDF, Lt. Jenerali Eyal Zamir (kushoto) akizungumza katika tathmini pamoja na Mkuu wa Kamandi ya Kaskazini Meja Jenerali Rafi Milo, Agosti 31, 2025. (IDF) Kufuatia mauaji ya Israel kwa maafisa wakuu wa Houthi na...
  19. JamiiForums Tanzania Israel yamuua Waziri mkuu wa Yemen

    #HABARI Waziri Mkuu wa serikali ya Yemen inayoongozwa na Wahouthi na mawaziri wengine kadhaa wameuawa katika shambulio la Israel kwenye mji mkuu Sanaa, mkuu wa Baraza Kuu la Kisiasa la Houthi amesema jana Jumamosi, likiwa ni shambulio la kwanza la aina hiyo kuua maafisa wakuu. Wengine kadhaa...
  20. JamiiForums Tanzania Huyu hapa mpinzani wa Samia uchaguzi Mkuu

    GT Siongezi neno jionee mwenyewe
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…