mkapa

Benjamin William Mkapa (12 November 1938 – 24 July 2020) was a Tanzanian politician who served as the third President of Tanzania. He was in office for one decade from 1995 to 2005. He was Chairman of the Revolutionary State Political Party (Chama Cha Mapinduzi, CCM).

View More On Wikipedia.org
  1. Uwanja wa Mkapa uandaliwe mapema,fainali isifanyike nje ya kwa Mkapa.

    Kusije kuwa tena na visingizio tarehe ikifika na kulazimika kuipeleka mechi kwingine.Maandalizi na marekebisho yafanyike sasa na ikiwezekana uwanja ufunikwe kwa turubai hizi mvua zisiuharibu na kusiruhusiwe shughuli yoyote ile mpaka siku Berkane waje kukutana na kiama chao mbele ya Watanzania...
  2. VIDEO: Ufungaji wa Viti vipya 62,000 Uwanja wa Mkapa unaendelea, vitakuwa na muonekano wa bendera ya Tanzania

    Zoezi la ufungaji wa viti vipya 62,000 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa linaendelea, ambapo viti hivyo vitakuwa na muonekano wa bendera ya Taifa la Tanzania ambazo ni rangi za Njano, Nyeusi, Bluu na Kijani. Hatua hiyo ni sehemu ya maboresho makubwa yanayotekelezwa kwa lengo la kuboresha...
  3. A

    Tupazeni sauti zetu ukarabati hewa uwanja wa Mkapa

    Salamu kwenu wadau wa mpira. Imethibitika rasmi Simba sc atalazimika kutumia uwanja wa Aman Zanzibar kwenye mchezo wake wa mguu wa kwanza. Oneni sasa nchi inaenda kuwa homeless kwenye michezo kwa vilabu vyake bila sababu za msingi kabisa. Hela zimeidhinishwa, zikatoka, watu wamekula...bilion...
  4. Serikali ihakikishe mechi zote za Simba za kimataifa zinachezwa uwanja wa Mkapa

    Wasalaam, Hongera kwa jamii yote ya wapenda maendeleo ya mpira nchini kwa mafanikio ya Simba SC kutinga nusu fainali ya CAFCC 2024-25. Bila kusema mengi, baada ya mechi ya marudiano ya Simba vs Al Masry, serikali ilitoa tamko kuwa uwanja unafungwa kwa matengenezo na kwamba Simba itafute uwanja...
  5. Uwanja wa Benjamin Mkapa wafungwa kwa muda kupisha marekebisho ya Pitch

    Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo inatangaza kuufunga uwanja wa Benjamin Mkapa kwa muda kuanzia leo tarehe 9 Aprili 2025 ili kupisha marekebisho ya eneo la kuchezea (Pitch) lililopata athari kubwa kufuatia mvua zilizonyesha na kufuatiwa na mchezo wa Robo Fainali wa Kombe la...
  6. Hii pitch ya Uwanja wa Benjamin Mkapa ndio itatumika kwa michuano ya CAF 2027? Imejaa matope

    Mechi za CAF zitakuwa za mfululizo, lakini naangalia mechi ya Simba na mwarabu, uwanja una vipande vya matope
  7. CAF walikuwa sahihi, uwanja wa Benjamin Mkapa hauna sifa za kuhodhi mechi za CAF

    Watanzania tumeshazoea siasa kwenye mambo yetu kwahiyo hata inapokuja mambo ya msingi tunataka weka siasa. Huu uwanja wa taifa ni kweli hauna sifa kutumika kwenye mechi kubwa kwa hali uliyonayo. Kwenye hii mechi ya Simba na Masry ukweli kila mmoja anajionea. Uhalisia wa pitch ni tofauti...
  8. VIDEO: Wazee wa Simba watua kwa Mkapa, hatumtaki meneja wa uwanja

    Wazee wa SIMBA hawamtaki MENEJA wa UWANJA wa MKAPA wanataka AONDOKE wanaogopa kuhujumiwa.
  9. Ahmed Ally: Temesharuka vigingi vikubwa, Al Masry atakuwa ni Mwarabu wa mfano kumchakaza kwa Mkapa

    Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally amesema kuwa Simba ni miongoni mwa timu zinazotoa vipigo vikubwa barani Afrika huku akisisitiza kuwa tayari wamewahi kuwadhalilisha wapinzani wengi, ikiwa ni pamoja na Horoya AC. Hata hivyo, anasema hawajawahi kufanya hivyo kwa timu kutoka...
  10. Hotuba za mwisho wa mwezi za Rais Mkapa

    1. Mheshimiwa Rais Mkapa aliweka utaratibu wa kuhutubia/kugombeza Taifa kila mwisho wa mwezi. 2. JK akajaribu hakufanikiwa. 3 (a) Shujaa ndo vile tena!. (b) Ni utaratibu mzuri kuelezea masuala ya Kitaifa kuliko kusubiria matukio ya msimu.
  11. Watanzania Wengi ni Wavivu – Kauli ya Mtume Boniphace Mwamposa na Rais Mstaafu Mkapa Zinagusa Ukweli Mchungu?

