mke

The MPT (stands for Turkish: Millî Piyade Tüfeği, English: National Infantry Rifle) is a modular rifle family designed by MKEK and produced by MKEK, Sarsılmaz Arms and Kalekalıp to meet the demands of the Turkish Armed Forces and to replace its aging rifles such as Heckler & Koch G3 and Heckler & Koch HK33 due to most of them being near the end of their service life. The MPT was designed for robust high altitude, all weather combat, capable of functioning in extreme hot and cold weather. The MKEK MPT is a rifle intended to take abuse and extreme mistreatment and still maintain high accuracy and reliability in order to survive in true battle environments. The Turkish government has invested US$22 million into the project.It made its first public appearance at the Eurosatory 2014, ADEX 2014 and the MSPO 2014 events.

View More On Wikipedia.org
  1. Sheria gani inaweza tumika kumhukumu mke wa huyu jamaa?

    https://www.tiktok.com/@samonsojuri68/video/7504665112372956447
  2. T

    Sanamu la Mke wa Trump limeibiwa huko Estonia

    Sanamu la kumuenzi mke wa Trump, Melanie Trump mwenye asili ya nchi ya Slovenia .limeibiwa na maharamia wa biashara ya vitu vya sanaa wanaojulikana kama Art Thieves Inasemekana hilo sanamu liliakisiwa kwa thamani ya milioni ya dola liteenda kuuzwa kwa wakusanyaji wa sanaa za wizi huko nchini...
  3. Nimemuomba donati mke wangu ameninyima, naombeni Ushauri

    Mke wangu kadai talaka kimya kimya sasa hivi kaolewa na Mwanaume mwingine! Mimi ni baba wa mtoto mmoja, miaka 3 iliyopita nilifunga ndoa na mke wangu, kutokana na ujana baada ya miezi 3 tu niliichoka ile ndoa na kumrudisha Kwakweli sikuwa na sababu yoyote ila niliona kama ana kisirani sana na...
  4. PICHA: Jerry Silaa alivyopigwa busu na mkewe kabla ya kuwasilisha hutuba ya bajeti ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa, akimbusu mke wake Mariamu, wakiagana naye kabla ya kuingia bungeni kuwasilisha hotuba ya taarifa ya makadirio, mapato na matumizi ya wizara hiyo, jijini Dodoma, leo Mei 16, 2025.
  5. M

    natafuta mke awe mwanza

    nahitaji mwana mke awe mwanza umri 30-42 akiwa na mtoto haina shida ila asizidi 1 .. naishi nyegezi nina miaka 43 na mtoto mmoja ... aliye tayari ani pm tuyajenge
  6. Mke wa mtu ananitongoza, anatishia kuniendea kwa babu Niki endelea kumkataa

    Huwa natongozwa sana na wanawake, ila wengi hukata tamaa baada ya muda fulani, ila huyu mke wa mtu naona amedhamiria na hakati tamaa. Ni mwaka wa saba huu bado tu kila akioata nafasi analalamika kwanini simuelewi, anasema “ Hance ungekua mwanamke ningekuja kwa mzee Z, kutoa mahali” Wakuu...
  7. F

    Mke ananipa unyumba kwa tabu sana

    Habari zenu wakuu, kama kichwa kinavyojieleza. Mimi na huyu mke wangu tupo kwenye ndoa kwa miaka mitatu sasa. Mwanzo kipindi tunaingia kwenye ndoa alikuwa ananipa haki yangu tena kwa ushirikiano mkubwa sana. Tatizo lilianza alipobeba ujauzito. Miezi ya mwanzo ya ujauzito hadi kufikia miezi...
  8. R

    Kwa hali ya sasa Tanzania ni akili timamu na sifa za Wife material ndio vigezo muhimu zaidi za kuchagua mke, Bikra pekee haitoshi

    Haijalishi ni used au bikra Kwa hali ya sasa ukichagua mwanamke kwa kigezo cha bikra pekee safari badi ni ndefu. Maamuzi sahihi ni kuangalia yupi mwenye akili timamu na anaefaa kuwa mke haijalishi ni used wala bikra
  9. Mke wa Rais wa Zanzibar akutana na Mke wa Rais wa Msumbiji Zanzibar

    Mke wa Rais wa Zanzibar akutana na Mke wa Rais wa Msumbiji Zanzibar Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Taasisi ya ZANZIBAR MAISHA BORA FOUNDATION (ZMBF) Mama Mariam Mwinyi, amekutana na kuzungumza na Mke wa Rais wa Msumbiji, Mama Gueta Selemane Chapo, aliyetembelea...
  10. N

