mkubwa

Bwana Mkubwa is a constituency of the National Assembly of Zambia. It covers Bwana Mkubwa, Chichele, Itawa/Ndeke, Kantolomba, Kavu/Kan'gonga, Mushili, Munkulungwe and Twashuka/Kaloko in the Ndola District of Copperbelt Province.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nchi zinazoongoza kwa uwekezaji mkubwa Tanzania

    Nchi zinazoongoza kwa uwekezaji mkubwa Tanzania, kulingana na ripoti rasmi kutoka Kituo cha Uwekezaji Tanzania - TIC, zinajumuisha mataifa mbalimbali ya kikanda na kimataifa yanayowekeza kwenye sekta kama vile viwanda, madini, kilimo, na utalii. Orodha kamili ya nchi 10 zenye uwekezaji mkubwa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna uhaba mkubwa wa Walimu wa somo la Literature katika Shule za Serikali

    Ninaomba kuwasilisha kero kuhusu uhaba mkubwa wa walimu wa somo la Literature katika shule nyingi za serikali kwa ngazi ya kidato cha tano na sita. Serikali ilianzisha kombi mpya za masomo, ikiwemo HGLI na HKLI mwaka 2023, lakini hadi sasa hakuna ajira ya kutosha ya walimu wa somo la Literature...
  3. P

    JamiiForums Tanzania KERO Bar ya Camp Edward (Tabora) wanapiga muziki mkubwa sana na IPO katikati ya makazi

    Bar ya CAMP EDWARD iliyoko kwenye makazi ya watu MKOANI TABORA, wanapiga mziki mkubwa sana na mbaya zaidi ni kila siku hawana jumatatu wala weekend, mbaya kuliko zote wanapiga mziki hadi saa mbili asubuhi kwa sauti kubwa. Mamlaka zituambie ni kibali cha aina gani wanapewa kupiga mziki hadi...
  4. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa taifa lina mpasuko mkubwa sababu WanaCCM mtandao wamegeuza keki ya taifa kuea mali yao na kesi ya Lissu imeongeza chuki dhidi ya watawala

    Hakuna mtanzania anaefurahia huu utawala kwa amani. Wengi wanafurahia kwa shingo upande na unafiki. Angalia hata hao wanaCCM makabwela ambao hudanganywa kwa baiskeli na tisheti safari hii hawautaki huu utawala wa CCM. Kesi ya Lissu inazidi kuligawa taifa sababu kila mtanganyika mwenye akili...
  5. JamiiForums Tanzania Umaarufu wa bi mkubwa kulikoni

    Wakuu habarini za uzima. Niende moja kwa moja kwenye mada hivi mbona kama umaarufu wa raisi umepungua yaan raisi wetu hasikiki sana kama ilivo kuwa mwanzo. Ma inside man Kuna Nini kinaendelea au ni hisia zangu tu?
  6. JamiiForums Tanzania Harakati ni kupambania yale ambayo yanaonekana hayako sawa

    HARAKATI siku zote huwa zina lengo la kupambania yale ambayo tunadhani hayako sawa kwenye jamii na yale ambayo tunadhani yalitakiwa kufanywa kwa mtazamo mwingine kabisa na huwa zinakuwa na lengo la kuikumbusha serikali au watawala juu ya mambo fulani fulani. HARAKATI haiwezi kugeuzwa kuwa ni...
  7. JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere adai yeye ni mkubwa kuliko Chadema, Je amerukwa na akili?

    Akihojiwa na vyombo vya habari mitandaoni, Mamluki huyo ametamba kwamba yeye ni Taasisi na ni Mkubwa kuliko Chadema. Ikumbukwe kwamba Yericko hana Cheo chochote CHAUMA Bali ni mbeba begi wa Salum Mwalimu Kwa kauli yake hiyo mnadhani ana akili timamu au ni kichaa kamili?
  8. JamiiForums Tanzania Kwa nyomi hii naona kama umasikini ni mkubwa sana kwetu

    Binafsi nimekuwa mteja mara kadhaa kwa bidhaa za huyu jamaa ila kwa aina hii ya lundo la watu kukimbilia vitu vya bei rahisi na vilivyo tumika naona kama umaskini bado sana kwetu. Upande wapili huju mr anatengeneza hela nyingi sana sana sana tena hela ambazo sidhani kama serikali inapata hata...
  9. JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Katika harakati za ujana unaweza jikuta unatunukiwa tunda na binti kama utani vilee. Hii hutokea pale binti anapokuwa na hasira, jamaa yake amecheat so anataka kulipiza kisasi na kipindi manzi ana maumivu ya kuachwa! Hizi ndo moment kubwa ambazo gilrs wengi wanaliwa bila kutarajia wala kupanga...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Picha za satellite zimeonyesha uharibifu mkubwa kwenye kambi 4 za kijeshi za Israel.

