Ndoa zinavituko sana, huyu jamaa yangu baada yakwenda kuoga si kaacha simu open
MKE kakuta Sms kibao za Mchepuko naugomvi ukaanza hapo ni full makelele,
Asubuhi mwanamke karudi kwao, wazazi wakasuruhisha lakini mwanamke kagoma Rudi kwa jamaa mpaka ATUMIWE LAKI nanusu..
WAtoto kaachiwa jamaa...