mkoani

Mkoani is a town located on the Tanzanian island of Pemba. It is the capital of Pemba South region, as well as Mkoani District. Mkoani now has the busiest harbour on Pemba island, most ferries from Zanzibar or the mainland arrive at Mkoani.The Abdulla Mzee hospital is in Mkoani.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Roboti yasaidia kuongeza ufanisi wa uzalishaji wa pombe kiwandani mkoani Anhui, China

    Roboti ya kutengeneza pombe inafanya kazi katika kiwanda cha kutengeneza pombe mjini Fuyang, mkoani Anhui, China.
  2. JamiiForums Tanzania Morogoro: Mauaji ya wakulima na wafugaji, IGP Wambura aagiza askari wapishe uchunguzi

    IGP Camillus Wambura ametoa maagizo hayo kutokana na watu wawili kuuawa kwa silaha za moto na wawili kujeruhiwa wakati Polisi wakizuia vurugu Kijiji cha Ikwambi Kata ya Mofu, Wilaya ya Kilombero, Oktoba 23, 2022. IGP Wambura amesema “Nimeunda Tume Huru kuchunguza vurugu zinazotokea, lengo kujua...
  3. JamiiForums Tanzania Wauguzi wafutiwa leseni kwa kusababisha kifo cha mjamzito Mkoani Mtwara

    Baraza la Wauguzi na Ukunga Tanzania (TNMC), limewafutia leseni wauguzi wasaidizi wawili wa Hospitali ya Wilaya ya Mkomaindo, Masasi mkoani Mtwara, baada ya kupatikana na hatia ya uzembe uliosababisha kifo cha majamzito na mtoto wake." Wauguzi hao Elizabeth Njenga na Pascal Mnyalu, walishtakiwa...
  4. JamiiForums Tanzania Barua za uhamisho kutoka mkoani kwenda wizarani huchukua muda gani?

    Wanajamii wenzangu, barua yangu ya uhamisho katika ngazi za wilaya ilikamika kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine baada ya kusota kwa muda mrefu na nilishapeleka mkoani. Nashindwa kuelewa process ya mkoani kwenda wizara itachukua muda gani isije ikawa zinawekwa kapuni mana mpaka naifikisha mkoani...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Tunauomba uongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ukarabati wa uwanja wa Jamuhuri mkoani Morogoro ili mechi za Ligi Kuu zirudi kuchezwa mkoani hapo

    Amani iwe nanyi. Mkoa wa Morogoro ni miongoni mwa mikoa katika ardhi ya nchi ya Tanzania yenye wapenzi wengi wa Soka. Wachezaji wengi mahiri wametoka katika mkoa wa Morogoro. Ni muda sasa umepita toka dimba la Jamuhuri lilipofungiwa kutumika kwa michezo ya Ligi Kuu nchini Tanzania, kutokana na...
  6. JamiiForums Tanzania NECTA, kwanini msitumie teknolojia ya malipo kwa wasimamizi wa mitihani ili kuepusha malalamiko kama mkoani Tabora?

    MKOANI TABORA Wasimamizi wa mitihani ya NECTA ya Darasa la nne,kidato cha pili na cha nne walioitwa kwenye semina maalumu pale AMUCTA tarehe 15 na pale Themi Hill tarehe 17 wamelalamika kutolipwa posho za semina na nauli kwa kisingizio eti muongozo wa malipo haujatoka kutokea NECTA...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tumeleta umeme Kigoma ili kuvutia Uwekezaji

    Ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan Mkoani Kigoma, leo Jumatatu Oktoba 17, 2022 Akizindua Umeme wa Gridi ya Taifa na Uzimaji wa Jenereta katika Mkoa wa Kigoma - Kasulu Mjini. Rais Samia amesema lengo la kuleta umeme kigoma ni kuanza kuvutia wawekezaji kwenye mkoa huo ulio pembenzoni mwa nchi...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki maadhimisho ya kilele cha Mbio za Mwenge Mkoani Kagera. Aagiza TAKUKURU na ZAECA kuchunguza miradi iliyobainika kuwa na wizi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki Kilele cha Maadhimisho ya Mbio za Mwenge katika uwanja wa Kaitaba Bukoba Mjini Mkoani Kagera leo tarehe 14 Oktoba, 2022 Hotuba ya Rais Samia - Rais Samia ametoa salaam na Shukrani kwa Viongozi wote waliohudhuria pamoja na...
  9. JamiiForums Tanzania Ras Samia azindua chuo cha VETA Mkoani Kagera

    RAIS SAMIA AZINDUA CHUO CHA VETA MKOA WA KAGERA. - Ni chuo Cha kisasa kilichogharimu Shilingi Bilioni 22 ikiwa ni ufadhili kutoka Serikali ya China. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Leo mezindua chuo Cha ufundi stadi na huduma VETA Mkoa wa Kagera ambacho Ujenzi...
  10. JamiiForums Tanzania Mabasi yote ya mkoani yamezuiwa hapa Kibaha Stendi, foleni sijawahi kuona na hatujui hata sababu

