mkuu wa wilaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. idiomer

    Mkuu wa wilaya anawaambia watu wahame sehemu hatarishi?

    Swali wahamie wapi toa sehemu mbadala kuwahifadhi wana Rungwe. Watu 20 wameshapotea daah inauma sana nchi yani hii. Toa suluhisho kiongozi sasa watu hawana nyumba kusema tuu wahame haitoshi .
  2. A

    DOKEZO Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, Simon Simalenga azuia uwanja wa mpira wa Halmashauri kutumika kwa mazoezi ili achungie mifugo yake

    Umepita mwezi sasa uwanja wa mpira wa Halmashauri ya mji umezuiliwa kutumika. Hii ni mara ya pili, mwanzo ilizuiliwa Mkurugenzi akaruhusu mazoezi kufanyika na ukafunguliwa. Ghafla tu umefungwa kila watu wakifuatilia hakuna sababu zinazoeleweka kuhusu kuzuilia watu kutofanya mazoezi hali ambayo...
  3. BigTall

    Wananchi wadai DC wa Kilosa anasababisha maafa na hafuati Sheria, mwenyewe asema si kweli

    Wakazi wa Kata ya Chanzulu, Wilaya ya Kilosa, wamekiomba Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Morogoro kuingilia kati migogoro ya ardhi inayoendelea katika eneo hilo ili kupatikana suluhisho la kudumu. Ombi hilo limetolewa katika mkutano wa hadhara wa kusikiliza kero za wananchi, ulioandaliwa na...
  4. M

    Hivi yule mkuu wa wilaya Tabora aliyepewa ukuu wa wilaya na Magufuli kisha akatumbuliwa awamu ya sita alirudi kazini?

    Alipewa kwa sababu baba yake alinya kazi na Magu pale Nyanza. Awamu ya sita ikamtumbua sijui kwa sababu gani. Akamburuta Rais Samia na serikali yake mahakamani. Alikuwa rapa wa CCM! Yupo wapi? Mbona kimya? Alishinda kesi?
  5. Waufukweni

    PostGE2025 Peramiho: Mtoto wa Jenista atemwa, CCM yamteua DC Komba kugombea

    Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) chini ya uenyekiti wa Rais Samia Suluhu Hassan imemteua Mkuu wa Wilaya (DC) wa Kalambo, Dkt. Lazaro Komba kuwa mgombea ubunge wa Peramiho, Mkoa wa Ruvuma. Uteuzi huo umefanyika Jumapili, Januari 25, 2026 katika kikao kilichofanyika visiwani Zanzibar...
  6. R

    Mkuu wa wilaya Maswa aagiza waliogoma kurejesha mkopo wa asilimia 10% kukamatwa

    Tunaye rais mwenye huruma kwa watanzania na hapendi fedha za dhuluma (alisema Mwigulu), awasamehe tu hawa watanzania jamani :BBRUHH: ========== Mkuu wa Wilaya ya Maswa, Vicent Anney ameagiza kukamatwa na kufikishwa mahakamani watu wote waliokopa mikopo ya Serikali ya asilimia 10 kupitia...
  7. Sifi Leo

    Hawa ndo wanaofanya Serikali ichukiwe. Mkuu wa Wilaya kuomba radhi haitoshi anatakiwa kuwajibishwa

    Mkuu wa wilaya ya kyerwa mkoani mbeya ameonekanika live Leo akiomba radhi kwa kuwafungia wananchi ndani wasitoke nje ukiisha FIKA SAA SITA KAMILI. MH RAIS aliisha elekeza kabisa wananchi wafunguliwe waendelee na SHUGHULI zao Mkuu wa wilaya Leo ni siku ya ngapi tangu amri hiyo itoke kwa RAIS...
  8. N

    kuna dada anaitwa Magdalena Sabaya nasikia anakuwa mkuu wa wilaya samia kwa nini unatuchokoza ?

    mama kichwa cha habari kinavyojieleza nasikia huyu mdada anaandaliwa mkuu wa wilaya wakati ana historia mbaya sana na familia yao wa historia mbaya mno mno ,yeye mwenyewe nasikia mwizi na mkatili mno SAMIA SULUHU HASSAN PUNGUZA KUCHOKOZA WANANCHI NA HISIA ZETU
  9. Its Tesha

    Najiuliza hivi RC au DC anaongeaje kama Rais wa nchi, hii nchi inaongozwa nani hasa?

    Wakuu... Nimekaaa nimetafakari sana mkuu wa mkoa au wiliya wanatoa kauli za vitisho kuliko hata Rais kuelekea uchaguzi mkuu lakini ukweli ni kwamba hawa watu wanatakiwa kuwa NEUTRAL kipindi cha uchaguzi lakini utakuta jamaa amevaa kofia na tisheti ina picha ya Samia wao ni nani? kuna hawa...
  10. Mkalukungone Mwamba

    Kumbukizi: Mvutano wa Jerry Muro alivyokuwa mkuu wa Wilaya ya Arumeru na mkurugenzi wake Dkt. Mahera

    Ilikuwa ni moja ya mvutano huku Jerry Muro akionekana akimlalamikia moja ya kiongozi ambaye Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Arusha wilayani Arumeru Dkt. Wilson Mahera Charles kwa kuchelewa kufika katika ziara. Naye wakati anaambiwa hivyo alionyesha kucheka na Muro kutafsiri kama kitendo cha...
  11. Roving Journalist

    DC wa Nyasa awataka Wananchi kutambua umuhimu wa Lishe Bora, asema Nyasa bila utapiamlo, udumavu, upungufu wa damu inawezekana

