mkoani

Mkoani is a town located on the Tanzanian island of Pemba. It is the capital of Pemba South region, as well as Mkoani District. Mkoani now has the busiest harbour on Pemba island, most ferries from Zanzibar or the mainland arrive at Mkoani.The Abdulla Mzee hospital is in Mkoani.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania TRA na Tume ya Madini tunaomba uthibitisho/ushahidi wa kodi ya Bilion 42 iliyolipwa na Mgodi wa Makaa ya Mawe wa CCM uliopo Mkoani Ruvuma.

    Katika sherehe ya Uzinduzi wa Ujenzi wa Jengo la Makao Makuu Mapya ya CCM yanayojengwa Mkoani Dodoma, Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Emmanuel Nchimbi alisikika akisema Kampuni yao ya JITEGEMEE Holdings inayochimba na kuuza madini ya Makaa ya Mawe Mkoani Ruvuma imelipa kodi kiasi cha Shilingi BIlioni...
  2. JamiiForums Tanzania Responded TANESCO: Ujenzi wa Kituo cha Kupoza Umeme Imalilo (Simiyu) umechelewa kwa sababu za Kiutendaji

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kulalamikia ucheleweshwaji wa Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Kupoza Umeme cha Imalilo kupitia andiko hili ~ Miaka mitano Serikali inajenga kituo cha kupozea Umeme Simiyu. Hakuna kinachoendelea, tumedanganywa? Shirika la Umeme Tanzania limetoa ufafanuzi...
  3. JamiiForums Tanzania Wananchi Mkoani Kagera wanavyonufaika na uwepo wa wadudu aina senene

    Idadi kubwa ya wakazi kutoka maeneo mbali mbali ya mkoa wa kagera wamekiri kupata fursa kubwa ya kipato kutokana na kufanya biashara ya wadudu aina ya senene. Wakizungumza katika mahojiano maalum na Kcr fm wakazi hao akiwemo Mektrida Leonard wamesema katika msimu wa senene wamekua wakipata...
  4. JamiiForums Tanzania Haya hapa Maamdalizi ya Mkutano wa CHAUMMA Mkoani Mara

    GT Watu wa Mkoa wa Mara na viunga vyake Mjiandae kwa ubwabwa, sato na sangara.
  5. JamiiForums Tanzania Tender – Strengthening Urban Eco-Resilience in Chake-Chake and Mkoani at LVIA May 2025

    Terms of Reference Activity: 3.2. Business Opportunities and Market Study for Organic Fraction of Municipal Solid Waste Project Title: Strengthening Urban Eco-Resilience in Chake Chake and Mkoani Project Reference: LVIA/NDICI_AFRICA/2023/447-205/04_2025 Tender Reference...
  6. JamiiForums Tanzania Mhandisi Emmanuel Shija: Utafiti umebaini uwepo wa kiasi kikubwa cha madini eneo la Ruangwa, Mkoani Lindi

    Mkoa wa Lindi unatarajiwa kuwa lango kuu la uchimbaji wa madini kutokana na kuonekana kuwa na aina zaidi ya 10 za madini mbalimbali yanayopatikana kwa wingi ikiwemo madini ya kimkakati kama Kinywe (Graphite) na Nickel. Akizungumza katika mahojiano maalum, Afisa Madini Mkazi wa Mkoa wa Lindi...
  7. JamiiForums Tanzania Uislamu unakua kwa kasi sana mkoani Iringa

    Takbiiir! Sikutegemea hata kidogo kukuta wimbi la waislamu huku Iringa aisee uislamu unakua kwa kasi sana na kila mtaa ni msikiti na watu wanaswali na wanajaza sana msikitini Tofauti nilivyokuwa nafikiria aisee na hiii inaonesha kwamba uislamu ni dini ya haki aisee.
  8. JamiiForums Tanzania Dar ni nchi ya ahadi, kijana wa mkoani ukiingia Dar usikatishwe tamaa kizembe pambana hadi kielewe!

    Ukifika Dar kwanza jihesabu wewe ni miongoni wa wateule wenye bahati, hivyo usiichezee nafasi hiyo. Bila kujali umeenda huko kwa njia gani iwe umeletwa kwa kudandia gari ya msiba, ama umeenda kama shamba boi, dada wa kazi, umeenda kama saidia fundi au umeletwa mara moja kubarizi na kupunga...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Nini sababu ya kuadimika kwa Petroli mkoani Kilimnjaro?

    Lao jioni nimepita kwenye vituo vinne vya mafuta Ili kuongeza petroli kwenye gari langu bila mafanikio! Kila kituo nilichopita wamedai hakuna mafuta. Je inawezekana kuna uhaba wa mafuta ya magari nchini au ni ujanja ujanja wa wenye vituo kuficha mafuta wakisubiri bei kupanda?
  10. JamiiForums Tanzania Kipi kilikusuma kuondoka , kijijini, mkoani na kukimbilia mjini, au nyumbani kwenda kupanga ghetto wazee wakujilipua tubushane

    Hii mahususi kwa watu wangu hasa kizazi Cha miaka ya 70, mpaka 80 hivi enzi hizo nchi Tanzania mikoa mingi bado mapori, watu wakimaliza darasa la saba kama wapo wanafunzi 200 wanachaguliwa kwenda kidato Cha kwanza ni watu wawili au mmoja mnaobakia kama mzazi uwezo hana wakukupeleka shule...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa utambulisho alioufanya Spika Tulia Ackson Bungeni kwa Mumewe sasa nimeamini kuwa Ukioa tu Mwanamke wa Mkoani Mbeya jiandae Kutawaliwa nae mazima

