mkopo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wakulima Maswa waonywa kuuza pamba kwa mkopo

    Maswa, Simiyu: Wakulima wa pamba wilayani Maswa wameonywa kutokubali kuuza pamba kwa mkopo, bali wahakikishe wanalipwa fedha zao mara moja baada ya kukabidhi zao katika vituo vya ununuzi. Mkuu wa TAKUKURU Wilaya ya Maswa, Lukas Kuwingwa, amesema taasisi hiyo iliingilia kati baada ya wakulima wa...
  2. JamiiForums Tanzania Tume ya Sayansi Yampa Mkopo wa Milioni 100 Mbunifu wa Helikopta Ili aendeleze Teknolojia.

    My Take Kuwe na Mfuko maalumu wa kuwawezesha wabunifu tuu na WA link na research centres . Kuna mwingine kule Njombe ameishia la saba ila ametengwdza mfumo wa umeme. Tukienda hivi tuswapita Iran.Kukariri vya wengine huko madarasani ni ku endeleza ujinga...
  3. JamiiForums Tanzania Msaada: Kozi ya Ordinary Diploma in Civil Engineering (DIT) ina mkopo wa HESLB? Taratibu zake zikoje?

    Wakuu salama, Natumai mko wote heri. Nina ndugu yangu wa karibu amefanya maombi ya chuo mwaka huu na katika matokeo ya kwanza (Batch One) amefanikiwa kuchaguliwa kujiunga na Chuo cha Teknolojia cha Dar es Salaam (DIT) kusomea kozi ya Stashahada ya Uhandisi wa Ujenzi (Ordinary Diploma in Civil...
  4. JamiiForums Tanzania Msaada: Kozi ya Ordinary Diploma in Civil Engineering (DIT) ina mkopo wa HESLB? Taratibu zake zikoje?

    Wakuu salama, Natumai mko wote heri. Nina ndugu yangu wa karibu amefanya maombi ya chuo mwaka huu na katika matokeo ya kwanza (Batch One) amefanikiwa kuchaguliwa kujiunga na Chuo cha Teknolojia cha Dar es Salaam (DIT) kusomea kozi ya Stashahada ya Uhandisi wa Ujenzi (Ordinary Diploma in Civil...
  5. JamiiForums Tanzania Nahitaji printer ya mkopo

    Habari, Mimi nikijana naejishughulisha na biashara ya stationery katika mkoa wa Songwe wilaya ya Mbozi . Printer nayotumia nilinunua Kwa mudu inachangamoto ambazo zinaathiri utendaji wangu wa KAZI. Naomba msaada kama Kuna taasisi au mtu BINAFSI anayoprinter inayofanya KAZI vizuri na kwasasa...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata mkopo wa riba kwa dhamana ya kadi ya pikipiki?

    Habari Naomba kufahamu ni wapi naweza kupata Mkopo wa riba kwa dhamana ya kadi ya pikipiki,pikipiki ni namba F....iwe kwa mtu binafsi au taasisi
  7. JamiiForums Tanzania Naomba msaada kwenye ess kuomba mkopo

    Nikifika hatua ya mwisho napata ujumbe huu, na nimefanya kila kitu kujaribujaribu bado ujumbe ni ule ule Nimewasiliana na benk wanaelekeza na nafanya marekebisho wapi. Nionacho wataalaam wa IT wanisaidie hili jambo
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania iko mbioni kupata mkopo wa takribani TZS trilioni 1.165 kutoka Shirika la fedha duniani (IMF)

    Tanzania iko mbioni kupokea mkopo wa takriban shilingi trilioni 1.165 kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), baada ya Bodi ya Wakurugenzi ya shirika hilo kukamilisha tathmini ya mwisho ya utekelezaji wa programu za mageuzi ya kiuchumi nchini. Fedha hizo zitatolewa kupitia Mpango wa Mkopo...
  9. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Mkopo unanitesa sana, si jambo rahisi kama wengi wanavyofikiria

    Mikopo si jambo rahisi kama watu wengi wanavyofikiria. Nilichukua mkopo na kuanzisha biashara nikiwa na matumaini makubwa. Hata hivyo, nilitumia fedha nyingi kwenye maandalizi, biashara haikufanikiwa kama nilivyotarajia, na baadaye nikapatwa na majanga yaliyoteketeza hata mtaji uliokuwa...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa NaPA unagoma kwenye kutafuta barua ya utambulisho kwa ajili ya maombi ya mkopo (HESLB)

