mkombozi

Mkombozi Commercial Bank Plc. (MKCB) is a commercial bank in Tanzania. It is licensed by Bank of Tanzania, the central bank and national banking regulator. Mkombozi is a Swahili word meaning Savior

View More On Wikipedia.org
  1. U

    Route mpya ya daladala kuanzia Mbezi Luis hadi Kidimu Mkombozi Kibaha kupitia Loliondo imeanza

    Route mpya ya Mbezi hadi Kidimu Mkombozi Kibaha imeanza. Hatimae Latra wameikumbuka Kibaha na kuanzisha route mpya inayotoka Mbezi Luis hadi Kidimu Mkombozi kupitia Loliondo imeshaanza. Wakazi wa Kibaha kwa sasa watapata unafuu wa usafiri kuelekea mjini, pia mji utaendelea kukua kwa kasi. Latra...
  2. Mkombozi wa wanaume

    Katika zama hizi, wanaume wanapotia magumu sana. Wapo na insecure sana. Kuna matabaka kibao. Hawa wanaogopa kuoa, hawa wanawachukia wanawake, hawa wapo jela sababu ya wanawake wengine mpaka wanawaza watapata wapi wake bora. Majibu ya maswali haya ni magumu sana kuyapata. Ila utafiti unaonesha...
  3. Starlink: Mkombozi pekee wa Mawasiliano wakati wa D9

    Kuna nyakati ambazo nchi huingia katika aina fulani ya ukimya usio wa kawaida—ukimya wa kidijitali. Mamlaka zinapositisha au kupunguza kasi ya intaneti, ghafla maisha ya watu milioni kadhaa hukwama: biashara husimama, wanafunzi hushindwa kuendelea na mitihani ya mtandaoni, na familia hushindwa...
  4. Mwangaza Uliozimwa – Safari ya Mkombozi na Mwisho Wake Wenye Machungu

    Mwangaza Uliozimwa – Safari ya Mkombozi na Mwisho Wake Wenye Machungu Ndugu zangu, wenzangu, wapenzi wa haki na uwajibikaji, Leo, tunakutana hapa kwa mioyo mizito na roho zilizojaa huzuni. Tunakutana kuzungumza kuhusu kisa ambacho kinatuacha na maswali mengi yasiyo na majibu, kisa...
  5. Yemen ndio watakuwa mkombozi wa taifa la Palestine wakisaidiwa kwa karibu "technically" na Iran

    Kwa ufupi sana resistance imesimama zaidi Yemen kwa usaidizi wa karibu kabisa " technically" kutoka Iran. Tumeona shifting kutoka US zaidi ya mara 3 kuhusu houthi na misimamo Yao. Israel imekua ikijaribu kupambana na Yemen lakini mpaka sasa hakuna mafanikio. Nchi zingine wamebaki kuwa wabwekaji...
  6. Car4Sale Wafanyabiashara wadogo nimewaletea mkombozi wenu hapa

    Bei/Price TSH 14.7M Call +255 747 999 927 SUZUKI CARRY Year: 2006 Engine: 650Cc LOW MILEAGE Transmission: MANUAL Clean Interior In Good Condition Exchange Possible Fuel Efficient Cheap To Maintain Easy To Drive In Tight Streets Reliable For Small-Scale Business Deliveries Cargo Capacity...
  7. Salim kikeke Mkombozi wa nguruwe Moshi vijijini

    Mashallah! Kiukweli Salim Kikeke ni kama baraka ya Allah kwa wananchi. Yaani Allah huwa anamtuma mtu spesho kabisa kuwasaidia watu — na kwa sisi wa Moshi vijijini, Kikeke ametokea kuwa mkombozi hasa. Huyu jamaa atatufungulia milango ya masoko ya nguruwe kule Zanzibar ambako soko bado liko wazi...
  8. G

    Nisapoti.com Mkombozi kwa Content Creators Tanzania

    So kila siku nimekua nikipata zile “bro unajua sana” nakukubali sana , bro unajua blah blah… Lakini ukweli ni kwamba it takes a lot kuwa consistent kushare #MadiniYaGaby. Na si mimi tu — hii story ni ya kila creator anayejaribu kusukuma content consistently. Wazungu kwenye YouTube na socials...
  9. Taifa linaumwa lipo ICU, nani mkombozi wake?

