mkutano

Mkutano Meets the Culture Musical Club of Zanzibar is an album by American blues artist Taj Mahal.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Dodoma: Mkutano wa Kwanza Bunge la 13 November 11, 2025

    Leo, Novemba 11, 2025, Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linaanza rasmi vikao vyake kwa kufanyika kwa kikao cha kwanza cha mkutano wa kwanza wa Bunge hilo. Kazi kubwa inayotarajiwa kufanyika leo ni uchaguzi wa Spika wa Bunge, ambapo vyama Sita vimewasilisha wagombea huku mgombea wa...
  2. D

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baada ya Mkutano wa Mwanza leo, Samia atakimbilia zake Kizimkazi kujificha

    Baada ya kumwaga petrol ya kutosha kila eneo Tanganyika, na baada ya mkutano usio na maana yoyote (empty pleasure) kule mwanza, Bi.Nwyinwyi na familia yake yote wataelekea zao Zanzibar na Dubai kujificha. Hatajipigia hiyo kura yake Dodoma wala Dar es Salaam. Shida za Bara hazimhusu mjue Atakaa...
  3. JamiiForums Tanzania Miradi kusimamishwa ili Magari yakabebe watu wa kujaza Mkutano wa Mwanasiasa

    Watoto wetu watakuwa wanasimuliwa. Mwaka 2025, Miradi mikubwa ya maendeleo ilimama sababu Magari yote yalienda kubeba watu wa kujaza mkutano wa Mwanasiasa. Amri ilikuwa inatoka ngazi ya taifa, Mkoa, Wilaya hadi Kata. Shule zilifungwa, Ofisi zilifungwa ili watu wakajaze uwanja wa Mwansiasa...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto Kabwe anafanya Mkutano Mkubwa Kigoma, leo Oktoba 12, 2025, asema "Mimi ni Zitto yuleyule"

    Kiongozi Mstaafu wa ACT Wazalendo na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, leo Jumapili Oktoba 12, 2025 anafanya Mkutano Mkubwa wa Kampeni katika Uwanja wa Community Center. https://www.youtube.com/live/FfJn75bEH7Y?si=XT0o3ke-vz7q0bIs...
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Mwambien Rais Samia Vijana aloamuru Washughulikiwe pale Serengeti, wameumizwa na kuvunjwa, Mmoja yuko ICU

    Ndugu yangu unaweza jiuliza, huyu ni Mama na aliwahi kulea ??. Lile suala analodai Vijana wanawasukuma wenzao mbele , lilikua ni Suala la kusema "Wasaidieni waweze kusimama vizuri Kwa Utulivu ". Ila kwakua anajua HAPENDWI . kwakua anajua wamekuja Mkutanoni baada ya KULIPWA PESA hawezi kua nao...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Video: Inadaiwa baadhi ya Wananchi wa Mbeya leo wakipokea posho ili wakajaze mkutano

    Hayo mambo kwakweli ni ya aibu, huwezi kulazimisha watu wakupende. Mbeya hiyo leo inadaiwa wakiwa wanapokea hela ndo wakajaze mkutano. Kila mtu Elfu 10. Hizo ni hela za walipa kodi,Samia anachota analipia nyomi ili atengeneze picha ya kwamba anakubalika. Alafu wananchi ndo wanaongezewa makodi...
  7. JamiiForums Tanzania ITV mmeshuka viwango, mna waandishi makanjanja- Mkutano wa wahandisi umewaumbua!

    Nimekaa hapa nafuatilia habari za siku katika channelinpendwa ya ITV. Wenywe wanajiiter SUPER BRAND : EAST AFRICA. ITV hawana usuper brand wowote, na sasa wana waandishi wa habari wameanza kuwa makanjanja. Dunia ya leo waandishi wa ITV hawajui tofauti kati ya Engineer( mhandisi) na...
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi Lindi: Hakuna aliyekamatwa kwenye mkutano wa Chama cha AAFP, wanatoa madai ya uongo

    Jeshi la Polisi mkoani Lindi limetolea ufafanuzi madai ya mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Wakulima (AAFP), Kunje Ngombare Mwiru ambaye alisema vurugu zilizotokea jana kwenye eneo Kilwa Masoko zilisababisha ashindwe kufanya mkutano. Soma Pia: Chama cha AAFP yaahirisha mkutano wa kampeni...
  9. JamiiForums Tanzania Video: Waziri wa Afya wa Sweden aanguka live akiwa kwenye mkutano na waandishi wa habari

    Hii kitu nimewaza kama ingekuwa bongo nadhani leo kuna baa zingeuza sana pombe maana watu wangefanya sherehe Sasa hapa nimeshindwa kuelewa shida ni nini? Au alikuwa ana changamoto gani ya afya Kuna mbaba mmoja badala ya kumsaidia mgonjwa kawahi kamera yake kupiga picha
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Mchinjita: Tulipigwa mabomu ya machozi wakati tunajiandaa kwenda kwenye mkutano

