Habari za mchana. Nimekuwa nikikutana na video mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii, hususan mtandao unaokua kwa kasi wa TikTok, zinazoonesha baadhi ya watu wakiogeshwa mkojo, wengine wakinywa, na wengine wakiosha miili yao kwa maji yenye chumvi ya mawe.
Naomba kufahamu, kiafya hali hii...