mkurugenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Tuwaombee TBC wanapita wakati mgumu, rasilimali watu ina tatizo la fikra lililozalishwa uchawa

    TBC wamekuwa reporter kwa muda mrefu. Madhara yake kila wanachoambiwa na viongozi wa nakipeleka hewani kama walivyoambiwa hakuna kuongeza wala kupunguza. Hakuna analysis wanaoruhusiwa kufanya wala critics yoyote waliyopewa nafasi kuifanya. Wameaminishwa kwamba wakifanya analysis wataonekana...
  2. JamiiForums Tanzania Kwako mkurugenzi wa TANOIL: Fanya yafuatayo kuongeza mauzo kwenye vituo vya mafuta vya TANOIL ili kampuni ipate faida

    Kwako mkurugenzi wa TANOIL fanya yafuatayo kuongeza mauzo kwenye vituo vya mafuta vya TANOIL ili kampuni ipate faida. Kwanza kabisa naomba kumshukuru Rais Dkt Samia Suluhu kwa kuruhusu uhuru wa kujieleza hivyo sasa tunaweza walau hata kushauri kwa uwazi hata kukosoa pia. Pili napenda kuweka...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala atoe ufafanuzi hii kodi ya taka inayodaiwa mtaani bila risiti

    Mwenyekiti anakwambia uwe na shimo la kuchomea taka nyumbani unafanya, hujaakaa vizuri wanapita watu wanataka utoe elfu tano ya taka kwa mwezi na wanasema ni maagizo ya Mkurugenzi, tunataka ufafanuzi
  4. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi TRC: Tutaruhusu Wawekezaji binafsi kwenye Mradi wa SGR kuingiza Vichwa cya Treni na mabehewa yao

    Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Reli nchini (TRC), Masanja Kadogosa amesema kuwa Serikali itanatarajia kuweka milango wazi kwa wawekezaji binafsi kuwekeza kwenye mradi wa reli ya kisasa (SGR) kwa kuingiza vichwa vya treini na mabehewa yao. Akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari nchini...
  5. JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Arusha (Dkt. Pima) afunguliwa kesi mpya 2 za Uhujumu Uchumi

    Mkurugenzi wa Mashtaka nchini DPP, amemfutia Kesi na kumfungulia mpya mbili za Uhujumu Uchumia aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Dkt. John Marko Pima na wenzake watatu. Kesi hizo zimefunguliwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha zikimkabili na wenzake watatu. Kesi hizo zina mashtaka...
  6. JamiiForums Tanzania Uteuzi: Rais Samia Christine Gideon Mwakatobe kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC)

    Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Christine Gideon Mwakatobe kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC) akichukua nafasi ya Ephraim Mafuru ambaye siku tatu zilizopita aliteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB). Kabla ya...
  7. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Bandari Dar: Madai ya Wateja kuihama Bandari ya Dar ni Propaganda za Kibiashara

    https://www.youtube.com/watch?v=Z7KgsABYcRc Mkurugenzi wa Bandari ya Dar, Mrisho Mrisho akizungumzia madai ya kuwa wateja wamekuwa wakiikimbia Bandari hiyo na kwenda Nchi jirani, amesema hizo ni propaganda za Kibiashara. Chanzo: Dar 24
  8. S

    JamiiForums Tanzania Chiza Marando, Mkurugenzi Halmashauri ya Tunduru na PS wako toeni barua za uhamisho za watumishi, kwanini mnazificha?

    Ndg Chiza siyo Chizi Marando na PS wako aitwaye Prisca Nyoni mmekuwa na tabia za watumishi hasa zinazohusu uhamisho, mnakaa nazo hata zaidi ya miezi 6, kwanini? Mnajua sababu kwanini mtumishi husika aliomba uhamisho? Kwanini mna roho za kikatili hivyo? Je huo ndio mwongozo wa kazi zako...
  9. JamiiForums Tanzania "Mkeka" wa Rais Samia wamuondoa Mkurugenzi wa Bukoba

    Rais Samia Hassan Suluhu amemteua Jacob Simon Nkwera kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba. Kabla ya uteuzi huu, Nkwera alikuwa Afisa Mwandamizi, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa. Kutokana na uteuzi huo inamaanisha aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Bukoba...
  10. S

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Waziri Mchengerwa huyu mkurugenzi wa Tunduru, Chiza Marando na PS wake Prisca Nyoni wananyanyasa watumishi

    Waziri wa TAMISEMI huyu mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru akishirikiana na personal secretary(PS) wake wanawanyanyasa sana watumishi hasa walimu. Huyu PS anaficha barua ya mtumishi hasa inayohusu uhamisho. Kuna mwl alipata uhamisho kutoka TAMISEMI mwaka jana alikaa na barua ya...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi mkuu LATRA Habibu Suluo hizi namba zenu 0800 11 0019 na 0800 11 0020 hazina msaada, toa namba zako mwenyewe

