mkubwa

Bwana Mkubwa is a constituency of the National Assembly of Zambia. It covers Bwana Mkubwa, Chichele, Itawa/Ndeke, Kantolomba, Kavu/Kan'gonga, Mushili, Munkulungwe and Twashuka/Kaloko in the Ndola District of Copperbelt Province.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Machinga Wa Feri Poleni Kwa Msiba Mkubwa

    Najua jana katika kulazimisha wapate fedha za kufungia mwaka askari manispaa walivunja godown mnakohifadhi mali zenu na kupora na kuharibu mali na kutaifisha. Kwa kuwa wakati wa tukio mali zilikuwa hazijatolewa wala kupangwa sehemu wanazokatalia msifanye biashara hasa jioni, ni vyema kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Udhaifu mkubwa wa upinzani nchini ndiyo kicheko kwa CCM

    Weakness kubwa ya upinzani wetu ni kutojipanga, kulialia bila vitendo, kupiga kelele tu. Haiwezekani suala zima la Katiba Mpya ambalo ni haki ya kikatiba ya kila mwananchi iwe kama hisani au Willing ya watawala. Hivi mkitoka watu million 6 barabarani ambao ni wanachama wa chama kimoja nchini...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mwaka sasa unaisha lakini Serikali haijamalizia hata mradi mkubwa mmoja

    Kwa uchunguzi wangu miradi mingi ya ujenzi ya serkali iko nyuma sana tokea utawala huu wa mama Samia uingie! Natoa mifano ifatayo! Ujenzi wa barabara ya Kumara mpaka kibaha ulikuwa umekamilika kwa zaidi ya asilimia 94 lakini mpaka sasa hakuna umaliziaji wa barabara hiyo. Ujenziwa daraja...
  4. JamiiForums Tanzania Jeff Bezos akiwa mdogo alikataliwa na baba yake mzazi na akamrithisha kwa baba mwinginekisheria" leo ndiye tajiri namba moja duniani

    Imeandikwa na Ngusa john kutoka Facebook Ted Jorgensen, alipokuwa na umri wa miaka 17, alikutana na binti mrembo aliyekuwa akisoma naye shule moja, Jackyn Gise, aliyekuwa na umri wa miaka 16. Wakapendana. Wakaanza safari ya mapenzi. Jacklyn akanasa ujauzito. Wakati Jacklyn anashika mimba...
  5. JamiiForums Tanzania Je, kwa tabia hii ya Wanaume ni kwamba tuna 'Uweledi' mkubwa au ndiyo tuna 'Ujuha' ulioshindikana?

    Leo hii ( Siku hizi ) ni Jambo la Kawaida sana Kumkuta au Kumsikia Mwanaume ( Mume au Mchumba wa Mtu ) akiwa tu ana Mahusiano na Mwanamke wa Pembeni ( wa Nje ) akimsema vibaya Mkewe / Mchumba ( kiasi cha mpaka Kumdhalilisha ) kwa kutoa Siri zake pamoja na Madhaifu yake. Kuna Mwanaume Mmoja...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwa umahiri mkubwa wa Makomandoo wetu ilikuwaje wale wa Kesi ya Mbowe wakateswa na Jeshi la Polisi kama walivyodai?

    Kwa jinsi nilivyowaona jana katika Sherehe za Uhuru wa Tanganyika niseme tu ukweli wangu KEROZENE najiuliza maswali mengi sana juu ya hawa Makomandoo waliopo katika Kesi inayomkabili Freeman Mbowe na Yule aliyepotea. Kwa mafunzo makubwa ya Kimedani ya hawa Makomandoo, Ukomavu pamoja na...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Umahiri mkubwa tuliouona wa Makomandoo wetu Tanzania ilikuwaje wale wa Kesi ya Mbowe wakateswa na Polisi?

    Kwa jinsi nilivyowaona jana katika Sherehe za Uhuru wa Tanganyika niseme tu ukweli wangu KEROZENE najiuliza maswali mengi sana juu ya hawa Makomandoo waliopo katika Kesi inayomkabili Freeman Mbowe na Yule aliyepotea. Kwa mafunzo makubwa ya Kimedani ya hawa Makomandoo, Ukomavu pamoja na...
  8. O

    JamiiForums Tanzania Tutarajie Katiba Mpya miaka michache ijayo na mpasuko mkubwa wa kiitikadi ndani ya CCM

    Huu sio utabiri ila ndio suluhu ya mwisho ya yanayoendelea huko jikoni. Inasemekana Hayati Magufuli alikuwa tayari amekubali kuuanza upya mchakato wa kuunda katiba ya Wananchi na hili alipata ushauri wa Kina kutoka kwa Mshauri na Mlezi wake Hayati Benjamini, moja ya mependekezo makubwa ya...
  9. JamiiForums Tanzania Kati ya Mwalimu na Muhadhiri nani anastahili mshahara mkubwa?

    Jamani Mimi bado mawazo na fikra zangu zimebakia kwenye suala la mishahara, Kwa mfano nikianza na waalimu hivi Nani anastahiliii KULIPWA MSHAHARA MKUBWA Kati ya mwalimu wa SHULE ya msingi na lecturer wa chuo?
  10. JamiiForums Tanzania Adhabu ya kunyongwa hadi kufa ndio Siri ya uchumi mkubwa duniani

    Mataifa ambayo uchumi wao uko juu sana duniani wana adhabu katili sana kwa watu wao wanaobainika kuhujumu uchumi kunakosababisha mtu afikirie mara mbili kabla ya kuiba mali ya umma. Hapa kwetu adhabu ya kumtia mimba mtoto wa shule ni kubwa kuliko aliyeiba hela za umma kwa mabilioni. Nani...
  11. JamiiForums Tanzania Kuna mpasuko mkubwa ndani ya CCM. Je, sisi wapinzani tutanufaika 2025?