    Upo msemo wa wahenga unasema asiyejua kufa achungulie kaburi. Msemo huu umebeba dhima nzito juu ya uumbaji wa Dunia na mwanadamu. Quran tukufu nayo imesema kila nafsi itaonja mauti,Kwa msingi huo kifo ni sehemu ya uumbaji katika kumkutanisha Mja na Muumbaji. Kama kifo ni wajibu kwanini...
  10. W

    Ni rahisi Israel kushambulia viongozi wa Iran sababu wananchi wengi wanaichukia serikali, wairan wanaiona Israel kama mkombozi

    Ni sawa na vita ya Kagera, waganda wengi walikuwa wananchukia Idi Amini waliiona Jwtz kama mkombozi na walikuwa tayari kuisaidia kwa lolote japo kwa usiri kwa hofu ya hasira za kujulikana. Na ndio maana ukifuatilia vita inayoendelea Iran, unamuona Israel hana muda kushambulia wananchi wa...
  11. Huenda Lissu ni masihi (mkombozi) wa siasa za uongo Tanzania

    Mimi siyo mdau sana wa harakati za kisiasa, lakini kwa kipindi hiki, nchi yote haswa vijana na watu wazima wamejikuta wakifuatilia siasa. Siyo kwasababu ya mwaka wa uchaguzi, bali nguvu iliyoamushwa na Tundu Lisu. Wakati anaanza kupaza sauti za no reform no election, wengi hatukujali saaana...
  12. M

    Mpaka sasa mkombozi aliyebaki wa nchi yetu ni mwananchi mzalendo

    Ndugu zangu kwa hali hii sasa ma papa wamejipanga kupeana vitengo wao kwa wao kwa mipango yao. Tayari wanataka waonyeshe kwamba kuna demokrasia kumbe ni hakuna kitu. Mwananchi wa kawaida kazi yake ni kulipa Kodi kuwalisha ma papa. Ukombozi wa nchi hii upo mikononi mwa WANANCHI wazalendo...
  13. Sazi Agri solution ni mkombozi wa mkulima

    🔥SAZI AGRI SOLUTIONS! 🔥 🌿 SAZI Agri Solutions ni mshirika wako bora katika mapinduzi ya kilimo! Tunakuletea suluhisho kamili kwa mahitaji yako ya kilimo kwa teknolojia za kisasa na ubunifu wa hali ya juu. ✅ Ufungaji wa Mifumo Yote ya Umwagiliaji – Drip irrigation, sprinklers na mifumo mingine...
  14. K

    Mkombozi kwa wenye matatizo ya shimo la choo kuja baada ya muda mfupi.

    Mashine unayoiona hapo itakupa suluhisho lakudumu nautasahau kabisa kuhusu tatizo hilo. Kwa maelezo njoo inbox. 0743815045
  15. Tazama mabasi mapya ya kifahari ya CCM, hakika CCM ni chama kikubwa na mkombozi wa Tanzania

  16. Samia Scholarship inahusu wengi, tuikimbilie, ndiye mkombozi wa wanyonge wasio na karo

    Je, Hili jina la scholarship ni sahihi? Je, Marais wengine walipewa majina kwenye mkopo ambao fedha ni za walipa kodi? Je, nani alaumiwe, kama kuna lawama, kwa kila kitu kukiita ch aRais hata kama yeye mwenyewe hajaagiza hivyo? Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia inatangaza programu ya...
  17. Tengeneza tatizo, subiri lifukute, peleka suluhu wakuone mkombozi!

    Wakuu, Hiki ndio ambacho kimefanyika leo huko Ngorongo! Kwani alikuwa hana taarifa kuwa Wamasai wamepewa order ya kuhana? Kwani alikuwa hajui kuhusu wajomba zake wanaokuja kuwekeza? Alikuwa hajui kuhusu resistance iliyotokea huko wakitaka kuendelea kuishi katika ardhi hiyo waliyokuwa wakikaa...
  18. Traders tuungane kwa pamoja kuwa komboa vijana wenzetu kwenye depression

    Habarini za saiz wakuu, napenda kutoa wito huu kwa Traders wenzangu....waje hapa tushare analysis. Nawasilisha.
  19. Hizi App za mikopo online ni mkombozi wa wanyonge au nyonya damu?

    Ni uzi mwingine tena kuhusu Application za kukopesha watu ukiwa na dharura. Sijakopa, ila hii weekend nimetumiwa zaidi ya meseji 8 tofauti tofauti ya watu wanne nnaowajua wamekopa na hawajalipa sasa meseji inasema niwaambie walipe. Wao wanasema mimi niliwekwa kama mdhamini lakini baada ya...
  20. SoC04 Silikoni Bongo Mkombozi wa Bunifu Tanzania, ili kuchochewa ongezeko la ajira katika nchi yetu

    SILIKONI BONGO MKOMBOZI WA BUNIFU TANZANIA, ILI KUCHOCHEA ONGEZEKO LA AJIRA KATIKA NCHI YETU Utangulizi Ukitazama picha hapo juu wazo la uumbaji wa ulimwengu kama ambavyo maandiko matakatifu hutueleza linakuijia kichwani, lakini vile vile ukiendelea kuangalia vizuri utaona nembo za bunifu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…