mkoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ushauri: Wilaya za Kibaha na Bagamoyo zihamishiwe Dar es Salaam, Mbagala na Kigamboni zipelekwe mkoa wa Pwani

    Kipindi nakua mji ulikuwa mwisho ubungo, pale lilipo jengo la Tanesco ndio ulikuwa mzani wa kupima malori ambao sasa uko mkoa wa Pwani, Dar inakuwa kuelekea kaskazini,npaka wa Dar na kibaha unafutika, mpaka wa Dar, Bagamoyo unafutika kwa kasi sababu ya ujenzi unaokuwa kwa kasi ya ajabu...
  2. JamiiForums Tanzania Simiyu: Mkuu wa Mkoa ahoji kuhusu askari anayetuhumiwa kumpa ujauzito mwanafunzi

    Picha: Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, David Kafulila mwanzoni kulia Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, David Kafulila ameagiza kupata maelezo ya kina juu ya hatua zilizochukuliwa na Jeshi la Polisi dhidi ya askari, Nuru Mtafya anayetuhumiwa kumpa ujauzito mwanafunzi anayejulikana kwa jina la Neema Mabula wa...
  3. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro adaiwa kuingilia Uhuru wa Mahakama, aamrisha watu kuwekwa Korokoroni hata siku tano bila kusikilizwa

    Salaam Wakuu, Nimeshangaa na sikuamini Kusikikia Stephen Kagaigai kabadilika kawa mbabe kiasi kwamba sasa hivi anawekwa kundi moja na Wakina Sabaya, Mnyeti. Huyu Mzee kabla ya kuwa Mkuu wa Mkoa, alikuwa Katibu wa Bunge akifanya kazi na Ndugai. Au ni Msongo wa Mawazo baada ya Kutolewa Kwenye...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi Bashungwa "anatosha" pale TAMISEMI? Pamoja na Rais kutoridhishwa na mambo ya Mkoa wa Mara, bado hajachukua hatua

    Ningekuwa Mimi ndio Bashungwa, ningepiga kambi Mkoa wa Mara na kuusafisha, nikiwa na kikosi kazi maalum. Rais hajaridhishwa na yote yanayotokea Mkoa wa Mara, na hatusikii Waziri akitema cheche, amebaki Ally Happy tu alifanya ziara, na kwenye ziara bado anasema ataandika barua sijui TAMISEMI...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kwa Katiba hii mbovu Rais anaweza kuuza mkoa wa Arusha na asihojiwe wala kushitakiwa mahala popote. Tuibadilishe

    Nilimsikia waziri Ndumbaro pale bungeni akisigina manung'uniko na malalamiko ya wamaasai kuondolewa kwenye ardhi yao ya asili Ngorongoro. Ndumbaro alisema "ardhi siyo ya kabila fulani, ardhi ni mali ya watanzania wote. Kwa mujibu wa katiba ardhi yote iko chini ya rais". Kwahiyo basi, katiba...
  6. JamiiForums Tanzania Tanzania inaweza kuanza kuzalisha ndege za watu wachache

    Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimesema kipo hatua za mwisho za majadiliano na kampuni ya Skyleader yenye makao makuu nchini Czech ili waje kuwekeza nchini Tanzania. Skyleader ni kampuni inayotengeneza ndege ndogo za wazi ambazo huwa na siti moja hadi mbili. Kampuni hiyo inaweza kuanza...
  7. JamiiForums Tanzania RC Makalla asema amechoka kusikia ajali za moto katika Mkoa wa Dar

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Amos Makalla amesisitiza umuhimu wa kutengeneza miundombinu ya njia kwenye masoko inayoweza kusaidia kukabiliana na majanga ya moto huku akisema amechoka kusikia ajali za moto katika mkoa huo. Kauli hiyo ameitoa jana Februari 13, 2022, wakati anatoa pole kwa...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Makonda anaufedhehesha muhimili wa Mahakama; Hana madaraka lakini Mahakama inamtii

    Mahakama ya Tanzania Sijui imekosa nguvu Kwa sababu ya chama au Kwa sababu ya serikali au Jaji mkuu ameshindwa kuwapa Imani waliopo chini yake? Raia anaitwa na Mahakama yupo Kigamboni au Masaki anagoma kufikia mahakani Wala kutuma mwakilishi na uongozi wa Mahakama upo kimya. Hakimu anadai...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awataka RC Hapi na Wakuu wa Wilaya zote Mara wajitathmini kwa Uongozi wao mbovu

    Kutokana na kukwama kwa miradi mingi mkoani Mara Rais Samia amesema anakwenda kuchunguza mwenendo wa viongozi wote wa mkoa na kwa kipindi hicho cha uchunguzi amemtaka Mkuu wa Mkoa na Wakuu wa Wilaya wote wajitathimini kabla ripoti haijatoka. Kwa upande wa Wakuu wa idara, Rais Samia amesema...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Mtwara kwa nafasi ya Mwenyekiti Kamati ya Ulinzi na Usalama anaweza akaathirika na kauli ya Mhe. Rais kuhusu mauaji ya Polisi Mtwara?

