mkopo

  1. J

    JamiiForums Tanzania Huu mkopo wa Korea kwa Tanzania unatisha

    Juzi hapa tumesikia kuwa Tanzania imekopa zaidi ya billion 400 Kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali Zanzibar, sawa. Bajeti ya Zanzibar Kwa mwaka 24/25 ni trilion 2.6. maana yake ni kuwa sh. 2.6 trilion ni bajeti ya wizara zote Zanzibar.. sawa. Je, billion 400 SI zaidi ya bajeti ya wizara moja Kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Mjadala: Benki nzuri kwa mikopo ya wafanyabiashara (15m-500m)

    HAKUNA TAJIRI ASIYEKOPA! Umewahi kuwasikia watu wakisema hawakopi au kujisifia kwamba hawakopi kwenye biashara zao? Ukweli ni kwamba matajiri wote unaowajua wanakopa, ELON MUSK, alikopa kuinunua Twitter (sasa X), Mohammed Dewji MO alikopa benki ya First Rand Afrika kusini. Sasa Kama Elon Musk...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi uki disco chuo ukaomba sehemu nyingine unaweza kupata na mkopo pia?

    Habari za mda huu wakuu Hivi ukidisco chuo ukaenda chuo kingine kuna uwezekano wowote wa kuomba mkopo na ukapata???
  4. I

    JamiiForums Tanzania Unapokuwa umepata mkopo 100% inakuwa na maana gani?

    Hivi unapokwa umepata mkopo asilimia 100 hii inakuwa ina maana gani? Pia soma: Ukipangwa mafunzo JKT na hujaripoti mafunzoni, je nikiomba mkopo HESLB nitapata?
  5. JamiiForums Tanzania Kero ya kuchelewa kuhuishwa kwa kadi za NHIF kwa wanafunzi wanufaika wa Mkopo toka HESLB.

    Habari. Naomba kwasilisha kero wanayopitia baadhi ya wanafunzi wanufaika wa mkopo unaotolewa na HESLB ambapo hela kwaajili ya kadi za bima ya afya kwenye akaunti zao inaonyesha wameshalipia lakini kadi haziko activated. CHANZO CHA TATIZO Kosa linalofanywa na HESLB ni kulipa hela hii moja kwa...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jumuiya ya Wanafunzi wa Sayansi ya Siasa: Tumesikitishwa Wanafunzi UDSM kutakiwa kuwa na kadi ya CCM ili wasaidiwe kupata mkopo

    YAH: TAARIFA KWA UMMA. Jumuiya ya Wanafunzi wa Sayansi ya Siasa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (DUPSA) tumesikitishwa na kulaani matukio na taarifa zifuatazo. Mosi, Tangazo la Kiongozi wa Chama Cha Mapinduzi Tawi la Chuo Kikuu Dar es Salaam ndugu Goodluck Evarist la kuwataka wanafunzi ambao...
  7. JamiiForums Tanzania Tetesi: Clatous Chama kumpelekwa kwa mkopo klabu ya Fc lupopo

    Hii ni kutokana na kutoelewana na Meneja wa Chama Mkataba unamtaka aanze kila mechi kama atakuwa fit .
  8. JamiiForums Tanzania HESLB yafafanua madai ya Wanafunzi UDSM kutakiwa kuwa na Kadi ya CCM ili wapate mkopo

    Kusoma hoja ya Mdau bofya hapa ~ Wanafunzi UDSM tuliokosa mikopo 2023 na waliopata mikopo kidogo tunaambiwa lazima tuwe na Kadi ya CCM ndio tutahudumiwa UFAFANUZI: UANACHAMA WA CHAMA CHA SIASA SI SIFA YA KUPATA MKOPO Jumanne, Agosti 13, 2024 Tunapenda kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Mkopo wa product za madukani

    Natafuta mtu mwaminifu mwenye duka, nitakaye mkopesha product hizi na atalipa atakapouza. Maduka 25 tu. Kama unahitaji wahi sasa. Product hizi ni 1.a )Mishumaa ya kawaida. b)Mishumaa ya perfume ( rangi zote zipo). 2. a)Mafuta ya kawaida yenye manukato mazuri. b)Mafuta ya nywele. 3...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Mliopata mkopo wa Elimu ya juu mlitutambia sana

    Nyie watu mliosomeshwa kwa mkopo wa serikali elimu ya juu mlikuwa mnatutambia sana sie tulionyimwa mkopo. Mlikua mnajiona wajanja wenyewe 😂😂 mmepata kazi umefika mda wa kulipa deni mnaanza kulia lia ooh mshahara hautoshi mara ooh wanakata sana. Mlitegemea nani awalipie? Wakati mnatumia mliona...
  11. J

    JamiiForums Tanzania KERO Responded RITA badilikeni, toeni majibu ya uhakiki wa vyeti kwa wakati

    Habari wadau poleni na utekelezaji wa majukumu ya Kila siku katika harakati za kulijenga taifa Kero yangu ya leo inatoka kwa mamlaka inayohusika na usajili wa vizazi na vifo Tanzania RITA RITA wamekuwa Wana makosa yake Yale Kila mwaka yanayojirudia na hivyo kukwamisha baadhi ya watu kupata Haki...
  12. JamiiForums Tanzania KERO Bodi ya mkopo mfumo wenu wa olams unamatatizo gani kwa waombaji wa diploma?

