mkuu wa majeshi

  1. L

    Mkuu Wa Majeshi Mstaafu Jenerali Venance Mabeyo Ammiminia Sifa na Pongezi Paul Makonda Kwa Uchapakazi wake Uliotukuka. Ampa Baraka na Nasaha

    Ndugu zangu Watanzania, Mwamba Paul Makonda Ataendelea kung'aa Kiuongozi ,kushika nafasi nyeti ,kupaa kiuongozi Kutokana na uchapakazi wake uliotukuka na wa kuleta matokeo chanya na ya haraka. Huyu Mwamba ni kama amekuja kwa kazi maalumu hapa Duniani. Ni mtu ambaye ukimpatia kazi anaifanya...
  2. H

    Kama Mohammad Mwenyewe Alisema Kuwa Alitokewa na Shetani au Jini Pangoni, Kwa Nini Watu Wengine Walimlazimisha Aamini Alikutana na Malaika?

    Simulizi la awali la Muhammad kwa mkewe lilikiwa kwamba alipokuwa pangoni Hira, alitokewa na kiumbe wa ajabu ambaye aliamini alikuwa shetani au jini, huyo kiumbe alimwambia asome, akasema yeye hajui kusoma, yule kiumbe akaanza kumbana na kumwachia, akirudia tena na tena, akimlazimisha asome, na...
  3. Mkuu wa Majeshi wa Israel Eyal Zamir awaonya maadui wa Israel wanaotaka kuishambulia nchi yake

    Mkuu wa Wafanyakazi Eyal Zamir: "Tuko tayari kushambulia kwa nguvu kubwa katika eneo lolote na dhidi ya adui yeyote anayetishia usalama wa Taifa la Israeli." Ameongez salamu hizi ziwafikie Hamas, Hezbollah, Houth na Bwana wao Iran.
  4. L

    Picha bora ya kufungulia mwaka kutoka kwa Rais Samia na Mkuu wa Majeshi

    Ndugu zangu Watanzania, Hii ndio picha Bora ya kufungulia Mwaka,picha iliyoteka hisia za watu ,picha iliyoleta tabasamu kwa watu,picha iliyoleta furaha mitaani kote. Picha iliyoamsha matumaini ya mamilioni kwa mamilioni ya watanzania. Picha iliyoonyesha utii , unyenyekevu na Heshima mbele ya...
  5. Zanzibar: Rais Samia akutana na kuzungumza na Viongozi wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Ikulu Ndogo ya Tunguu

    Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Viongozi wa Wizara ya Ulinzi, Jeshi la wananchi na Jeshi la Kujenga Taifa, Ikulu Ndogo ya Tunguu - Zanzibar Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania...
  6. Huyu ndo Mkuu wa Majeshi ambaye watu wanaweza kujivunia kuwa naye

    Ni General Dan Caine, mkuu wa majeshi ya Marekani [Chairman of the Joint Chiefs of Staff]. Nimemtazama na kumsikiliza leo kwenye mkutano na waandishi wa habari uliofanyika baada ya operesheni ya kumkamata Rais Nicolas Maduro wa Venezuela ilipomalizika kwa mafanikio...
  7. Mkuu wa Majeshi Jeshi la Libya, Mohammed Ali Ahmed afariki dunia Jumanne baada ya ndege aliyokuwa akisafiria kupata ajali

    Mkuu wa Majeshi ya Jeshi la Libya, Mohammed Ali Ahmed Al-Haddad, amefariki dunia Jumanne baada ya ndege aliyokuwa akisafiria kuanguka muda mfupi baada ya kuondoka katika mji mkuu wa Uturuki, Ankara. Taarifa hiyo imetolewa na Waziri Mkuu wa serikali ya Libya inayotambulika kimataifa, ambaye...
  8. Abdul Ameir anawasalimia

    Hivi majuzi nilipata bahati ya kukutana na "mkuu wa majeshi", tukagonga "cheers" na kula kuku, kwa kweli tuliburudika. Ni mtu mwema na muadilifu sana, ana moyo wa huruma na mwenye kutanguliza maslahi ya Taifa mbele. Sikuwahi kudhani kama ningewahi kutokwa na machozi ya furaha kiasi kile...
  9. Ni lini CDF Mkunda aliwahi kukemea Utekaji? Mwenye clip aiweka hapa Tuone

    Mkunda alisema vijana wetu ni wahalifu. Vijana wanaopamba kuasi mfumo kandamizi dhidi ya ufisadi na utekaji. Tangia utekaji umeshamili nchini, ni lini Mkuu wa Jeshi tena la Wananchi JWTZ aliwahi kukemea utekaji na kuonyesha kuchukizwa na vitendo vya utekaji dhidi ya wananchi. Kama kuna mwenye...
  10. Inashangaza kuona mkuu wa majeshi msiri kuliko mkuu wa usalama wa taifa

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Hivi huyu mkuu wa usalama wa taifa hicho cheo alikipataje? Chawa wake ni akina nani , ana magari mangapi, analala chumba gani, ana watoto wangapi, kaiba sh ngapi, yaan kwa kifupi ni hovyo kabisa Anazidiwa mpaka na akina Jesca Magufuri ni...
  11. GE2025 Serikali maandamano bado yapo haturudi nyuma japo kuwa mkuu wa majeshi katusaliti