    Taarifa ya kutoonekana kwa mfanyabishara aliyekuja kubainika kuwa ameuawa ilichukua muda mrefu Sana. Ndugu kwa maelezo Yao walifuatilia suala la ndugu yao ngazi tofauti. Zipo kamati mbili ambazo ni muhimu sana kuwa na updates za matukio yanayotokea. Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya Mtwara...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rwandair hujaribu sana, siku zote wapo kwenye kumi bora Afrika, licha ya kainchi kenyewe saizi ya mkoa

    Hapa inabidi kuwasifia Wanyarwanda, kainchi kadogo mithili ya mkoa lakini kanalambisha vumbi majitu makubwa Afrika, Rwandair imeshikilia namba saba, huku Kenya Airways ikiwa namba tatu, Ethiopia wameongoza. =================== Skytrax has revealed the World's Top 100 Airlines for 2021 and...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aalikwa kama mgeni rasmi Tamasha la Utamaduni la Mkoa wa Kilimanjaro

    Watu ni wengi sana wakiongozwa na machifu/ watemi wa maeneo yao. Vikundi vya ngoma na sanaa nyingine za Wachagga na Wapare ni vingi sana na bila kusahau vinywaji kikiwemo kinywaji pendwa cha mkoa wa Kilimanjaro. Tukio liko mubashara Clouds tv, TBC na Channel ten. Karibuni nyote Updates;
  13. F

    JamiiForums Tanzania Wazee wa UCHAGANI, mkumbusheni Rais Samia mkoa wa Kilimanjaro unapaswa kuwa jiji

    Wazee wa UCHAGANI, mkumbusheni Rais Samia. Mkoa wa Kilimanjaro unapaswa kuwa jiji. Mkoa wa Kilimanjaro unapaswa kuwa jiji ili kuweza kule maendeleo Kwa mkoa na Taifa Kwa ujumla Hi dhana Kwamba wachaga watakuja kuitawala TZ , ni mawazo ya kijamaa ambayo ni ujinga mtupu. Huu ujinga umesababisha...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia, "nakuamuru" uwajengee Kivuko Wananchi wa Ipatikana na Nzoka Mkoa wa Songwe

    Salaam Wakuu. Kwa mjibu wa Katiba, rais ameajiriwa na Wananchi kuwatumikia. Hivyo kama Mwajiri, namtaka au namuamuru rais Samia awajengee kivuko hawa Wananchi. Ziara yake moja inatosha kuwawekea kuvuko hawa wananchi. Nimefika Nzoka Momba, Wananchi wanavuka kama Makomandoo unaweza hisi ni...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko yajayo ya Ma-RC namuona Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam kama RC mpya

    Suala la soko la Karume kuungua moto ikiwa ni muda mfupi tu baada ya soko la kariakoo kuungua moto linaweza kuja na taswira mpya ya baadhi ya watendaji kuwajibishwa. Moja ya watendaji ambao naona wakiwajibishwa ni RC wa DSM ikiwa ni njia ya kuponya majeraha ya maumivu kwa machinga. Naona pia...
  16. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Mara apewa amri na mwananchi akitaka choo kianze kazi mara moja 😂

  17. JamiiForums Tanzania Kuna 'Kiongozi' Mmoja 'anahangaika' sana 'Kujiokoa' na hana 'Amani' hivyo nampa tu huu 'Ushauri' na akitaka asalimike kwa 'Maovu' yake atii niyasemayo

    1. Akiri mbele ya Watanzania kuwa Yeye ni Mpumbavu ( Popoma ) na hana Mpinzani Tanzania, Afrika na Duniani. 2. Akiri kuwa kwa muda wake mfupi tu Madarakani ameua Watu wasio na Hatia kama alivyowahi Kuua aliyekuwa Rais wa Liberia Charles Taylor. 3. Akiri kuwa Yeye ni Mnafiki na siyo Mcha Mungu...
  18. JamiiForums Tanzania Manyara: Simanjiro walia kwa uhaba wa mvua, mifugo 62,500 imekufa

    Mifugo 62,593 imekufa wilayani Simanjiro mkoani Manyara kwa kukosa maji na malisho kutokana na ukame. Kati ya mifugo hiyo; Ng'ombe - 35,746 Kondoo - 15,136 Mbuzi - 10,033 Punda - 1,670 ====== Hali ya ukame inayoendelea wilayani Simanjiro mkoani Manyara imesababisha mifugo mbalimbali ikiwemo...
  19. JamiiForums Tanzania Je naweza kupata nyumba nzuri ya kuishi na yenye uzio (fensi) na geti kwa range ya TSH 35-50 Milioni?

    Habari za uzima, heri ya mapinduzi kwa wa Zanzibar wote, Niende kwenye poit moja kwa moja kwa sasa nipo mkoa flani kwa utafutaji baada ya kumaliza masomo yangu moja ya chuo hapa hapa tanzania, sasa nimeona nichange pesa ili niweze kununua nyumba mkoa wa mwanza na kuanza kuishi uko nataka kujua...
  20. JamiiForums Tanzania Vifo vya watu 14: Mkuu wa Mkoa Mwanza awajibike

    Ajali za magari ya serikali sasa zimekithiri. Watu wanakufa kama kuku na makosa yanalundikwa kwa dereva tu. Sasa inabidi iwepo uwajibikaji kisiasa kwa makosa ambayo inaelekea usimamizi wa sheria na kanuni za barabarani ni hafifu. Kuua kwa mpigo watu 14 hawezi laumiwa dereva peke yake. Mkuu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…