    Naona kama mke ananikwamisha

    Miaka 15 iliyopita nilinunua kiwanja kwa shilingi milioni 4 nikaanza ujenzi wa nyumba kwa kuunga unga na nikahamia na familia nyumba ikiwa haijakamilika. Namalizia kidogo kidogo huku nikiwa humo humo ndani. Miaka ya kati hapo nikapoteza channel kabisa, na sijaweza kumalizia hiyo nyumba, lengo...
  11. Hela ya Mwanaume ni ngumu, usiwe na mazoea ya kuomba msaada kutoka kwa Wanaume wenzio, wengine watarudisha kupitia mke wako

    Hela ya Mwanaume ni ngumu, usiwe na mazoea ya kuomba msaada kutoka kwa Wanaume wenzio, wengine watarudisha kupitia mke wako Binadamu wanatofautiana sana, wema ni wachache, jinsia yetu ya kiume inatofautiana sana kifikra, wapo baadhi ya wenzetu fikra zao zimejikita sana kwenye ngono kwa maana...
  12. Q

    Nina miaka 33 sijaoa sina mke familia imenikalia kooni

    Sijui kwa nini nina miaka 33 sina mke sina mtoto familia imenikalia kooni . Nina kazi nina Elimu.
  13. J

    Mchanganuo wa mshahara mpya wa TZS 500 000 kwa mtumishi mwenye mke na mtoto mchanga/toddler

    Habari zenu wadau, naomba niwarudishe nyuma kidogo juu ya swala hili la nyongeza ya mishahara Niwatake ndugu, jamaa na marafiki wawe tu watulivu kwa hawa walengwa walioongezewa 35.1% ambayo ni sawa na TZS 130 000 hadi kufikia TZS 500 000 kutoka TZS 370 000 ya kwamba bado itakuwa sio rahisi...
  14. Natafuta mke wakuoa!!(25_27 yrs)

    Habari za mda huu wakubwa kwa wadogo,,,sipend kuzunguka mnoo nataka niende straight to the point,,,,natafuta mwanamke wakuoa umri tyr nshaandika apo juu,,, Awe tayari kuishi mahali popote,awe mpenda maendeleo Sifa ya mke ninaye mtaka. ~ Awe na umri 25_27 ~ Elimu siyo kipaumbele changu. ~...
  15. Hatimaye mke wangu tuliyekutana JamiiForums tumeachana!

    Wakuu siku ya leo ipo na majonzi sana jamani mwanamke Wangu au mke wangu niliyekutana nae JamiiForums miaka saba iliyopita miaka miwili kwenye uchumba na miaka mitano kwenye ndoa aisee it so pain wakuu Kosa langu ni kumuambia ukweli au kumkaripia kwasababu ya kuchati na member mmoja wa humu...
  16. Mke wa Mdude: Tusifiche na tusisingizie mtu, waliomchukua mume wangu ni Polisi. Polisi wa Tanzania wana roho mbaya sana

    Mke wa Mdude_Nyagali akilia kwa uchungu muda baada ya Polisi kufika nyumbani kwa Mdude kufanya Uchunguzi. Mtoto aliyebeba ndo mtoto wao. Polisi wanataka kumtenganisha huyu Dada na mmewe lakini pia wanataka mtoto akue bila malezi ya Baba. "Kwanini Polisi mko hivi, kwanini Polisi mna roho mbaya...
  17. NAHITAJI MKE

    Habari wapendwa Naishi Vikindu Pwani Umri 35 Nahitaji mwenza wa maisha Awe na umri 25-35 Ambae yupo tayari tuwe na familia Km yupo anicheki DM Au Whatsapp kwa namba 0694599179.
  18. NAHITAJI MKE

    Habari wapendwa Naishi Vikindu Pwani Umri 35 Nahitaji mwenza wa maisha Awe na umri 25-35 Ambae yupo tayari kutafuta wote maisha tuwe na familia Km yupo anicheki DM
  19. M

    Mke haombi Wala kutengeneza mazigiria yakuhitaji tendo la ndoa Hadi aombwe

    Habar wakuu hivi mke kutokuomba tendo la ndoa Wala kutengeneza mazigira yakuhitaji tendo la ndoa,yaan mpaka umuombe ila huwezi Kuta anamazigira ya kuhitaji au kuomba ukipiga kimya hitaona ishara zakuhitaji Wala kuombwa. zaid siku utaambiwa hujui wajibu wako
  20. Wanawake wote Tanzania mngekuwa kama Mke wa Mwijaku hakika Sisi Wanaume zenu tungewapenda Kunakotukuka

    "Wala sina wasiwasi na yaliyomtokea Mume wangu na kwa msichokijua Mimi nilijua mapema kabla yenu na nikazungumza nae na kumalizana nae na sasa tunaendelea na Maisha pamoja na Mapenzi yetu huku tukiwashangaa tu mnaoshadadia na kuzungumzia Kutwa hili jambo. Nampenda mno Mume wangu Mwijaku hata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…