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Ujumbe huu uwafikie mapolisi wote Tukutane tarehe 29 10 SAYUNI BOY
  12. Angalizo kwa mkuu wa majeshi CDF

    Ukichelewa kuwawahi wanamtandao (wahuni) akina kikwete na wenzake, watakuwahi wewe. Kwasasa wanaweza kutokuwa na imani na ww baada ya taarifa isiyoeleweka kutoka JWTZ kuhusu captain Tesha, mgawanyiko wa Jeshini unaotokea ambao unakufanya ufikirie kuwaleta pamoja kwa kuwapa haki wananchi...
  13. GE2025 Amani Golugwa: Tumemuandikia barua mkuu wa majeshi alisaidie taifa pawepo na uchunguzi ili taifa lijiridhishe tuhuma mfumo wa uchaguzi uliongiliwa

    Akizungumza kupita Global TV Naibu katibu mkuu wa Chama Cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA Amani Golugwa amesema wamemuandikia barua mkuu wa majeshi nchini kumkumbusha kauli ya ya baba wa taifa kuhusu wajibu wa jeshi la wananchi kulinda katiba na mfumo wa vyama vingi. "Tumemuandikia barua mkuu...
  14. Mkuu wa Majeshi ya Israel Lt Jeneral Eyal Zamir awatishia viongozi wa Hamas nje ya nchi: 'Tutawafikia Popote walipo!!

    Mkuu wa IDF awatishia viongozi wa Hamas nje ya nchi: 'Tutawafikia pia' Mkuu wa IDF, Lt. Jenerali Eyal Zamir (kushoto) akizungumza katika tathmini pamoja na Mkuu wa Kamandi ya Kaskazini Meja Jenerali Rafi Milo, Agosti 31, 2025. (IDF) Kufuatia mauaji ya Israel kwa maafisa wakuu wa Houthi na...
  15. Nini hatima ya watanzania, Inatosha sasa! Yaliyosemwa na Dkt. Slaa na Polepole yanaumiza

    Ndugu zangu Watanzania ama watanganyika,naona vibaya hata kuandika hii barua kutokana na mambo yanavyoendelea kutoka kwa wadau mbali mbali na pia naweza kuwaita wazalendo waliojitolea kututoa matongotongo machoni,na kutuzibua masikio. Sasa naweza kusema inatosha kwa sasa viongozi hawana nia...
  16. H

    Polepole ni CCM na CCM ni Polepole hakuna jipya

    Ukiwa na akili na uelewa wala huulizi nini anafanya polepole kwani iko wazi anachofanya ni kuwahamisha wananchi kutoka kwenye umakini na kuwachanganya wasahau yanayowasibu. Polepole hana jipya labda kama lakini kwa mdomo mtu kama Lissu,Silaa,Rungwe,nk t
  17. Rais wa Marekani humuapisha mkuu wa majeshi ya Marekani tu!

    Tofauti na marais wengi duniani ambao huwaapisha kiapo cha utumishi maafisa na watumishi lukuki wa serikali na mihimili mingine ya nchi, rais wa Marekani kiutamaduni yeye huwa anamuapisha mkuu wa majeshi ya Marekani/mwenyekiti wa kamandi za jeshi la Marekani tu. Mawaziri na watumishi katika...
  18. Ushauri wa Mkuu wa Majeshi ufanyiwe kazi!! Wagombea hasa kupitia wachunguzwe uraia wao

    Nimeitaja CCM kwa sababu wengi wao uitumia CCM Kama Daraja kwa sababu awafatiliwi wakiwa CCM. Kuna watia Nia hasa ndani ya chama Cha mapinduzi wa ubunge na udiwani sio raia wa Tanzania Naomba mamlaka ya uhamiaji iwachunguze watia nia wote Kwani Hawa ni watu muhimu Sana kwenye ulinzi na...
  19. Israel imemuaa Mkuu wa Majeshi mpya wa Iran, Jenerali Ali Shademani, ambaye alichaguliwa siku 4 zilizopita

    Israel imemuaa Jenerali Ali Shademani yaani Mkuu wa Majeshi mpya wa Iran ambaye alichaguliwa kushika nafasi hiyo baada ya aliyekuwa mkuu wa Majeshi kuuawa na Israel. Jenerali Ali ametumikia nafasi hiyo kwa siku 4 na masaa 3 tu. Taarifa imethibitishwa na kiongozi mkuu wa Iran.
  20. Aliyeteuliwa kama mbadala wa mkuu wa majeshi ya Iran naye aliuwa, itangazeni hiyo nafasi upya

    Kila anayechukua huo wadhifa analiwa, tangazeni hiyo nafasi tena, wanawahishwa kwa mabikira.... Ayatollah tunamsaza tu ili atie saini mkataba wa kuisahau nyuklia, la sivyo tungekua tushamla na lile gauni lake ==================== The IDF on Tuesday assassinated the replacement Iranian Khatam...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…