mkopo

  1. JamiiForums Tanzania Waswahili wanatabia ya kubeza maendeleo ya watu , utasikia gari lenyewe / nyumba ya mkopo

    Waswahili huwa hawa appreciate / kupongeza hatua ya mtu ya maendeleo anayopiga utasikia tu wanakosoa nyumba/ gari yenyewe ya mkopo . ingekuwa kukopa ni rahisi kila mtu angekopa .ukiona mtu bank imemuamini kumkopesha ujue huyo anasifa za kukopesheka , anayesema hivyo yeye hata sifa ya...
  2. JamiiForums Tanzania Je uki disco chuo kikuu ukatumia cheti Cha diploma kuomba kazi na ukapata kazi je utakatwa mkopo wa loan board kwenye mshahara

    Je uki disco chuo kikuu ukatumia cheti Cha diploma kuomba kazi na ukapata kazi je utakatwa mkopo wa loan board kwenye mshahara
  3. D

    JamiiForums Tanzania PBZ wananizingua; Kuna benki yoyote inayotoa mkopo 'online' (katika ESS) ndani ya siku mbili niwakimbie hawa?!!!

    Inakaribia wiki ya tatu Sasa nahangaika na hawa tu bila mafanikio. Mara huyo fsp (financial service provider) ali'reject' na kunitaka niongeze miezi (wakati mfumo umekubali). Nafanya hivyo anareject tena ananitaka nipunguze miezi. Mnyonge Hana kususa, narekebisha na kufanya alichosema hii Sasa...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Naomba MKOPO WA 13M kwa Mtu Binafsi

    Msaada ndugu zangu, naomba mtu binafsi mwenye uwezo wa kunikopesha 13m kaa riba atakayoitaka yeye naomba anisaidie. TUtakopeshana kisheria,mahakama, na taratibu zote tutafata. Nina Shida ya DHARULA naomba msaaada nina DHAMANA kadhaa za mali zisizo hamishika. Naomba msaada Tafadhali. Alie...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mkopo

    Kwa mtumishi ambae amewahi kukopa kwenye Bank ya stanibac atupe uzoefu. Nimetuma maombi ya mkopo leo ni wiki ya pili hamna kitu. Kila ukienda majibu hayaridhi. Je ndo kusema hawana pesa ndio maana wanafanya hivyo au ndio utaratibu wao. Au huwa inachukua muda gani mpk ukapata pesa uliyoomba...
  6. JamiiForums Tanzania Msaada : Changamoto nimekwama hapa kwenye kuomba mkopo HELSB naisovu vipi hii ?

    Moja kwa moja.. Namuombea dogo mkopo kwenye kipengele Cha kuweka namba ya Napa karibia siku ya Tatu inasema hivyo , nimemwambia anitumie barua ya Napa yenye hiyo namba labda alivyonitumia alikosea , akanitumia nimehakikisha ila bado sasa sijajua tatizo ni Nini ? Naomba Msaada wakuu..
  7. JamiiForums Tanzania Mdogo wangu anaweza kupangiwa mkopo

    Cv yake hii Amesoma private school O-level A-level amesoma shule ya kata kombi PCB Shule ya msingi amesoma private school Nb, anaomba mkopo ngazi ya diploma
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mkopo wa Milioni 50 NMB na CRDB riba yake ni kiasi gani kwa mwaka?

    Habari wadau, Naulizia, hivi mkopo wa 50m kwa hizi bank NMB na CRDB kwa mwaka riba yake ni kiasi gani?
  9. JamiiForums Tanzania Kumbe kuna Timu ilimtaka Jonathan Sowah kwa Mkopo kama ilivyozea huku ikijitamba ni Tajiri na ina Mtu wao huko huko alikotoka Sowah?

    Mwenye nae aliwaambia pamoja na kwamba Mimi ni Mwenzenu na nawapenda mno halafu nimeshawapeni sana Wacherzaji wazuri kwa bure bure ila kwa huyu Jonathan Sowah siwapeni hadi mniingizie Shilingi Bilioni 1 ili inisaidie pia katika Kampeni zangu Mkoa wenye Wanawake wazuri, wepesi Kutongozeka na...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mkopo Bank

    Habari JF Nina omba msaada wa mawazo yenu.. hivi kwa mfano ukiwa na fixed deposit akaunti kiasi cha sh.mil 100 unaweza kuifanya kama dhamana ya kukopea bank, halaf riba ndo iwe inalipa mkopo wako wote?
  11. JamiiForums Tanzania Mkopo wa malipo kwa awamu bila dhamana

    Wakuu habari zenu, naomba niulize kitu. Ni wapi au bank gani naweza kukopa zaidi ya milion 2 bila dhamana na nikalipa kwa awamu? Kwa maana siyo kila siku au kila mwezi.
  12. JamiiForums Tanzania Kipi bora kununua air condition au kuchukua ya mkopo kutoka kampuni ya baridi baridi ?

