mkoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Mkoa uliong'aa (THE SHINY BUKOBA) Leo hii Umekuwa Mkoa Mweusi (THE DARK BUKOBA) kwenye kila sekta ya Maendeleo;Nini Kimetokea kwa Nshomile Hawa

    Nimesoma andiko la mtoa hoja mmoja kwamba kwa nini Wahaya festiva ifanyikie Dar es salaam na si Bukoba ili kuhamasisha ujenzi wa Barabara, Stendi na Soko, vitu vinavyotia aibu kubwa sana kimkoa. Lakini mimi kwa kuwa ni mdau wa mkoa huo, niliona tusijikite kwenye festival tu, tuangalie picha...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini wahaya wanaukwepa mkoa wao? Buhaya Festival kufanyikia Dar, Mlimani City leo 27.10.2024

    Nilidhani wahaya wangefanyia tamasha hili mkoani kwao ili wapaone palivyochoka. Lakini wameamua kukaa Dar wakiangalia jiji linavyopendeza, huku makwao pakiwa choka mbaya. Ilikuwa ni fursa kwao kuangalia nyumba za babu na baba zao zilivyochoka, mazao ya ndizi na kahawa yalivyoanguka, jinsi...
  3. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Mtoto wa Hayati Magufuli, Jesca Magufuli amwaga Pikipiki kwa UVCCM Mkoa mzima wa Geita

    Ndugu zangu Watanzania, Mtoto Wa Hayati Mwalimu Daktari John Pombe Joseph Magufuli Rais Wa awamu ya Tano Ndugu Jesca John Magufuli Amemwaga Pikipiki kwa makatibu wote wa UVCCM Mkoa wa Geita. Binti huyu mdogo ametoa msaada huo wa pikipiki kwa makatibu hao wa UVCCM ili ziweze kuwasaidia...
  4. JamiiForums Tanzania Tukiwa tunawaambia kuwa Watu wa Mkoa wa Mara (Musoma) huwa hatuna Masihara katika kutoa Maamuzi ya Kiume na ya mwisho muwe Mnatuelewa sawa?

    Ally Zedi Rajabu mtia nia wa nafasi ya uenyekiti wa mtaa wa Kitaji, Manispaa ya Musoma mkoani Mara amehamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), baada ya kushindwa kura za maoni ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa madai ya mgombea mwenza kutumia rushwa na majina ya watu wanaodaiwa...
  5. JamiiForums Tanzania Unapowaambia wakazi wa mkoa wa Kagera kuhusu gari wanachowaza kwanza

    Corona Premio the number one choice ya kina Rweyemamu wa Muleba, Muganyizi wa Karagwe, Kalikawe wa Kiziba. Tasipota..
  6. JamiiForums Tanzania Mkoa wa Geita utakuja kuwa "Johannesburg" ya Tanzania?

    Inasemekana, kabla ya mwaka 1895, Cape Town ndio uliokuwa mji mkubwa wa Afrika Kusini. Lakini kugundulika kwa dhahabu miaka ya 1880's Johannesburg, kulifanya huo mji kukua kwa kasi na hatimaye kuupita Cape Town. Mpaka sasa ndiyo mji mkubwa kuliko yote Afrika Kusini, nafikiri! Inawezekana mkoa...
  7. JamiiForums Tanzania LGE2024 Zangina, Katibu Uenezi CCM Mkoa wa Morogoro Alipokuwa Ifakara Kuhamasisha Wananchi Kujiandikisha

    ZANGINA S. ZANGINA, KATIBU UENEZI CCM MKOA WA MOROGORO ALIPOKUWA IFAKARA AKIHAMASISHA WANANCHI KUJIANDIKISHA Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Morogoro, Ndugu Zangina S. Zangina alipokuwa akitimiza majukumu yake ya kuhamasisha wananchi wa Ifakara na...
  8. JamiiForums Tanzania Viongoiz jifunzeni kufuata utawala wa sheria! Mkuu wa mkoa manyara huna mamlaka ya kuzuia Uhamisho wa Watumishi wa Umma

    Nchi hii ifike mahali tuwe na chombo kinacho wasimamia hawa viongozi maana nikama wakisha kuwa na madaraka ya juu basi wapo overall, Haya ya kuendelea kuwaacha waongoze kwa utashi wao na sio kuzongatia sheria kuna siku yatatokea ya Dr. Kleruu na mwamwindi Mkuu wa mkoa kwa utashi wake anasimama...
  9. JamiiForums Tanzania KERO Vyoo vya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dar vinahitaji maboresho, angalia hali ilivyo

    Licha ya kuwa Viongozi wengi wa Kiserikali wamekuwa mstari wa mbele katika kusisitiza usafi kwenye mazingira ya ofisini na hata kwenye makazi ya watu lakini upande mwingine wapo ambao huwa wanasahau kujitazama wao. Hivi ndivyo hali ilivyo katika Vyoo vilivyopo Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es...
  10. N

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto shule ya msingi Kimandafu Halmashauri ya Meru mkoa wa Arusha

    Pale Arusha wilaya ya Arumeru hasa Halmashauri ya Meru shule ya msingi Kimandafu kuna mzungu anaitwa Birgita sijui ametokea nchi gani. Huyu mama anatoa vifaa kadhaa vikiwemo vitabu, chakula km unga, chereko, mchele, mafuta ya kupikia. Jambo la kwanza huyu Birgita serikali inamfahamu? Pili...
  11. JamiiForums Tanzania Wenyeji na wazoefu wa mkoa wa Mtwara naombeni Shule