    Mabasi yote ya mkoa tupo Kibaha hapa, foleni ni kubwa mno hatujui hata sababu. Tupo tumekaa tu kwenye magari. Tunaomba msaada vyombo husika, watu tunaenda mbali jamani.
  11. JamiiForums Tanzania Tunauza Rim paper aina karibia zote cartoon moja sh 65,000/= unatumiwa mpaka mkoani

    Kama Tangazo linavyosema tunauza rim paper cartoon moja sh 65,000/= kwa aina zote za rim, kwa aliyeko dar ukichukua cartoon Zaid ya mbili unaletewa bure na tunatuma mpaka mikoani zifuatazo ni mfano wa zilizopo. 255713520180
  12. JamiiForums Tanzania Mara: Kuuawa kwa majambazi 3 Serengeti, wananchi wawapongeza Polisi

    Wananchi mbalimbali mkoani Mara wamejitokeza kulipongeza Jeshi la Polisi kudhibiti vikali vitendo vya ujambazi ambavyo vilianza kushamiri mkoani humo hivi karibuni. Wananchi hao wameelezea namna vitendo vya uhalifu wa silaha za moto ambavyo hutekelezwa na baadhi ya ndugu na wanafamilia wenzao...
  13. JamiiForums Tanzania Hapa ndio Mwanga Kaskazini mkoani Kigoma

    Mwanga Kaskazini ni jina la kata ya Manisipaa ya Kigoma Ujiji katika Mkoa wa Kigoma, Tanzania Mandhari katika Kata ya Mwanga Kaskazini, Kigoma-Ujiji Mini mart katika Kata ya Mwanga Kaskazini, Kigoma-Ujiji Shule ya msingi Katubuka, Mwanga Kaskazini, wilaya Kigoma Mjini, mkoa Kigoma...
  14. JamiiForums Tanzania Mtoto wa miaka 15 auawa na Jeshi la Police Mkoani Mwanza

    Kijana Yahaya Aboubakar mwenye umri wa miaka 15 anadaiwa kukamatwa na askari polisi nyumbani kwa bibi yake mtaa wa Juhudi, Kata ya Mabatini wilaya ya Nyamagana Septemba 2, 2022, akiwa mzima, kisha polisi hao waliondoka nae na kumfungia ndani bibi yake Yahaya ambapo baada ya kufanikiwa kutoka...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Musoma: Raia wawatuhumu TRA kugonga raia wakiwa wanafukuza magendo

    Musoma, Tanzania Waziri Mwigulu Nchemba apigwa maswali mazito na wananchi mkoani Mara Wakaazi wa Sirari Rorya wasema wanamtambua vizuri hata mawe na majabali ya (mawe) kote nchini yaandikwa mwigulu rais ktk ya kampeni za urais 2015. Baada ya sofa hizo waelezea fani na kamatakamata...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa karibu mkoani Tabora

    Karibu mkoani Tabora Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa. Tarehe 08 Septembà, 2022
  17. JamiiForums Tanzania Mbeya: Amuua mwanafunzi mwenzie kwa shoka baada ya kushindwa kumbaka

    Mwanafunzi wa kidato cha nne katika shule ya sekondari Sinde jijini Mbeya, Faraja Kasole (16), ameuawa kwa kukatwa na shoka shingoni na mwanafunzi mwenzie aitwaye Humphrey Ngogo (17) mwanafunzi wa kidato cha tano shule ya sekondari Iduda, baada ya kushindwa kumbaka. Chanzo cha mauaji hayo...
  18. JamiiForums Tanzania Ukatili dhidi ya wanawake, Mwanamke auwawa kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali huko Mkoani mwanza

    Mtu huyo anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 25 hadi 35 aliokotwa hapo, huku pembeni yake kukiwa na chupa yenye pombe. Tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia leo na kuthibitishwa na wenyeviti wa mitaa hiyo miwili huku chanzo cha mauaji hayo kikiwa bado hakijajulikana na upelelezi wa kubaini...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Michezo ya Watu wa Makabila Madogo yafanyika wilayani Rongjiang mkoani Guizhou China

    Agosti 25, wanariadha wanafanya maonesho ya kusafiri mtoni kwa mashua ya mwanzi mmoja kwenye Michezo ya 10 ya Watu wa Makabila Madogo ya Mkoa wa Guizhou, iliyofanyika katika wilaya ya Rongjiang.
  20. L

    JamiiForums Tanzania Ziara ya wanadiplomasia wa Afrika mkoani Hunan, China, kufungua fursa nyingi zaidi za kibiashara na kiuchumi

    Na Pili Mwinyi China na Afrika ni ndugu ambao wanafaana wakati wa dhiki na faraja, na uhusiano uliopo kati yao tunaweza kusema kwamba ni uhusiano wa kihistoria duniani. Uhusiano huu mashuhuri ambao unajulikana vizuri na kwa mapana zaidi duniani, kutokana na umuhimu wake katika kuchangia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…