mkubwa

Bwana Mkubwa is a constituency of the National Assembly of Zambia. It covers Bwana Mkubwa, Chichele, Itawa/Ndeke, Kantolomba, Kavu/Kan'gonga, Mushili, Munkulungwe and Twashuka/Kaloko in the Ndola District of Copperbelt Province.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Watanzania wangekuwa na utambuzi, wangeelewa nchi iko katika mtafaruku mkubwa wa kutisha!

    Tanzania kwa sasa iko katika mtafaruku wa mkubwa wa kutisha wa uongozi unaotia ndani mambo ya kutisha sana, ambayo mtu yeyote mwenye akili akitafakari anapaswa kutetemeka kwa hofu. Mara nyingi hali kama hii inapojitokeza katika nchi huwa kunakuwa na njia mbadala ya kurekebisha mambo, lakini sio...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kamwaga hakwenda Ubalozi wa Marekani kujiridhisha kama kweli Tanzania ina uchumi mkubwa kuliko USA?

    CCM imezalisha vijana wa hovyo sana Sifahamu kama vijana wengi wa CCM wanalogwa ama vipi Kama suala ni Polepole kasema Uwongo, je hili la Tanzania kuipiku uchumi Marekani ni la kweli?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Zamani tuliamini Albino hawazikwi wanapoteaga kumbe wanatekwa, ni nani aliendesha huo mtandao kwa usiri mkubwa kwa muda mrefu ?

    Hapo zamani kwa miaka mingi tuliaminishwa kwamba Albino hafi anapotea. Kumbe nyuma ya pazia wanatekwa wakihusoshwa zaidi na imani za kishirikina wakiwa kama sehemu za kafara. Ni kwa muda mrefu sana haya yaliendelea, ni nani au kina nani walikuwa waendeshaji wa huu mtandao ?
  4. JamiiForums Tanzania Adui wetu mkubwa ni mwenge wa uhuru, kuna mavumba huwa yanafukizwa kutupumbaza watanzania

    Amin nawaambia mwenge wa uhuru ni silaha kubwa sana inayotuangamiza watanzania. Moto wa mwenge ukiwaka na mavumba huwa yanafukizwa mule na kununiwa maneno fulani kutupumbaza watanzania Kila kata utakapopota wakazi wa hiyo kata wanakuwakama tulivyo leo, mimi na wewe, hatujielewi kwa chochote...
  5. P

    JamiiForums Tanzania VR inazidi Kuangaza juu ya Polepole inasemekana ni mwizi 2015 na pia mtekaji mkubwa

    HUYU JAMAA NIkUMPUUZAA MAANA NI MUHUNI ALIEKIDHIR Polepole na uongo na siasa za ujanja janja Mwaka 2014 Magufuli alituletea MV Bagamoyo ambayo Kwa kifupi pesa zote Milion 710 hazionesha mzabuni ni nani na imenunuliwaje, ikajitokeza kwenye TV Channel 10 ukiutetea wizi huo na kusema mkataba...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Kisa cha mwanaume mwema aitwaye Khalid pamoja na mabinti zake watano: Asmaa (mkubwa), Layla, Huda, Nur, na Yasmin (mdogo zaidi).

    Aliishi mwanaume mwema aitwaye Khalid pamoja na mabinti zake watano: Asmaa (mkubwa), Layla, Huda, Nur, na Yasmin (mdogo zaidi). Baada ya kifo cha mkewe, Khalid alipata maradhi sugu yaliyomzuia kufanya kazi. Hapo ndipo Asmaa akabeba jukumu la kulea nyumba na kumtunza baba yake kwa moyo wa upendo...
  7. JamiiForums Tanzania Naku-challenge unitajie kiumbe kilicho na ubinafsi mkubwa zaidi ya mwanamke hapa duniani. 1 2, 3

    Wala usijichoshe, hakuna. Ushawahi jiuliza kwanini wanawake wanachukiana na kusengenyana? Ni kwa sababu mtu pekee wa kuweza kumuelewa mwanamke hapa duniani ni mwanamke mwenzake ndio maana wanachukiana.
  8. JamiiForums Tanzania Hivi kuna jeshi lenye ufanisi mkubwa Duniani kuzidi IDF?

    Wakuu leo nimefikiria sana juu ya accusations wanazozipata Israel juu ya Genocide huko Gaza. Hivi tuseme ukweli Hawa jamaa kama wangekua wanafanya hizo Genocide huko wangeruhusu wanajeshi wao zaidi ya 500 wafe tangu vita imeaza ? Israel alifanikiwa kushika anga la Iran karibu week anashindwa...
  9. JamiiForums Tanzania Wanawake wenye hela ni mwiba mkubwa sana kwa maisha ya wanaume

    1: Utawakuta wengi wao wanapenda shughuli shughuli na katika shughuli zao lazima wawashirikishe mchicha mwiba kutia shamsham na kuwapa sapoti mapapai ili na wao wajione watu wa maana 2: Utawakuta watoto wao wa kiume ni mayai mayai na mapapai ya baadae hakuna wanachoelewa kuhusu uanaume kutokana...
  10. JamiiForums Tanzania Welcome back TAL in political Arena. Ila, kumbuka Adui yako mkubwa bado yupo HAI, you used to offend the wrong enemy