    Tayari mpaka sasa kuna WanaCCM wanaojinasibu kupinga ufisadi na uonevu, na hawa wameshalianzisha na pia kuna kundi ambalo linajinasibu limeshika hatamu na sasa ndio wakati wao wa kujitanua kwa kila namna na tayari kuna harafu kuwa wameanza kupiga madili Kwa ujumla kuna dalili kubwa kuwa Ccm...
  12. JamiiForums Tanzania Vitamin B12 pamoja na chanjo vina uwezo mkubwa wa kupambana na Covid

    Wataalamu wetu wanashauri tupate chanjo ya Covid, lakini waliojiongeza na kutumia vitamin B12 pamoja na chanjo waliweza kupambana na maambukizi ya Covid na kupona haraka. Kuna wakati Vitamin B12 hazikupatikana katika mtandao pendwa wa Amazon. Watumiaji waliongezeka kwa wingi kutokana na...
  13. JamiiForums Tanzania Mkubwa Fella adai hakuna msanii anastahili kulinganishwa na Diamond Platnumz Bongo

    Meneja wa Diamond Platnumz, Mkubwa Fella amesisitiza kwamba mwanamuziki anayewakilisha ndiye kigogo wa muziki nchini Tanzania. Akiwa kwenye mahojiano ya hivi majuzi na Mbengo TV, Fella ambaye pia ni mwanasiasa alisema kwa sasa hakuna mwanamuziki anayestahiki kulinganishwa na Diamond Platnumz...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali iingilie kati Wizi unaofanyika kwenye Kumbi za Sherehe. Ni Wizi Mkubwa sana.....

    Hizi bei na kulazimisha ukichukua Ukumbi wao lazima utumie chakula,vinywaji na mapambo yao. Huu ni wizi. Bei wanazoweka kwa mambo hayo ni kubwa sana kwa makusudi kwa kujua huna namna isipokuwa kufuata wanachotaka. Wanatengeneza faida kubwa sana kiwizi. Huu ni Ukumbi mmoja upo Tabata nmekutana...
  15. JamiiForums Tanzania Polepole anakosa sifa hii muhimu ndio maana hakuna anayemzingatia

    POLEPOLE ANAKOSA SIFA HII MUHIMU NDIO MAANA HAZINGATIWI NA WATU Kwa Mkono wa Robert Heriel Kwenye suala la uongozi na utawala ukitaka usizingatiwe Sana yaani upoteze mvuto licha ya watu kukusikiliza, basi kosa sifa nitakayoieleza hivi leo. Ni sifa moja kubwa Sana ambayo hiyo ndio humpa mtu...
  16. JamiiForums Tanzania Amini una akili yenye uwezo mkubwa wa kubuni wazo la kuweza kukusaidia kufanikiwa kimaisha

    Huwa nikikaa na kufikiri ni namna gani binadamu aliweza kubuni ndege, meli kubwa hasa za mizigo, gari na vitu vinginevyo na badae kuja kuwa msaada mkubwa katika dunia yetu ya siku leo hata kurahisisha maisha katika eneo fulani lililokuwa na ugumu kwetu, basi nauona uwezo wa Mungu aliouweka ndani...
  17. JamiiForums Tanzania CHADEMA DIGITAL balaa, CCM yaanza kutumia Polisi kuidhibiti

    Tulionya tangu mapema sana kwamba huu mpango wa Chadema wa kusajili wanachama kwa njia ya kisasa ya kidigital utaua cccm na mamluki wake , hii ni kwa sababu Wananchi wengi sasa wamefahamu kwamba Chadema ndio Mkombozi wa kweli wa dhiki na tabu zao . Masuala ya Tozo , mgao wa maji na umeme ...
  18. JamiiForums Tanzania Ni mji gani mkubwa hapa Tanzania una bwawa kubwa kwaajili ya maji yake?

    Kwenye miji mikubwa maji ya uhakika huwa ni kuwa na bwawa (reservoir). Sasa kwa hapa Tanzania, ukiachana labda na Moro, ni mji gani mkubwa wenye reservoir kubwa ya maji? Je, Dodoma wana bwawa kwaajili ya matumizi yao ya maji?
  19. JamiiForums Tanzania Paul Makonda mtetezi mkubwa wa haki za akina mama aliyemtabiria makubwa Rais Samia Suluhu

    Alipokuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda alihakikisha akina mama hawapotezi haki zao. Aliwatetea akina mama kwa kila namna hasa waliotelekezwa na kunyanyaswa na waume zao. Waliodhurumiwa mali zao na kuporwa. Alikusanya maelfu ya akina mama na kusikiliza kero zao na kuzitatua...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuwa yafuatayo yana Ushirikiano mkubwa sana na yanategemeana mno?

    Uroho, Uchoyo, Roho Mbaya, Wivu. Uchawi, Chuki na Unafiki? Kazi kwenu katika Kunidadavulia hapa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…