    Habari ndugu zangu, nimefikilia kufunga kiyoyozi nyumbani kangiu, kiyoyozi kimoja tu chumbani kwangu, baada ya pitapita zangu mitandaoni nimekutana na hii kampuni ya BARIDIBARIDI ambayo inatoa huduma za aina mbili, HUDUMA YA KWANZA: AC wanakufungia na utalipia awali shillingi 180,000/= baada...
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Geita DC yatoa mkopo wa bilioni 1.15 kwa vikundi 111 vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu

    Halmashauri ya Wilaya ya Geita imetoa mikopo ya Shilingi Bilioni 1 na Milioni 156 kwa vikundi 111 vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu. Mikopo hiyo imetolewa ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa agizo la Serikali la kutenga asilimia 10 ya mapato ya ndani kwa ajili ya kuwawezesha wananchi...
  14. JamiiForums Tanzania Nime process Mkopo mkagoma, TOPUP zimegoma huu mwaka?

    Mimi ni mjasiriamali. Nimekopa benki 4 kwa kawaida Nina kipato Cha mil 2.5 kwa mwezi, hiki kias huingia kwa guarantee ya si chini ya 2.5m huingia japo inaweza kuzidi kulingana na biashara zangu. Benki nne zimeniamni na zimenikopesha na kunikata kias kubalika kila mwezi na haijawahi niletea...
  15. JamiiForums Tanzania Connection ya simu za mkopo

    Habari wakuu, Nina goli langu moja la simu, sasa wateja wanaulizia sana simu za mkopo. Nimejaribu sana kuulizia ninapoweza pata simu za mkopo kwa bei ya Jumla nimekosa. Mwenye connection anijuze wakuu
  16. M

    JamiiForums Tanzania MKOPO KWA WAFANYABIASHARA WANAAGIZA MIZIGO NJE YA NCHI NA ULIPAJI WA USHURU BANDARINI 0(KOPA MPAKA SHILINGI MILION 500)

    Habari Pasipo kupoteza muda naomba niende Moja Kwa moja kwenye mada, Ukiwa wewe mfanyabiashara na unahitaji kununua mzigo Toka nje ya nchi lakini kiasi Cha pesa hakitosh au mzigo wako umekwama bandarini sababu umeshindwa kulipia ushuru basi karibu ofisin kwetu tukusaidi,e MIKOPO yetu huanzia...
  17. JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara atakuwa eligible kwa mkopo wa riba nafuu sana kama mfanyakazi/Wafanyakazi wake atawalipa mshahara kupitia bank

    Uwepo wa informal sector na watumiaji wachache wa bank ni changamoto na tatizo kubwa sana Tanzania., Nikiwa Rais wa Tanzania ntafanya mambo yafuatayo kuondoa informal sector, kuongeza formal sector na kuongeza watumiaji wa bank SIFA ZA HAO WAFANYAKAZI Lazima mishahara yao iwe inapitia bank...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Msaada physical adress NaPA kwaajili ya kuomba mkopo bachelor

    Jamani naomba msaada kwa anaye elewa, napataje reference numba ya physical adress kwaajili ya kujaza olams heslb
  19. JamiiForums Tanzania Kama Benki ya Dunia waliweza kufuta mkopo wa USD 150 Mil huko Ruaha, Tuwashawishi wafute na kuzuia mikopo yote mingine hadi reforms zifanyike.

    Mwezi April mwaka huu 2025, Benki ya Dunia walifuta mkopo wa kiasi cha shilingi Dola za Marekani Milioni 150 sawa na fedha za Kitanzania zaidi ya Bilioni 400 za mradi wa REGROW Mbuga ya Ruaha kutokana na hoja nzito zilizowasilishwa na Asasi za Kiraia kuhusu mradi huo kukiuka haki za binadamu...
  20. JamiiForums Tanzania DOKEZO Hakuna mkopo mgumu kupata kama wa Halmashauri. Kuna rushwa sana katika mchakato

    Huu ndio mchakato wa kuomba mikopo ya halmashauri maarufu kama mikopo ya asilimia 10 huanzia ngazi ya kitongoji, kijiji au mtaa. Katika hatua hii ya mwanzo, kikundi cha watu wasiopungua watano kinapaswa kuundwa kwa ajili ya kupatiwa mkopo, na lazima kitambuliwe rasmi katika ngazi ya chini. Ili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…