    OLAMS ya Bodi ya Mkopo haikubali kukamilisha kutuma maombi kwa njia ya mtandao. Mwanafunzi amejaza kilakitu na ameambatanisha kila kitu lakini mfumo huo uko doro kabisa. Kiasi wametafutwa kushughilikia mfumo ili wanafunzi wa DIPLOMA wakamilishe maombi yao jamaa hawajigusi hata kidogo. BODI YA...
  13. JamiiForums Tanzania Wanaume, Kuachwa na mwanamke mpenda pesa ni sawa na kumaliza deni la mkopo benki

    Wanaume, Kuachwa na mwanamke mpenda pesa ni sawa na kumaliza deni la mkopo benki
  14. JamiiForums Tanzania Tutajuaje kwamba Mkopo wa Daraja la Kigamboni umeisha?

    Au ndio serikali iteaendelea kututoza malipo kupita Kwenye Daraja hilo bila ya ukomo?
  15. JamiiForums Tanzania Mliopata mkopo ngazi ya diploma mwaka Jana nahitaji muongozo

    Habari wanaJF mim ni mwanafunzi nahitaji kujiunga na diploma mwaka huu, Ili nifanikishe ndoto zangu nahitaj mkopo wa diploma ili niendele na masomo yangu kwa ufanisi, maana nasikia mwaka Jana walipata mikopo ngazi ya diploma. Nahitaji kwa wale mlioomba na mkapata mkopo mwaka Jana ,mnipe...
  16. JamiiForums Tanzania Mliopata mkopo ngazi ya diploma mwaka Jana nahitaj muongozo

    Habari wanaJF mim ni mwanafunzi nahitaji kujiunga na diploma mwaka huu, Ili nifanikishe ndoto zangu nahitaj mkopo wa diploma ili niendele na masomo yangu kwa ufanisi, maana nasikia mwaka Jana walipata mikopo ngazi ya diploma. Nahitaji kwa wale mlioomba na mkapata mkopo mwaka Jana ,mnipe...
  17. JamiiForums Tanzania App gani ya kutoa mkopo, wanatoa kwa namba ya NIDA?

    Habari zenu wakuu, hapa nilipo nina shida na 15k ya haraka. Kuna app nyingi za kutoa mikopo ila kuna sharti naona sijakidhi. Wanataka niwe na kitambulisho cha taifa (NIDA). Bahati mbaya sijakipata mpaka leo. Nina namba pekee. Sasa nimekuja kwenu wakuu, najua wapo wenye issue kama yangu...
  18. JamiiForums Tanzania Sheria ipi inazuia ukiwa na mkopo wa mshahara NMB (SWL)huwezi kuhamisha mshahara benki nyingine?

    Leo mzee wa kulalamika Daily, Nimechoka na makato ya NMB Nikaona nihamishe mshahara kwenye bank nyingine yenye makato nafuu kidogo, Nikapata bank moja hivi wenyewe hawana makato ya uendeshaji, Sijui makato ya Mastercard n.k Wakanipa fomu yao nipeleke kwa afisa utumishi, Ndio akanipa majibu...
  19. JamiiForums Tanzania IMF yaidhinisha ufadhili wa Dola Milioni 900 kwa Tanzania kwa ajili ya Bajeti na kukabiliana na Mabadiliko ya hali ya Hewa

    Bodi ya Wakurugenzi ya IMF imeidhinisha Mkopo kiasi Cha $900 Milioni sawa na karibu Shilingi Trilioni 2.4 Kwa Tanzania Ili kuisaidia kukabiliana na athari za Mabadiliko ya Hali ya hewa kwenye uchumi. Aidha ieleweke kwamba Serikali inakopo kile ambacho kimeidhinishwa kwenye Bajeti,haifangi...
  20. JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu na biashara ya simu za mkopo

    Wakuu heshima kwanu. Mwenye uzoefu na biashara ya simu za mkopo au agent wa simu za mkopo kutoka Easybuy au Watu simu naomba tuwasiliane. Nitakulipa gharama za usumbufu. Please DM
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…