    National Physical Address (NaPA) kwenye kutafuta barua ya utambulisho kwa ajili ya maombi ya mkopo (HESLB) inagoma kuendelea na kutoa notification ya hivi Toka last week till now. Contacts zao walizoweka hazipatikani, kuna moja inapatikana mara moja moja na ikipatikana haipokelewi.
  11. JamiiForums Tanzania SIMU ZA MKOPO MAKAMPUNI MMEZUIA VITU VINGI MNO MTAKULA HASARA

    Simu za mkopo zimezuiwa features nyingi mno za muhimu ambapo kibongo bongo ni ngumu mtu kutumia simu bila kuzigusa. Njia kuu wanayotumia wakiona mtu analazimisha kufikia features hizo ni kuzuia kabisa simu yenyewe isitumike Kinachotokea ni kwamba mtu anatumia simu siku chache akiivuruga inakuwa...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Naomba 'connection' ya wanaotoa mkopo binafsi, nimekosa vigezo vya bank.

    Napitia changamoto kubwa mno. Naomba mwenye uwezo wa kukopesha, nitarejesha kidgo kidogo kwa 6 months . Kwa interest atakayosema yeye
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mkopo maalumu kwa watumishi wa umma wa bajaji pikipiki na GUTA bila KIANZIO wala mdhamana.

    Hello Naomba kuwasilisha tangazo maalumu kwa watumishi wa umma wote ambao wanahitaji kujiongezea kipato au kuwa na kazi nyinginevya ziarah ambayo itawasaidia kupunguza gharama za maisha. Tangazo hilir linahusiana na mikopo ya bajaji pikipiki na GUTA. Mkopo Hui hauhusishi mdhama wowote au...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya 2026/2027 mkopo trillion 15 na riba italipwa trillion 6 na deni litapunguzwa trillion 7 hujajumlisha trillion 114, tutoe maoni yetu hapa

    KWA LEO TUANGAZIE BAJETI YA NCHI KWA UPANDE WA MADENI 2026/2027 Pamoja na changamoto lukuki zilizopo kwenye nchi yetu tutoe maoni yetu kuhusu Hili haya madeni yanaonyesha kuongezeka bila kupungua Hizi ni Kodi zetu tuna haki ya kutoa maoni na pengine kushauri Nini kifanyike kuiweka nchi rehani...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Mkopo ili gati 10 zaidi kujengwa kupanua bandari ya Dar es salaam 2026

    05 May 2026 Tanzania yapanua miundombinu ya bandari ya Dar es Salaam ili kukabiliana na ongezeko la mizigo Tanzania yapanua bandari ya Dar es Salaam ili kuimarisha biashara ya kikanda kwa kujenga gati 10 mpya https://m.youtube.com/watch?v=5KZlgZiaEhM Upanuzi huo utasaidia bandari kushughulikia...
  16. JamiiForums Tanzania Naombeni mkopo huu utumike ipasavyo

    Mimi nishanunua chupi ya chuma wewe je Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) limefikia makubaliano ya awali na serikali ya Tanzania kutoa ufadhili wa dola milioni 375.5 (takriban Shilingi bilioni 978.3). Hatua hii inalenga kuisaidia nchi hiyo kukabiliana na athari za kiuchumi zinazotokana na...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Mdau wa Maendeleo ataka umri wa mkopo uongezwe hadi miaka 40 ili wengi wanufaike

    Mjadala kuhusu mikopo ya vijana inayotolewa na Wizara ya Maendeleo ya Vijana umeendelea kushika kasi, huku wadau wakitoa maoni yanayolenga kuboresha ufanisi na upatikanaji wa fursa hizo. Moja ya hoja kuu ni mapitio ya vigezo vinavyotumika kuwafikia wanufaika. Akizungumzia mjadala huo, Vian...
  18. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa mwanaume kuomba posa kwa mkopo?

    Wapo wanaume wanaokopa fedha ili kufanikisha harusi. Je, hiyo ni busara au ni presha?
  19. T

    JamiiForums Tanzania Hatma ya mkopo wa Benki baada ya mkopaji kufariki

    Je, nikiwa nimekopa Mkopo katika Benki yoyote nchini Tanzania (NMB as case study) alafu kabla sijamaliza kulipa Mkopo huo, Nikafariki. Je, Mkopo huo bado utatakiwa kulipwa ? Kama ni ndio, je ni nani atawajibika kulipa ? Naomba Ufafanuzi pamoja na msimamo wa Sheria katika jambo hilo
  20. JamiiForums Tanzania Wapi kuna mkopo riba nafuu dhamana kikwanja

    Tafadhali ninae rafiki anauliza ni kampuni gani anaweza akapata mkopo wa milioni 5 marejesho miezi 36 dhamana kiwanja. Yeye sio mtumishi amejiajiri. Mwenye maoni karibu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…