mkurugenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkurugenzi mtendaji wa UnitedHealthcare auliwa nje ya hoteli Midtown Manhattan

    https://youtu.be/NM2hAO4p8IU?si=6YELos-i_A88ekRw Inavyosemekana mauajj yametokea mapema asubuhi mishale ya saa 12 na dakika 45 nje ya hoteli ya Hilton. Huyo CEO ni Brian Thompson. Inavyoelekea mauaji hayo ni kuwindwa. Jamaa alipomaliza mauaji yake akapanda ki baskeli cha umeme na kutokomea...
  2. DOKEZO Ujenzi holela ndani ya Manispaa ya Moshi, ukiendana na uongozi mbovu wa Mkurugenzi wa Manispaa ya Moshi

    Ujenzi Holela Ndani ya Manispaa ya Moshi Moshi imekuwa mfano wa usafi na mpangilio mzuri wa makazi katika nchi yetu. Hata hivyo, tangu mwaka 2024, hali imebadilika kutokana na usimamizi hafifu wa sera na kanuni za mipango miji. Ujenzi holela wa maeneo kama vile bar, car wash, na biashara...
  3. LGE2024 Mbeya: Mkurugenzi adaiwa kusitisha Uchaguzi eneo la Ubaruku bila taarifa yoyote

    Wakuu, Sarakasi za Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa zinaendelea huko Mbeya mambo yameanza kuchanganya! Zoezi la upigaji kura katika kata ya Ubaruku limesitishwa kwa maelezo kutoka kwa Mkurugenzi. Hadi kufikia saa tatu asubuhi, hakuna taarifa rasmi au maelezo ya kina yaliyotolewa kuhusu sababu ya...
  4. KERO Kituo cha Daladala Mbezi Mwisho hakina mpangilio wa huduma: TANROADS, Jeshi la Polisi, DED Ubungo na Ofisi ya RC ujumbe huu unawahusu

    Kituo cha Daladala cha Mbezi Mwisho ni mojawapo ya vituo vikubwa na vyenye umuhimu mkubwa Jijini Dar es Salaam. Kituo hiki kinapokea abiria kutoka maeneo mbalimbali ya jiji na pia kinahudumia abiria wanaosafiri kupitia Stand Kuu ya Mabasi ya Kimataifa ya Magufuli. Pamoja na umuhimu wake mkubwa...
  5. Huyu Mkurugenzi aliyegoma kununua gari la Milioni 186 na kuamua kuwanunulia watendaji pikipiki 19 atuambie Chenji amepeleka wapi?

    Wakuu, Mimi sikuwa mzuri wa somo la hisabati wakati nasoma, pengine mnaweza mkaja na calculator tuje tupige hesabu. Wakati naperuzi huko mitandaoni nimekutana na clip hii ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mji Ifakara, Zahara Michuzi Katika hali isiyoezeleka Mkurugenzi huyu amekataa...
  6. Mfumo wa ukataji tiketi wa SGR upo vizuri sana Mkurugenzi Kadogosa apewe maua yake

    Nimetumia SGR mara sita.niwe muwazi Mkurugenzi TRC Kadogosa kwenye swala la mfumo wa SGR umesimama vema kabisa Developers wa mfumo wa wa SGR online ticket apewe maua yake amefanya kazi nzuri sana naamini hawezi kuwa mbongo pia natamani nijue wameipata kwa bei gani(Thamani anayejua atudokeze)...
  7. Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC) afanya ziara Visiwa vya Comoro

    MKURUGENZI MKUU ZBC ZIARANI COMORO Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Zanzibar, Ramadhani Bukini yuko nchini Comoro ambapo amekutana na Mkurugenzi Mkuu mwenzake wa Shirika la Utangazaji Comoro ORTC na kutoa mhadhara wa “Maboresho Yanayofanyika ZBC” uliokuwa kivutio kikubwa. Bwana...
  8. Aliyekuwa Mkurugenzi wa Bunda na wengine 11 Wafikishwa Mahakamani kwa kesi ya Uhujumu Uchumi

    Watumishi tisa wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda mkoani Mara, akiwamo aliyekuwa mkurugenzi mtendaji wa halmashauri hiyo, Amos Kusaja na wafanyabiashara watatu wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Musoma wakikabiliwa na mashtaka ya uhujumu uchumi na kuisababishia Serikali hasara ya zaidi ya...
  9. TANZIA Lawrance Mafuru, Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango afariki dunia

    Lawrence Nyasebwa Mafuru, Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango amefariki Dunia leo Novemba 9, 2024 katika hospitali ya Apollo nchini India. Rais Samia Suluhu Hassan ameandika katika Mitandao yake ya Kijamii kuhusu Kifo cha Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango, "Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya...
  10. Madai ya mkurugenzi mkuu wa TRC kuhusu watu kuhujumu treni ya SGR yanahitaji kushughulikiwa haraka