    Isihaka Mchinjita, Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, amefunguka kuhusu tukio la kukamatwa kwake na Jeshi la Polisi, akidai kuwa walitumia mabomu wakati wa kumkamata—kauli ambayo imezua mjadala mpana kuhusu haki za kisiasa na uhuru wa viongozi wa upinzani.
  11. JamiiForums Tanzania Ofisi za TLS zazingirwa na Polisi kuzuia mkutano wa CHADEMA

    Chadema walikuwa wameomba ukumbi pale kufanya mkutano wa kuwakumbuka mashujaa yote. Eneo lote limezingirwa na ‘Mapolisi’ === CHADEMA kupitia ukurasa wao wa X wameandika kuwa; "Jeshi la Polisi limezingira ofisi za @TanganyikaLaw na kufunga barabara zote za kuelekea katika ofisi hiyo na kuzuia...
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 Shuhudia nyomi linalomsindikiza Zitto Kabwe kwenye mkutano wa kuzindua Kampeni za Uchaguzi Kigoma

    https://www.youtube.com/watch?v=vjOkard2ik0 Mwanasiasa mkongwe Zitto Z. Kabwe ameanza mchakato wa kampeni za kuwania Ubunge, leo Jumamosi tarehe 6 mwezi wa 9, 2025 anazindua kampeni Mkoani Kigoma.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Eneo la mkutano wa kampeni za CCM hapa Dodoma siku ya jana, liligeuka kuwa stand ya Daladala kutokana na wingi wa mabasi ya kusomba watu

    Huo ndio ukweli na yeyeote aliekuwepo atakuwa ushahidi wa hiki nachokisema. Daladala zinazofanya safari zake hapa mjini, tangu asubuhi ya jana zilionekana zikiwa zinasafirisha watu waliovaa sare za CCM na jioni baada ya mkutano kwisha, eneo la mkutano liligeuka stand ya Daladala na ya mabasi...
  14. JamiiForums Tanzania Video :WanaCCM wakipelekwa kwenye mkutano wa CCM

    Hivi Hawa wanaosombwa namna hii kupelekwa kwenye mikutano ya CCM , akili zao Huwa zinafanya kazi kama akili za sisi binadamu wa kawaida kweli?? Hii nchi bado wajinga na mbumbumbu ni wengi sanaa..kukomboa hili TAIFA ni kazi itakayokamilika miaka 47 ijayo
  15. J

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwa namna Kibaigwa ilivyofurika mkutano wa kampeni, tumtarajie kaka kuitisha press saa tatu usiku

    Shalom Sikutegemea kuona umati kama ule ukijitokeza kumpokea mgombea wa CCM kwa kiasi kile. Watanzania tuwaeleweje? Kwamba Polepole hamumsikii?... Hamumuelewi au!! Kujazana vile kwenye mikutano ya CCM mnatupa ujumbe gani Watanzania wenzenu tusio na upande? Naogopa
  16. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa ACT na sarakasi la Msajili wa vyama: waitishe haraka mkutano mkuu utakaobadili kanuni za chama chao na kumteua tena Mpina kuwa mgombea wao

    Hii sarakasi aliyofanya Msajili wa vyama vya siasa nchini la kumkata mgombea uraisi wa ACT Wazalendo kwa kutumia katiba na kanuni za chama hicho, mbona ni rahisi tu kwa wao ACT Wazalendo nao kuicheza hiyo sarakasi. Katiba na kanuni za chama ni mwongozo wa mkutano mkuu wa chama husika kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania yashiriki ufunguzi wa Mkutano wa 5 wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi za Afrika na Singapore (SAMEV), Agosti 26, 2025

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeshiriki hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Tano wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi za Afrika na Singapore (SAMEV), uliofanyika tarehe 26 Agosti 2025 jijini Singapore. Ujumbe wa Tanzania katika mkutano huo umeongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Sauti ya China yatarajiwa kusikika zaidi kwenye mkutano wa COP30 wa Brazil

    Mkutano wa 30 kuhusu mabadiliko ya tabia nchi (COP30) unatarajiwa kufanyika mwezi Novemba mjini Belém nchi Brazil, ambao unatajwa kuwa mkutano wa kilele wa kihistoria utakaoweka ajenda kuhusu mabadiliko ya tabia nchi duniani kwa kipindi cha miaka 10 ijayo, muongo muhimu kabisa wakati dunia...
  19. JamiiForums Tanzania Tetesi: CHAUMMA & ACT wapongeza Mkutano wa Putin & Trump

    Inasemekana vyama vikuu vya upinzani nchini vimepongeza Mkutano wa Putin na Trump huko Alaska na kutanabaisha kwao ndio mwanzo wa Amani huko Ukraine na duniani kwa ujumla
  20. JamiiForums Tanzania DC Haniu afungua Mkutano wa Kimataifa wa Chama cha Wataalamu wa OPTOMETRIA TANZANIA(TOA) na Baraza la Optometria Afrika (AFCO)

    Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu amewaomba Madaktari(Wataalamu) wa macho Kuendelea kufanya Utafiti wa kina juu ya chanzo cha matatizo ya uoni hafifu na kubaini tatizo na njia za kutibu ili kuondokana na Ugonjwa huo ambao unawashambulia kwa Kasi Wananchi wa Tanzania na Afrika kwa Ujumla...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…