    Picha za satellite zilizotolewa na Sentinel 2 satellite imeonyesha uharibifu mkubwa kwenye kambi 4 za kijeshi nchini Israel.Picha hizo zimeonyesha kambi za Ramat David,Nevatim,Unit 8200base na camp shimshom zikipata hasara na uharibifu dhidi ya mashambulizi ya Iran..Huku camp shimshom ikionyesha...
  11. JamiiForums Tanzania Wasomi Wataja Faida za Mradi Mkubwa wa Mafuta Tanga

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na mfanyabiashara Alhaji Aliko Dangote wawaibua wasomi ◇Ni kuhusu mradi kusafisha mafuta ghafi wa zaidi ya Sh trin 40. ◇Wakoshwa na Rais, wataja sababu 5 kwanini Tanga ipo kimkakati. ◇Ipo ya miundombinu ya EACOP, Jografia, soko Kusini mwa Afrika
  12. JamiiForums Tanzania Nikiwa mkubwa nataka nisaidie maskini.

    Unakuja kukuta maskini wa kwanza ni wewe mwenyewe.
  13. JamiiForums Tanzania Ila wanaume bana tunapitiaga ukakasi mkubwa hadi mafanikio alafu tunakuja kuliwa pesa kizembe na hawa wadada

    Mtu umetoka hapa⤴️ Ili uje kuteseka na kuaibika hapa⬇️ Kunaa interview nimeona jamaa mmoja anakuja kujitetea kuwa ile gari aliompa slay queen sio kwamba amemnunulia iwe yake bali amempa tu atembelee ila demu kawa mkali hadi ka-share video asaidiiwe na serikali ili arudishe gari yake.
  14. JamiiForums Tanzania Ukosefu wa nidhamu ndio adui mkubwa wa mafanikio

    Watu wengi wana ndoto kubwa. Wanataka utajiri. Wanataka maisha mazuri. Wanataka kuheshimiwa. Wanataka kubadilisha familia zao. Lakini tatizo sio kwamba hawana uwezo. Tatizo ni moja: HAWAJUI KUJITAWALA. Na huo ndio ukweli mchungu ambao watu wengi hukwepa. Kwa sababu mafanikio hayaharibiwi...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Kuku wana uhusiano mkubwa sana na dinosaur

    Angalia wanavyofanana sana, Katika kutoa insight ya makala ninayoandaa kuhusiana na kuku nitagusia hili swala ambalo limeshafanyiwa uchunguzi na wanasayasi wengine. Ukimuona kuku ujue umemuona T.Rex mdogo Kwa kuthibitisha hili licha ya mfanano wao wa muonekano, chunguza tabia zakuku, Kuku ni...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Lulanzi – Iringa: Hatuna maji, tukihoji Mamlaka ya Maji (IRUWASA) wanasema tusubiri Mradi mkubwa wa Mwaka 2029

    Kuna tatizo kubwa la upungufu na ukosefu wa maji kwa vitongoji kadhaa kwenye vijiji hivi viwili ambapo baadhi ya wananchi wanapata maji kwa mgao na wengine hawapati kabisa. Mamlaka ya maji (IRUWASA) haipokei wala kuunganisha maji kwa wateja wapya wa Kijiji cha Luhindo kwa maelezo ya upungufu wa...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia Azindua Upanuzi Mkubwa Muhimbili. Utagharimu takribani Sh. Trilioni 1.2

    𝙍𝘼𝙄𝙎 𝙎𝘼𝙈𝙄𝘼 𝘼𝘼𝙉𝙕𝘼 𝙐𝙅𝙀𝙉𝙕𝙄 𝙈𝙆𝙐𝘽𝙒𝘼 𝙃𝙊𝙎𝙋𝙄𝙏𝘼𝙇𝙄 𝙈𝙐𝙃𝙄𝙈𝘽𝙄𝙇𝙄. SAMIA AANZA UJENZI MKUBWA HOSPITALI MUHIMBILI Context: Rais Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la msingi la upanuzi wa Hospitali ya Muhimbili unaolenga kuboresha huduma za afya nchini.
  18. Y

    JamiiForums Tanzania PICHA: Ushirika wa PPPC na TPSF ni game changer kwenye kujenga Uchumi mkubwa na wa kisasa | Watanzania tuchangamkie fursa huko huko tunakoishi

    Shirikisho la Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) kwa kushirikiana na Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPPC) wamesaini makubaliano muhimu ya ushirikiano yanayolenga kuimarisha nafasi ya sekta binafsi katika miradi ya ubia (PPP). Hatua hii inatajwa kuwa ni mwendelezo wa jitihada za...
  19. JamiiForums Tanzania Kuna Utajiri mkubwa ndani ya mitandao ya kijamii

    Habari zenu huku, Nianze kwa kuandika, siyo kila kitu ni kwa ajili ya kila mtu. Miaka takribani 16 iliyopita nilijiunga na jamii forum, kipindi hicho sikufahamu kabisa juu ya mitandao ya kijamii.. lakini kupitia nyuzi za watu , nilijifunza na kuelewa mambo mengi sana.(kipindi hicho jf ilikua...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia anavyojenga Diplomasia ya uchumi kwa weledi mkubwa

    Na África J&L, Dar es Salaam Wakati Rais William Ruto atakapohutubia Bunge la Tanzania Mei 5, 2026, akiwa kiongozi wa kwanza wa Kenya kufanya hivyo, wengi wataona tukio la kihistoria. Lakini kimsingi, hili ni zaidi ya historia. Ni ushahidi wa jitihada za utekelezaji wa diplomasia ya uchumi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…