Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuandika Baadhi ya Maafisa Utumishi na Mkurugenzi wanashikilia vibali vya Uhamisho vinavyotoka kwa Katibu Mkuu Utumishi au TAMISEMI Halmashauri imetoa ufafanuzi kuhusu hoja hiyo...
TAARIFA KWA UMMA
YAH: UFAFANUZI KUHUSU TAARIFA POTOFU INAYOSAMBAA...
Mimi ni Mtumishi X kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama Singida, kumekuwa na tatizo la Maafisa Utumishi na Mkurugenzi kushikilia vibali vya Uhamisho vinavyotoka kwa Katibu Mkuu Utumishi au TAMISEMI.
Mtumishi akienda kudai wanatoa maneno makali au wakisema kuwa barua hizo bado hazijawafikia...
Wakati CCM ikijinadi kuwa na wanachama milioni 13 nchi nzima, hali kwa ground sio poa. Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Karatu ameandika barua na kuwataka watumishi wote wa umma na wanafunzi kuhudhuria mikutano ya mwenezi wa CCM, mzee wa MPOX ndugu Amos Makala itakayoanza leo...
Kwanza kabisa nikupongeze kwa kuamininiwa na mh. Rais kuisimamia taasisi hiyo nyeti inayohusika na maslahi ya watu wanaotaabika kwa miaka kibao.
Kumekiepo na malalamiko dhidi ya mtangulizi wako kwani alishindwa aidha nguvu na hao watumishi wa ofisi au ilikua ni maelekezo yake. Mambo yalikua...
Rais John Magufuli akielezwa jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk Charles Kimei baada ya kufungua tawi jipya la benki hiyo lililopo Chato Mkoani Geita. Kushoto ni Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Ashatu Kijaji, March 9, 2018. Picha na Othman Michuzi.
SEHEMU YA STORI YA MWANANCHI...
Jumla ya migodi 13,279 pamoja na bohari za baruti 164 zimekaguliwa nchini kuanzia Julai 2024 hadi Machi 2025.
Hayo yameelezwa Mei 28, 2025 jijini Mwanza na Mkurugenzi wa Idara ya Leseni wa Tume ya Madini, Mhandisi Aziza Swedi, akizungumza kwa niaba ya Katibu Mtendaji wa Tume hiyo, Mhandisi...
Rais Samia ametoa maagizo mazito kwa Lazaro Jacob Twange, Mkurugenzi Mtendaji mpya wa TANESCO, akimtaka kuiongoza taasisi hiyo nyeti kwa weledi, uzalendo, na ufanisi mkubwa. Akimwelekeza rasmi kuanza majukumu, Rais Samia amesema TANESCO ni taasisi ya kimkakati inayohusiana moja kwa moja na...
Kwani huyu Mkurugenzi wa tume ya mchongo nani kamwambia sisi tunataka kuongezewa muda wa kujiandikisha kupiga kura?
Sisi hatushiriki uchaguzi bila mabadiliko ya kiuchaguzi kama yeye amechaguliwa na samia ambaye ni mgombea hakuwezi kuwa na uchaguzi wa haki kuna kupotezeana muda na hatupo tayari...
Hakuna jambo linafurahisha kama kuona mtanzania mwenzetu anapata mafanikio makubwa kimataifa. Sisi watanzania wazalendo tumeupokea taarifa za kuchaguliwa kwako kuwa mkurugenzi wa WHO Afrika matumaini makubwa.
Nafasi aliyoipata Prof. Janabi ni ushindi wetu watanzania kama Taifa. Katika hili...
Prof. Mohammed Janabi, mgombea kutoka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye uchaguzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika unaofanyika leo Jumapili Mei 18, 2025 akijinadi mbele ya Mawaziri wa Afya kutoka nchi za Bara la Afrika na kuwaomba kumuunga mkono
afrika
afya
duniani
jamhuri
jamhuri ya muungano
janabi
kanda
kutoka
mgombea
mkurugenzimkurugenzi mkuu
mkuu
mohammed
mohammed janabi
muungano
shirika
shirika la afya
shirika la afya duniani
tanzania
uchaguzi
Hivi aliemwambia huyu mkurugenzi wa tume ya mchongo sisi tunataka kupiga kura nani ? nimemsikia anasisitiza wananchi wasichane karatasi kwenye vituo.
Hatupigi kura wala hakuna uchaguzi unaofanyika bila mabadiliko unaongelea masuala ya kuchana karatasi lakini kuiba kura uongelei ?
Kama mnataka...
Mkurugenzi Mkuu LATRA wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), CPA Habibu Suluo amewaasa Wanahabari kutumia kalamu zao vizuri kuandika habari zinazohusu uchaguzi mkuu na kuepuka habari zinazopotosha Jamii pamoja na kuandika kwa umahiri habari zinazohusu sekta ya usafiri nchini.
Amesema...
Kwa mfano, taarifa hii/ushauri huu ni madini makubwa sana.
https://www.jamiiforums.com/threads/pamoja-na-kuruhusiwa-watu-kwenda-kusikiliza-kesi-ya-lisu-chadema-kuna-mtego-wametegewa-ngoja-niwasanue-sasa.2336593/page-2#post-53689188
Kama Mulilo anaweza kusema tarehe 24 polisi hawakumkamata...
Wakati PM akitambua uwepo wa viongozi mbalimbali waliohudhuria kwenye sherehe za Mei Mosi ametambua uwepo wa "mkurugenzi wa Kima Cha Chini Cha Mishahara".
Nchi Ina vyeo vya hovyo hii! Yaani huyu mtu ni mkurugenzi wa kusimamia na kudhibiti mishahara ya Kima cha chini tu? Kima Cha juu yeye hataki!.
Ndugu zangu wana JF, ukizaliwa wilayani Ngara, Mkoani Kagera ni rahisi sana kutegua kitendawili cha Kwanini Nguruwe hauzwi kwenye minada ya mifugo licha ya kuwa ni mnyama anayefugwa na mwenye jina rasmi kwenye kundi la wanyama.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngara (DED) kwa...
https://youtu.be/cfHzDQSD8vs?si=8UR5XPRjzS4yzanv
Mwanasheria msomi na Wakili wa LHRC amempinga Mkurugenzi wa Tume isio Huru ya Uchaguzi Tanzania Bwana Ramadhani Kailima kuwa ati CHADEMA wameondolewa kwene Uchaguzi wa 2025 kwa kukataa kusaini Kanuni za maadili ya Uchaguzi.
Wakili msomi Maduhu...
Tanzania lazima tujenge utamaduni wa kuhoji, sio kukubali kila tunachoambiwa, na Polisi au hata na serikali. Niliposikia juu ya hii ajali kwanza nilihoji ikiwa ajali ilitokea saa nane usiku na Mkurugenzi na dereva wote wamekufa, Polisi walijuaje dereva alikuwa anamkwepa mtu wa baiskeli?
Sasa...