    Mkurugenzi mkuu CPA Habibu Suluo hizo namba zenu tajwa hapo juu hazina msaada toa namba zako za mkononi, unaogopa kusumbuliwa wakati uko kutumikia watanzania? Hizo namba ukipiga kuna vijana hupokea hawana msaada zaidi ya kukuudhi zaidi. Kwa mfano wanakujibu mpigie meneja wa mkoa wako, kwanza...
  12. JamiiForums Tanzania Nina shida na namba za mkurugenzi wa RITA

    Habarini Wana JF, Mimi nlikua nafanya kazi taasisi Fulani hapa Tanzania kwa bahati mbaya ikafutwa na maelekezo yakaja kwamba stahiki zetu tutapata baada ya Mkurugenzi wa RITA kukamilisha ufilisi na Sasa alishakamikisha na tukapewa fomu za kusaini tulipwe stahiki zetu ,Ilikua ni mwezi wa kwanza...
  13. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi TAMWA Zanzibar avitaka Vyombo vya Habari kuripoti kwa kina Mapungufu Sheria za Habari ili zifanyiwe marekebisho

    Mkurugenzi wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania, Zanzibar (TAMWA ZNZ), Dkt. Mzuri Issa, amehimiza vyombo vya habari kuripoti kwa kina mapungufu ya sheria za habari za Zanzibar ili zifanyiwe marekebisho na kutoa fursa kwa wananchi kupata habari bila vikwazo. Akizungumza na...
  14. JamiiForums Tanzania Bashe: Tumewalinda vya kutosha Wafanyabiashara wa Sukari, sasa wachague kuuza au kuacha, tunabadili Sheria

    Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Zuhura Yunus anatarajiwa kuzungumza na Wanahabari (Wahariri na Waandishi wa Habari), Ikulu ya Dar es Salaam, leo Alhamisi Februari 22, 2024 https://www.youtube.com/watch?v=YM-aG-w-Je0 Endelea kufuatilia kitakachoendelea... Zuhura Yunus: Rais Samia...
  15. JamiiForums Tanzania Prof. Janabi ndiye Mkurugenzi productive kuliko wakurugenzi wote

    Huyu Mzee anawajibika ipasavyo Kila akipata Fursa ya kuujulisha UMMA kiukweli anaitendea haki. Kazi/projects zilizopo na zijazo zinatia moyo sana kwa future ya taifa na mataifa jirani. Vp wakurugenzi wengine wangekuwa productive kama huyu Mzee naamini matatizo ya usafiri, mafuta, umeme...
  16. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Mkurugenzi na Afisa Elimu

    Barua ya wazi Kwa mkuu wa wilaya ya Ubungo, Mkurugenzi na afisa elimu. Sisi ni wazazi wa watoto wanaosoma shule ya msingi Msumi. Ndugu wakuu wetu tunahitaji Sana msaada wetu kuhusu upotevu wa pesa zetu ambazo tulichangishwa na Kamati ya makande inayosimamiwa na Kamati kuu ya shule chini ya...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Kuondolewa kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi ya Watumishi wa Umma (PSSSF)

    Tarehe 6/2/2024 lilitolewa tangazo la mabadiliko katika uongozi wa mashirika kadhaa likiwemo hilo lililotajwa hapo juu. Hilo shirika hapo nyuma lilikuwa na historia ya kutofanya vizuri katika majukumu yake mpaka pale ndugu HOSEA KASHIMBA alipoteuliwa kuliongoza shirika hilo. Malalamiko ya...
  18. JamiiForums Tanzania Mwenezi Makonda Amtimua Mkurugenzi wa Nkasi Kwenye Mkutano Baada ya Wananchi Kumlalamikia

    Paul Mkaonda aendeleza moto wa kuwashughulikia Watendaji wababaishaji. Zamu hii amemtimua kwenye Mkutano Mkurugenzi Mtendaji wa Nkasi Baada ya Wananchi wengi Kumlalamikia Kwa madai mbalimbali. Makonda: Mwaka huu mtaota nywele 😆😆. Kazi iendelee 👇👇 https://youtu.be/9xYY1I5CxU8?si=nQs8d_rgnMpEideN
  19. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa TALGWU, Mhasibu na Mkuu wa Mikopo wafikishwa Mahakamani kwa Ubadhirifu wa Tsh. Milioni 133.5

    DAR: Watumishi 4 wa akiwemo Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha wafanyakazi wa Serikali za Mitaa Tanzania (TALGWU) akiwemo Mkurugenzi Mtendaji, Jackson M. Ngalama, Emmanuel G. Mdoe (Mhasibu), Pamela M. Sellemia (Mkuu wa Idara ya Mikopo), Timothy P. Mashishanga (Dereva) wamefikishwa Mahakamani kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Makamba ateta na Mkurugenzi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Uhamiaji (IOM)

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba amekutana kwa mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Uhamiaji (IOM), Amy Pope Jijini Roma, Italia. Akizungumza katika kikao hicho, Waziri Makamba ameipongeza IOM kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…