mkristo

Mkristo Eugene Bruce (born October 16, 1984) is a pilot, and a former American football defensive end. He was signed by the Miami Dolphins as an undrafted free agent in 2007. He played college football at Washington State.
Bruce has also been a member of the Oakland Raiders, Arizona Rattlers, Jacksonville Jaguars, and Florida Tuskers.

View More On Wikipedia.org
  1. Myebusi Mweusi

    JamiiForums Tanzania Licha ya kwamba mimi ni Mkristo, leo sitakula nyama sababu mshahara wa mwezi wa pili bado haujatoka

    Kwa jìnsi nilivyo nadhifu, kwa jinsi nilivyo na haiba njema, watu wanashangaa sana wakiona sijihusishi na mambo mengi ya dunia, licha ya kiwa nayapenda. Mademu wanapapatika juu yangu nami naumia kwa kushindwa kuwamudu. Nikikatiza mtaani huķu Uswahilini kwetu watoto wananìlilia na kuniita baba...
  2. Wasomba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke mkristo miaka 30-41

    Natafuta mke mkristo, umri rejea kichwa cha habari hapo juu. Awe ameajiriwa au kujiajiri. Mcha Mungu anayeamini katika maisha ya upendo baina ya mke na mume. Mimi nina Elimu ya chuo kikuu na ni muajiliwa na ni mtu mwenye hofu ya Mungu. Mengine tutayajenga inbox.
  3. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mambo nayopenda kwa Waislamu japo ni Mkristo

    Pamoja na ukristo wangu yapo mambo kadhaa nayoyapenda kwa waislamu. 1. Kutoruhusu mtume wao adhalilishwe au kudhihakiwa. Huwezi kumkashfu mtume au kitabu chao cha Quran mbele yao halafu wakutazame tu. Lazima wakuletee noma 2. Mavazi ya staha kwa wanawake Napenda sana dress code kwa wanawake...
  4. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Sababu Tano kwa nini Mkristo upambane kushinda umasikini wa kipato?

    Karibu moja kwa moja, Umasikini wa Kipato namaanisha kutokuwa na kipato cha kuendesha mambo yako na kibaki cha ziada kwa ajili ya kusaidia wahitaji. Utajiri wa kipato ni kinyume chake. 1: Unasikini ni matokeo ya Laana. Torati 28 inataja laana za kujitenga na Mungu zote zinauhusiano na...
  5. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Je Mwislam kula nyama iliyochinjwa na Mkristo ni dhambi?

    Hapa Monduli, wanachinjwa ng'ombe wasio na idadi, mbuzi na kondoo kwa fujo. Wachinjaji ni wenzetu Wamasai, wanyama wanachinjwa kimila hamna kugeuziwa Quibla, wala MAKA, hamna cha Bismillah al-Rahman al-Rahim wala nini. Watu kama wamejitoa ufahamu wa mafundisho ya vitabu vitakatifu, ni mwendo wa...
  6. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Namna ya kutambua kama umeokoka au wewe ni Mkristo

    Leo mtu akitokea na kuwauliza waumini wengi wa makanisa ya kiroho swali la Je! ni kweli tutakwenda mbinguni?.Bila shaka wengi watajibu ndiyo na sababu watakayoitoa kubwa ni kwamba wamempokea na kumkiri Yesu kama Bwana na Mwokozi. Lakini pamoja na jibu hilo bado siyo sababu kuu ingawa ni sehemu...
  7. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Makundi ya Kigaidi ya Kikristo

    1. Lord's Resistance Army (LRA): Hili ni kundi la waasi lililoanzishwa mwaka 1987 nchini Uganda na Joseph Kony. Kundi hili limehusishwa na vitendo vya kikatili, ikiwa ni pamoja na utekaji nyara, mauaji, na kuwatumia watoto kama wapiganaji. LRA limekuwa likiendesha harakati zake katika maeneo ya...
  8. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Athari za vita vya Kidini

    Katika historia ya binadamu, vita vya kidini vimekuwa ni mojawapo ya matukio yenye athari kubwa kijamii, kiuchumi, na kisiasa. Vita ya Israel na Palestina imedhihirisha wazi udini miongoni mwa watanzania wengi. Mara nyingi, mizozo hii inachochewa na tofauti za imani na itikadi za kidini, ikileta...
Back
Top Bottom