    Pole Sana Kwa unayopitia na uliyopitia. Najua utakuwa umepata mshangao mtu mwenye akili za juu Kama wewe kutumika kumshambulia the wrong enemy. Hii ndo Ccm inaweza kumtumia yeyote yule kwa interest zake. Kitu ambacho nakupa Kama ushauri wewe na wasaidizi wako make sure Una follow ur instinct...
  11. JamiiForums Tanzania GE2025 Mwabukusi: Kumekuwa na msisitizo mkubwa kwenye amani lakini watu wakasahau haki

    Akizungumza na waandishi wa habari leo Agosti 26, 2025 jijini Dar es Salaam, Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, amesema kumekuwapo na msisitizo mkubwa wa kulinda amani nchini huku haki ikisahaulika. Amesema ni muhimu kutambua kuwa amani ya kweli haiwezi kuwepo...
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 Mkubwa akivuliwa nguo huchutama: CCM wazuieni vijana wenu wasijibu kwa mihemko, wanazidi kuharibu

    Kila mtu sasa ni lwake ndani ya chama! Walau mpaka jana usiku walikuwepo bado wachache wa kusema kitu.. Lakini si kuanzia usiku wa kuamkia Leo! This time limeongolewa jambo ambalo ccm katu wasingekubali kwa gharama yoyote ile liwekwe wazi.. Baada ya maonyo mengi na kutosikilizwa hatimaye Pole...
  13. JamiiForums Tanzania Nikiwa kama 'Mtanzania Mganda' naomba Dua zenu leo Watanzania ili Uganda Cranes nayo ifuzu, kwani leo ina Mtihani mkubwa sana Mandela Stadium

    Yaani Timu zote Tatu zina nafasi ya kupita ila iIiyo tu Mtegoni hasa Kimahesabu ni Uganda (Uganda Cranes) mtuombee.
  14. JamiiForums Tanzania Siku zote mdogo humfuata mkubwa. Putin nmemwonea huruma. Trump ana ubabe mwingi sana

    Putin ameonekana mnyonge sana kuitwa na kwenda Marekani ni kuonesha Putin yupo hoi. Huo ni ukweli ambao hatutakubaliana nao sababu tulikuwa tunaamin Putin ni mbabe sana. Miaka yote naamini Russia/Putin mjeuri sana na mbabe. Lakini nmejifunza kitu. Haya mambo si ya ushabiki.
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Ubora wa hotuba ya Gwajima ya jana ni tofauti yetu Watu weusi na Wazungu katika kuwatumia vizuri watu wenye uwezo mkubwa wa kiakili

    Kwenye hotuba ya jana tarehe 15/08/2025 ya Gwajima, kwenye maneno yote aliyozungumza, neno bora kabisa ni lile kuhusu watu weusi tunavyotofautiana na Wazungu katika kuwatumia watu wenye uwezo mkubwa wa kiakili. Kila siku nikiona namna watu wenye akili na upeo tofauti wa kufikiri na kutenda...
  16. JamiiForums Tanzania Rostam Aziz ni mwanahisa mkubwa katika Kampuni iliyotajwa na Tundu Lissu kabla hajakamatwa!

    The Ngaka Coal Mine /Tundu Lissu's Arrest The Ngaka Coal Mine, located in Mbinga District, Ruvuma Region, is the same mine that opposition leader Tundu Lissu was speaking about shortly before his arrest. In 2011, the Government of Tanzania entered into a Public–Private Partnership (PPP) with...
  17. JamiiForums Tanzania Naomba Serikali itumie hekima kumsaidia Mke Mkubwa wa hayati Job Ndugai

    Kwa kumuangalia tu Mke Mkubwa wa Job Ndugai , unaona kuwa alikuwa akimtegemea mume wake ili kuishi. Ila bahati mbaya Mke mkubwa hatambuliki serikalini. Hivyo kwa umri wake anahitaji kutunzwa, kwa ukaribu kiafaya , kimwili, kiakili na kiroho. Hivyo nawaomba viongozi wa Serikali kuhakikisha...
  18. JamiiForums Tanzania Ajiri huyu dada akufanyie biashara yako kwa uaminifu mkubwa

    Kwa mwenye uhitaji na Binti wa kumuweka kwenye biashara yako hapa Jijini Dar es salaam, yupo hapa binti mchapakazi, mwaminifu na mwenye mvuto katika ofisi yoyote. Umri: 26 yrs Elimu: Form 4 Makazi: Dar es salaam Kwa aliye serious, anichek PM nitakua mdhamini wake kwaajili ya usalama wa pande...
  19. S

    JamiiForums Tanzania TikTok inakabiliwa na mgomo kwasababu ya AI

    TikTok inakabiliwa na mgomo mkubwa wa wafanyakazi nchini Ujerumani hasa katika ofisi yake ya Berlin Kufuatia uamuzi wa kampuni hiyo wa kuwafuta kazi takriban wafanyakazi 150 kutoka idara ya "Trust and Safety" na "Live". Wafanyakazi hawa walikuwa wakihusika na usimamizi wa maudhui na usalama wa...
  20. JamiiForums Tanzania Muujiza wa Tony Kapola: Je aliombea mtungi mkubwa au mdogo?

    Tony Kapola anatumia nguvu nyingi sana kuusafisha uongo wa mkewe kwenye muujiza wa gesi.. Anatumia cover up ya Biblia takatifu na vijembe vyenye matusi ndani yake! Lakini hatafanikiwa bali ndio anazidi kuharibu Ukweli ni kwamba hakuna watu mahiri wa kutoa mifano ya uongo kama hawa wahubiri na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…