Dodoma. Tanzania imepewa heshima ya kuwa mwenyeji wa Mkutano wa 12 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Nairobi (COP12), unaotarajiwa kufanyika Oktoba 6 hadi 9, 2026, Jijini Dar es Salaam, ukilenga kutoa fursa ya kujadili na kuimarisha mikakati ya pamoja ya usimamizi endelevu wa mazingira ya Bahari...