    Nimeambiwa sasa hivi ni msimu wa korosho hivyo kuna hela sana, Je vitu gani naweza kupeleka huko tukabadilishana na hela zao (Bidhaa) nimetamani kwenda ila nimetamani kupata ABC
  12. JamiiForums Tanzania KERO Responded Sikuchagua Mkoa wa Kagera lakini wamenichagua Kagera ndiko nitafanya Oral interview Nauli 100,000

    Habari Kutoka kibaha Mpaka Bukoba nauli Laki Moja, kwenda kurudi Laki Mbili. Kula na Kulala tufanye elfu 60. Sikuchagua Kagera lakini wamenichagua kusudi ili nisiende. Nitatoa Wapi Laki tatu Mimi. Halafu hakuna uhakika kama nitapata au vipi. Nimekata tamaa
  13. S

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi; kwanini jina la Mkoa linamaana tofauti kiutawala na kwenye taasisi wana maana nyingine wakati serikali yetu ni moja?

    Habari wadau! Jana nilitumia siku yangu ya kumbukizi kuongea na watoto wadogo! Moja ya maswali waliyotaka ufafanuzi ni hili! Serikali ina mipaka ya kiutawala ngazi za mikoa na wilaya! Kwa mfano; Mkoa wa Dar es salam ni moja ya sehemu ya utawala wa kiserikali nactaasisi zake! Sasa kwanini...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Malipo kwa ajili ya uboreshaji wa daftari la wapiga mbona katika mkoa mmoja kila wilaya inavyotaka

    Hivi inakuwaje mkoa mmoja kila wilaya inalipa jinsi inavyopenda?Inaamanaa hili zoezi kila wilaya wilaya linaendesha zoezi hili kila linavypoenda? Hii ina maana tume ya uchaguzi haikupanga kiwango sahihi kwa waboreshaji la daftari kiwango cha kulipa? Hii inatengeneza loop hole kwa wasimamizi...
  15. JamiiForums Tanzania Bilioni 16 kutolewa ili kuliokoa shamba la ushirika Chauru, la wakulima wadogo wa Umwagiliaji Ruvu, lililopo Mkoa wa Pwani

    Na MWANDISHI WETU WIZARA ya Kilimo imekubali yaishe kwa kuwa tayari kulipa shilingi bilioni 16 ili kuliokoa shamba la ushirika, Chauru, la wakulima wadogo wa Umwagiliaji Ruvu, lililopo Mkoa wa Pwani. Hayo yamebainika katika muendelezo wa ziara za Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe mkoani humo...
  16. JamiiForums Tanzania Mvua ya mawe Mafinga na baadhi ya maeneo ya mkoa wa Iringa

    Leo hapa mafinga kumepiga mvua ya mawe na hali ilikuwa kama hivi. Sehemu nyingine hali ilikuwa hivi. Hali ya barabara ya TANZAM ilikuwa hivi. Haki hii pia imeripotiwa maeneo mbalimbali ya mkoa wa Iringa.
  17. B

    JamiiForums Tanzania Migogoro wa ardhi Kijiji cha Nyamkonge kata Nyahongo Wilaya Rorya Mkoa Mara

    Mwenyeskiti Kijiji cha nyamkonge kata Nyahongo wilaya rorya kwa kushirikiana na diwani pamoja na mbunge , walihamua kupindisha ramani nakupitisha barabara kwenye makazi ya wananchi kwakutumia mabavu nakufukia mazao Yao nakuwaaribia muundo mbinunkwenye viwanja ivyo. bila kulipwa fidia yoyote ata...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa kata wa CHADEMA, ni sawasawa na kiongozi wa CCM wa ngazi ya kuanzia mkoa

    'Ukimchukua kiongozi wa kata wa CHADEMA, ni sawasawa na kiongozi wa CCM wa ngazi ya kuanzia mkoa au kidogo ni Taifa'' - Gavana Kaduma, Katibu wa CHADEMA kanda ya kusiniKwa urefu zaidi unaweza kuitazama kupitia YouTube channel yetu ya EastA
  19. JamiiForums Tanzania Chalamila pamoja na ukuu wako wa mkoa acha kuwadharau wakazi wa Mbagala.

    Chalamila mara nyingi umekuwa ukitoa hotuba za dharau dhidi ya wananchi, hili la kuwaona wakazi wa Mbagala ni walevi wa pombe na wapenda ngono na wake za watu halikubaliki, ni dharau iliyopindukia. Chalamila inawezekana umewahi kumpata mke wa mtu huko Mbagala mlipokuwa mkinywa pombe, hii...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Kwako Mkuu wa Mkoa wa Kigoma

    C&P Kwako Mkuu wa mkoa wa Kigoma. Salaam. Sisi ni wahudumu wa Afya ngazi ya jamii ( CHW's) kutoka tarafa za Buhingu na Ilagala wilaya ya Uvinza mkoani kigoma. Idadi yetu ni 80( themanini). Mwezi Juni mwaka huu, ofisi ya Mganga mkuu wa mkoa wa Kigoma (RMO) kupitia kwa Mganga mkuu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…