Kati ya hao wote hakuna mwafrika hata mmoja!View attachment 3654499
Nimetoa Facebook kama ilivyo, je nilikuwa nauliza 21 Isaac Newton na 93 Nikola Tesla walivumbua vitu Gani
Yupo,Ng"wanamalundi kutoka usukumani, sema tu habari zake hazijaandikwa sanaKati ya hao wote hakuna mwafrika hata mmoja!
Martin LutherKati ya hao wote hakuna mwafrika hata mmoja!
Martin Luther alikuwa mjeruman na Martin Luther king ni mmarekani mweusi hakuna mwafrika hapoMartin Luther
Umeona wapi kua ni yule Mjerumani?Martin Luther alikuwa mjeruman na Martin Luther king ni mmarekani mweusi hakuna mwafrika hapo