    Siku ya jana kuna madai toka kwa mkurugenzi mkuu wa TRC kuwa anayo majina ya watu wanaoihujumu treni ya SGR, madai haya ni mazito na TRC haina uwezo wa kuyashughurikia kwa sababu yanahusu jinai. Kwenye madai hayo kuna taarifa ya kuwa wapo watu wanakata waya za umeme ambao ndiyo nishati ya hiyo...
  11. Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa Msumbiji(SISE) Bernardo Lidimba afariki kwa ajali ya gari

    Kifo cha ghafla cha Bernardo Lidimba, Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa ya Msumbiji (SISE), katika ajali ya gari iliyotokea jana kimetikisa sekta ya kisiasa na kiusalama ya nchi. Tukio hili la kusikitisha limetokea wakati kuna maandamano makubwa yanayoendelea kufuatia matokeo ya...
  12. U

    UTEUZI: Meja Jenerali Aviad Dagan mkurugenzi idara ya huduma za computer ya IDF, alishiriki shambulizi dhidi ya Iran jumamosi iliyopita

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Maj. Gen. Aviad Dagan takes over IDF Computer Service Directorate By Emanuel Fabian Maj. Gen. Aviad Dagan has taken over the IDF’s Computer Service Directorate, replacing Maj. Gen. Eran Niv, who is retiring from the IDF after a...
  13. Wito kwa Waziri Mhagama na Mkurugenzi Irene Kisaka: NHIF Wache Mara Moja Kufanya Kazi Kiswahili Badala ya Kuzingatia “Service Delivery Cycle" Makini

    Mhe. Jenista Mhagama, Waziri wa Afya, na Mbunge wa Jimbo la Peramiho, mkoani Ruvuma, Tanzania I. Usuli Kwa mujibu wa Dokezo la Kisera (Policy Brief) linalojadiliwa hapa, ninyi Waziri wa Afya, Jenista Mhagama, na Mkrugenzi Mkuu NHIF, Irene Kisaka, mnakumbushwa kutekeleza majukumu yenu vizuri...
  14. M

    Mkurugenzi wa NEC amejiandikisha, je unadhani atachagua viongozi wa chama gani?

  15. Je, Rais wa Tanzania anaweza kutumbua watendaji upande wa Zanzibar?

    Habari wadau. Naomba kujua power ya Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania katika kuwateua ama kuwawajibisha viongozi waliopo Zanzibar
  16. TANZIA Profesa Shao Mkurugenzi mstaafu hospitali ya KCMC azikwa, madaktari wamlilia

    Aliyekuwa mkurugenzi mtendaji wa hospitali ya KCMC, na makamu mkuu wa kwanza wa chuo Kikuu Tumaini Makumira Profesa John Shao (80) aliyefariki Oktoba 6 mwaka huu amezikwa. Profesa Shao ambaye ni mtanzania wa kwanza kusoma shahada ya vimelea vya magonjwa atakumbukwa kwa uchapakazi wake ndani na...
  17. Mkurugenzi wa Mawasiliano ameteuliwa lini?

    Tulizoea sana kuona nafasi ya Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu ikitangazwa, taarifa pia zikiwekwa katika ukurasa wa Facebook wa Ikulu Mawasiliano na ukurasa wa Facebook wa Msemaji Mkuu wa Serikali. Leo, Taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu imetiwa sahihi na Sharifa B...
  18. Mkurugenzi mkuu wa TRC, Masanja Kadogosa amegoma kuja JF atufafanulie uhalali wa makatazo wanayofanyiwa wasafiri wa SGR

    Wasafiri wanaotumia treni ya SGR ya TRC wamekumbana na makatazo ya vitu ambavyo ni haki yao kutembea navyo, mfano maji ya kunywa na mfuko unaohalalishwa na Serikali! Tumejitahidi kumuita aje atupe ufafanuzi wa madhara ambayo TRC imeyaona ikiruhusu abiria waingie navyo kwenye treni yao tofauti na...
  19. PreGE2025 Rais Samia: Sisi ni Watumishi wa Wananchi na si Mabwana wala Watawala wa Wananchi

    https://www.youtube.com/watch?v=i0jHmbJVjS4 Akizungumza wakati anazindua jengo la ofisi y mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Rais Samia amewataka viongozi wa Halmashauri hiyo kutumia jengo hilo kurahisisha kufanya kazi zao kwa sababu miundombinu ni mizuri na pia aliwataka watumishi...
  20. Mkurugenzi TRC Kadogosa njoo JamiiForums ujibu tuhuma za kinachoendelea kwenye treni ya SGR

    Kinachoendelea kwenye makatazo kwa abiria wanaopanda treni ya SGR ni kuonesha ushamba na ulimbukeni. Hili la kukataza mifuko yenye zipu maarufu kama shangazikaja na maji ya kunywa chupa moja! Na vitu vingine visivyokuwa na athari kwa abiria wengine. Tanzania Railways Corp
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…