    Nilidhani atamtambulisha Muwewe (Boss wa EWURA) kwa Majina yake yote Matatu au hata Yeye pia kuacha Kujiita Tulia Ackson Mwakyusa na kujiita Tulia Andilile Mwainyekule lakini kila Mtu kabakia na Jina lake la Ubini / Ukoo ikidhihirisha kuwa ni kweli Wanawake wa Mkoa wa Mbeya wanapenda mno kuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri Mavunde Aingilia Kati Utekelezaji wa Miradi ya CSR Mkoani Geita

    WAZIRI MAVUNDE AINGILIA KATI UTEKELEZAJI WA MIRADI YA CSR MKOANI GEITA ▪️Ataka taarifa kamili ndani ya siku tatu ya mpango wa utekelezaji CSR ▪️Miradi ya 2018-2021 kukamilishwa ▪️Fedha zilizotengwa na GGM kwa miradi kutumika zote ▪️RC Shigela ahimiza ushirikiano wa karibu wa GGM na Serikali...
  13. JamiiForums Tanzania Baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu Mkoani Tanga waswali Swala ya Eid el Fitr

    Baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu wanaofuata mwezi mwandamo wa kimataifa, leo Jumapili Machi 30, 2025, wameswali Swala ya Eid el Fitr, baada ya kuhitimisha siku 29 za mfungo wa Ramadhan. Pichani baadhi ya waumini hao wakiwa katika Uwanja wa Ramole jijini Tanga wakihudhuria swala hiyo leo...
  14. JamiiForums Tanzania Kurasa 365 za Mama Kitabu cha nne, leo tunazifungulia Mkoani Mbeya, ambapo Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ime

    Kurasa 365 za Mama Kitabu cha nne, leo tunazifungulia Mkoani Mbeya, ambapo Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imepeleka Shilingi Bilioni 16 katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Mbeya, kwa ajili ya Ujenzi wa Jengo la Huduma za Mama na Mtoto, pamoja na...
  15. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Stephen Wasira atua kibabe na Ndege ya kibabe Mkoani Songwe. Kuwasha moto kwa siku tatu mfululizo bila kupumzika

    Ndugu zangu Watanzania, Chuma cha Reli, Mwamba Mwenyewe ,Nguli wa Siasa na Jabali la siasa Stephen Wasira Makamu Mwenyeki wa CCM Taifa Ametua kibabe kwelikweli katika uwanja wa ndege wa Songwe . kwa ajili ya kuanza ziara katika mkoa wa Songwe. Ambako anatarajiwa kuwasha Moto 🔥 mkali kwelikweli...
  16. K

    JamiiForums Tanzania KERO Bora Daraja la Magufuli likamilike tu, foleni Kivuko cha Kigongo - Busisi ni kero na zinaharibu ratiba za Watu

    Leo nimebahatika kupita katika Kivuko cha Kigongo - Busisi Mkoani Mwanza, nikiwa abiria nimekuta hali ni mbaya, ni kero Kwa kila mtu. Foleni ya magari ni kubwa sana, foleni ya abiria ni kubwa, abiria unatumia takribani saa mbili hadi tatu kuvuka, magari yanatumia saa mawili hadi tatu pia kuvuka...
  17. JamiiForums Tanzania NIDA yatoa majibu ya changamoto zinazolalamikiwa katika Uandikishaji Vitambulisho vya NIDA Wilayani Uyui Mkoani Tabora

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuelezea changamoto zinazojitokeza kwenye mchakato wa Wananchi kujiandikisha kwa ajili ya kupata Vitambulisho vya Taifa (NIDA) katika Wilaya ya Uyui, Mkoani Tabora, ufafanuzi umetolewa na Mamlaka hiyo. Awali mdau alilalamikia changamoto ya foleni kubwa...
  18. JamiiForums Tanzania Mwenge wa Uhuru 2025 kuzinduliwa Mkoani Pwani

    Mkoa wa Pwani umeteuliwa kuwa mwenyeji wa shughuli ya uzinduzi wa mbio za Mwenge wa Uhuru 2025 zitakazozinduliwa Aprili 2, mwaka huu katika Uwanja wa Shirika la Elimu Kibaha Pwani sherehe zitakazohudhuriwa na viongozi mbalimbali wa kitaifa, mikoa jirani na wilaya zote za Mkoa wa Pwani pamoja na...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Akipata Chai Ya Motomoto Na Vitumbua Kabla ya kuendelea Na Majukumu ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo Mkoani Tanga

    Ndugu zangu Watanzania, Kama Mnavyojua Rais wetu ni mtu wa kazi,ni mtu wa kupambana kutwa nzima .akiingia kazini anakuwa ameingia na inakuwa ni kazi juu ya kazi kwa siku nzima bila kupumzika. Kwa hiyo mapema kabisa Leo kabla ya kuendelea na ziara yake ya ukaguzi wa miradi mbalimbali ya...
  20. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO KERO Kulikoni mbona Bohari ya Dawa (MSD) mmefunga Duka la Dawa - Mpanda? Tunaomba huduma irejeshwe

    Duka la Dawa la MSD Mpanda Mkoa wa Katavi linalomilikiwa na Bohari ya Dawa (MSD) sasa ni zaidi ya wiki moja limefungwa bila taarifa yoyote kwa Wananchi jambo ambalo imekuwa kero ambayo inasababisha kukosekana kwa dawa ambazo Wananchi tunalazimika kununua kwa bei nafuu. Kukosekana au kufungwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…