    Mtume Boniphace Mwamposa ametamka: “Watanzania wengi ni wavivu ” Watu wakakasirika, wengine wakabaki kimya. Lakini hii si mara ya kwanza kauli hii kusemwa na mtu maarufu kama Mtume Mwamposa. Mwaka 2011, Rais mstaafu Benjamin Mkapa aliwahi kusema waziwazi kuwa “Watanzania tumejaa visingizio...
  12. Mashabiki wa Yanga wakusanyika kusubiri hatma ya Kikao nje ya uwanja wa Benjamin Mkapa, wagoma kucheza Kariakoo Derby

    Baadhi ya mashabiki na wanachama wa Yanga SC wamekusanyika nje ya Uwanja wa Benjamin Mkapa wakisubiri maamuzi ya kikao kati ya viongozi wao na mamlaka za mpira kuhusu hatma ya mechi ya Kariakoo Derby, ambayo iliahirishwa Machi 8. Mashabiki hao wameendelea kusisitiza msimamo wao kuwa...
  13. D

    Siku ya kumbukumbu ya kifo cha Mkapa ni lini? Mana huyu kwangu ndo alikuwa rais bora na siyo huyu

    Mkapa alianzisha vitu vingi kama 1. TRA .2. NSSF 3. Bodi ya mikopo Nk
  14. Kwahiyo serikali imeshindwa kulinda uwanja wake wa Mkapa Hadi wakodi makomandoo wa Yanga

    Hi nchi Ina vituko sana Uwanja ni mali ya serikali alafu maamuzi ya ulinzi yanayohusu uwanja yanatolewa na makomandoo wa Yanga Ilitakiwa Simba walipofika uwanjani wakutane na walinzi wa uwanja waliowekwa na mmiliki wa uwanja wa Mkapa ambaye ni serikali ndio wawambie hichi mnaruhusiwa kuingia...
  15. Msigwa Atoa Ufafanuzi Taarifa ya CAF Kuufungia Uwanja wa Mkapa, Kuhusu Derby Asema Waulizeni TFF

    Msemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa ametoa Ufafanuzi Taarifa ya CAF Kuufungia Uwanja wa Mkapa, Kuhusu Derby Asema Waulizeni TFF ambapo amesema ukaguzi ulipokuwa ukifanyika nyasi zilikuwa zimekatwa mpaka chini hivyo kupelekea kuchimbika baada ya mechi ya Simba SC dhidi ya Azam FC. Hata hivyo...
  16. Shirikisho la Soka Afrika CAF limeufungia Uwanja wa Benjamin Mkapa

    Inasemekana Shirikisho la Soka Afrika CAF limeufungia uwanja wa Benjamin Mkapa kwa muda kutokana na ubovu wa eneo la kuchezea (pitch). Ripoti inaonyesha pitch mbovu na inazidi kuzorota. Wameitaka TFF kuchagua kiwanja kingine kwajili ya Robo fainali ya Shirikisho ya Simba hapo tarehe 9 April Huu...
  17. Video: Hali ilivyo uwanja wa Mkapa kuelekea mechi ya Yanga na Simba, mashabiki wanasuasua kuingia uwanjani

    Hali ilivyo nje ya Uwanja wa Benjamin Mkapa kabla ya mchezo wa Yanga na Simba ni tofauti na matarajio ama ilivyo zoeleka. Pia soma: Breaking News: Bodi ya Ligi yahairisha Mechi ya Derby
  18. Kuna yeyote aliyeona mabadiliko yoyote katika uwanja wa Mkapa?

    Baada ya kutazama mchezo wa Azam hapo jana, Binafsi sijaona mabadiliko ya maana katika uwanja wa Mkapa licha ya mabilioni yaliyomwagwa, kufungiwa kutumika mara kwa mara na muda mrefu kupita tangu ukarabati huo uanze. Pitch bado haina mvuto kama ilivyo kwa viwanja vingine vikubwa, LED Display za...
  19. Wana Simba SC wenzangu nawaomba sana tujiandae 'Kisaikolojia' kwa Mchezo wa Leo dhidi ya Azam FC kwa Mkapa

    Tukishinda huu Mchezo jueni kwa 100% kwa Msimu huu Simba SC tunaenda kuwa Mabingwa kwani Mchezo dhidi ya Yanga SC tarehe 8 Mwezi ujao tuna 75% za Ushindi na 25% za kutoka nao Sare. Hivyo basi kwa wale Wanaosali nawaomba Wasali sana leo na wale Wanaoroga pia Waroge mno leo Simba SC yetu iweze...
  20. Mzizima Derby (Simba, Azam) yahamishwa uwanja, kupigwa Benjamin Mkapa

    Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imebadili uwanja na muda wa kuanza kwa mchezo namba 167 wa Ligi Kuu ya NBC baina ya Simba na Azam ambao ulipangwa kufanyika kwenye Uwanja wa KMC Complex, Februari 24,2025 kuanzia saa 10:00 ambapo sasa utafanyika katika Uwanja wa Benjamin Mkapa siku hiyohiyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…