    Mkuu wa Wilaya ya Nyasa, Peres Magiri ametoa wito kwa wananchi kutambua umuhimu wa lishe Bora kwa afya ya mwili wa binadamu kwani ni Msingi wa mambo mengi ikiwemo kufanyakazi na kufikiri sawasawa. Mhe.Magiri ameyasema hayo wakati wa kikao cha tathimini ya lishe kilichofanyika mwanzoni mwa juma...
  12. Mtemi mpambalioto

    Albert Msando, Mkuu wa Wilaya UBUNGO anatafuta Hela kinguvu kupitia makosa ya uonevu barabarani

    CHALAMILA nakuita tena mara ya Pili! Nilishakukumbusha kuwa huyu Albert Msando ni njaa sana anatafta kuonekana anafanya kazi ili ufukuzwe wewe hapo akae yeye! tokea amekuja Ubungo akili yake ipo kugombana na madereva tu ili apate hela kupitia polisi na makampuni ya UDALALI aiianza na kusema...
  13. Just Pray

    GE2025 Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Halima Bulembo achaguliwa kura za maoni nafasi ya Ubunge Viti maalum Tanzania bara

    Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Halima Bulembo ameshinda nafasi ya Ubunge Viti maalum Tanzania bara akipata kura 320 nyuma ya Ng’wasi Kamani mwenye kura 409 na Jesca Magufuli mwenye kura 409. Zoezi la upigaji kura lilianza rasmi mnamo Agosti 1, 2025 na kufikia tamati alfajiri ya leo...
  14. Yoda

    Mbunge, Mkuu wa Mkoa au Mkuu wa Wilaya Tanzania ni vigumu sana kuajirika akipoteza kazi

    Watu kama January Makamba, Mpina, Mrisho Gambo, Sabaya na Jerry Muro wasipoteuliwa ubunge au kazi za serikalini wanaweza kufanya kazi gani tena hapa Tanzania katika sekta binafsi? Ni wachache sana wanaweza kuambulia kazi za maana kama CEO wa sasa wa Simba, kama hujui biashara maisha lazima...
  15. A

    KERO Uonevu unaofanywa na Mganga Mkuu wa Wilaya ya Serengeti

    Mganga mkuu wa wilaya anaharibu idara ya afya na kamati ya afya mkoa wanafahamu. Mkurugenzi anafahamu. Anawasimamisha kazi watumishi bila kufuata utaratibu na bila mkurugenzi kujua. Amewasimamisha watumishi wa kituo cha afya Natta bila Mkurugenzi kushirikishwa (ambaye ni mwajiri). Amemchukua...
  16. R

    DC Makete atoa onyo kwa wananchi kuacha wivu wa Misitu. Asema hasara imefikia Bilioni 80 ndani ya miaka minne

    Mkuu wa wilaya ya Makete mkoani Njombe Kissa Kasongwa ameagiza wakazi wa wilaya hiyo kuchukua tahadhari dhidi ya moto unaoteketeza misitu na kupoteza fedha nyingi kila mwaka hali inayopelekea kurudisha nyuma uchumi wa wanaMakete DC Kissa ameeleza hayo wakati akizungumza na wakazi wa Bulongwa...
  17. Titho Dyakiye Philemon

    Mkuu wa Wilaya (W) Ngara Col. Mathias Julius Kahabi Tishio la Kisiasa kwa Vijana wa Ngara : Mamlaka za Uteuzi Ingilieni Kati

    Mkuu wa wilaya ya Ngara COL. MATHIAS JULIUS KAHABI kupitia kikao cha Halmashauri kuu ya CCM (W) Ngara cha mapema Mwezi huu Mei alinukuliwa akitoa kauli za vitisho dhidi ya vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM) akitishia kuwakamata na akikishauri chama kutowateua katika nafasi za uongozi uchaguzi...
  18. M

    Maombi ya uchunguzi kuhusu uchangishaji fedha kinyume na taratibu kwa ajili ya ukarabati wa nyumba ya mkuu wa wilaya ya Maswa

    Kwa Waziri,Mh Mohamed Mchengerwa,Waziri wa TAMISEMI. Sisi wafanyabiashara wa mji wa Maswa kunapenda kuwasilisha malalamiko yetu kuhusu utaratibu unaoendelea wa kuchangishwa fedha na Katibu Tawala wa wilaya ya Maswa,Athuman Kalaghe kwa ajili ya ukarabati wa nyumba ya Mkuu wa Wilaya. Taarifa...
  19. NALIA NGWENA

    Shinyanga: mkuu Wa mkoa, mkuu Wa Wilaya na Viongozi Wa kata shinyanga mjini,Je mnataka kizazi Cha mabinti wote waingie kwenye biashara ya Ngono?!!

    Natangaza hali ya hatari Maana Viongozi Wa ngazi ya Mkoa, wilaya mpaka kata shinyanga mjini wamelala na wameamua kupuuzia suala la biashara ya Ngono inayoendelea shinyanga mjini mtaa wa JOMU. Pale kuna Dangulo Moja linalofahamika kama Maswa Guest lipo karibu kabisa na ofisi za Serikali ya mtaa...
  20. upupu255

    Mkuu wa Wilaya ya Sengerema asema changamoto ya usafiri Kivuko cha Kigongo-Busisi inatokana na Gugumaji jipya, Serikali yachukua hatua za haraka

    Mkuu wa Wilaya ya Sengerema, Senyi Ngaga, amesema kumekuwa na changamoto ya usafiri katika kivuko cha Kigongo-Busisi kutokana na kuibuka kwa gugumaji jipya linalosababisha hitilafu kwenye injini za vivuko. Kutokana na hali hiyo, baadhi ya vivuko vililazimika kusitisha safari ili kufanyiwa...
Back
Top Bottom