Benjamin William Mkapa (12 November 1938 – 24 July 2020) was a Tanzanian politician who served as the third President of Tanzania. He was in office for one decade from 1995 to 2005. He was Chairman of the Revolutionary State Political Party (Chama Cha Mapinduzi, CCM).
Mimi nipo pamoja na CAF kuhusu kuuhamisha Mchezo wa Fanali kwenda Zanzibar.
Kipindi hiki Cha Mvua uwanja wa Mkapa ukitumika dakika 10 tu za mwanzo, unakua sawa na Uwanja wa Sokoine huko Mbeya.
CAF wamewakubalia Simba ombi lao na Sasa Finali itapigwa Kwa Mkapa tarehe 25 May, 2025
JamiiCheck imefuatilia Taarifa hii na kubaini kuwa si ya Kweli. Soma hapa
Kama CAF
Wamesimama MSIMAMO WAOO
NASHAURI YANGA msikubali kuchezea kwa mkapa final ya crdb
Huo UWANJA HAUKO salama kwa mechi kabisa
Yaani wamehangaika gafla KUREKEBISHA kisa final
Huko nyuma walikuwa wapi na kama walikuwa na uwezo WA KUREKEBISHA mapema kwa nn wasubiri CAF ichague AMAN ndio...
Nahis hamkumuelewa Msemaji Ahmed Ally...simba leo wanapima upepo wakila goli 3 kwenda Juu watakua willingly kucheza Aman ila ikitokea ni goli Moja au Mbili kafungwa watalazimisha hata serikali iingilie kati Match ichezwe Kwa Mkapa.
After game nitakuja kuwaeleza kwa undani ndio muelewe why hata...
Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kuwa mechi ya pili ya fainali ya Simba vs Berkane itachezwa Zanzibar.
Ndiyo, kuna uzembe mkubwa umefanyika katika ukarabati wa uwanja wa Mkapa na wachache tumekuwa tunapigia kelele hili suala kwa muda mrefu.
Ndiyo, kuna watu tulio nao hapo hapo Tanzania wana...
Simba imefanikiwa kuzima njama za kuhamishia Amani mchezo wa fainali badala ya Kwa Mkapa.
CAF imerudisha mechi hiyo Kwa Mkapa. Sasa fainali itapigwa 25 -5- 2025 kwa Mkapa.
Clecentius Magoli apewe Maua yake Kwa kujibu kwa nguvu njama hizo na hatimae uongozi wa CAF kuogopa na kuurudisha mchezo...
Naona kama masuala ya uwanja huu yako restricted kwa free media tour. Nashauri Msigwa awaache waandishi wa habari wapite kila kona ikiwamo vyooni, vyumba vya kubadilishia nguo, VIP, waangalie viti, namba za viti, quiality, ticketing system na kila kitu wakiwa huru na wataalamu wa uwanja tu...
Hizi stori ziko mtaani,kuwa injinia aliyepewaga kazi ya kusimamia uwanja wa mkapa alinyongwa,
Ni baada yakupiga hela fulani kwa kuchakachua BOQ.
Ndumbaro na Mwana FA na katibu mkuu wake wangekuwa China wasingeliona jua la kesho
Kumekuwa na taharuki kuwa mchezo wa awamu ya pili utapigwa Zanzibar lakini sisi kama taifa tunaweza kufanya hivi ili hii Ngoma ipigwe kwa mkapa
kwamba eneo la uwanja wa Amani, hasa sehemu ya pitch, lifanyiwe marekebisho ya muda ili lisiwe tayari kwa matumizi.
Hii itatupa fursa ya kucheza...
Watu wake wanatekwa mchana kweupe, she doesn't care.
Wananchi wanauawa waziwazi, anasema, KIfo ni Kifo tu, hata vyenye utata?
Katiba iliyomuwena madarakani anaita, KATIBA ni KIJITABU tu.
Baada tu ya Magufuli kufariki March, Julai ukamshtaki Mbowe kwa Ugaidi, leo Lissu yupo ndani umemshtaki...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi amemtangaza rasmi Bw. Rashid Mijuza kuwa Kaimu Meneja wa Uwanja wa Benjamin Mkapa baada ya kumhamisha na kumpeleka Makao Makuu ya Wizara hiyo aliyekuwa Meneja wa Uwanja huo Bw. Malinde Mahona ambaye atakuwa msimamizi wa...
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) amesisitiza kuwa Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba SC na RS Berkane itachezwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, Mei 27, 2024 kwa kuwa Serikali imefanya jitihada mbalimbali za...
Kusije kuwa tena na visingizio tarehe ikifika na kulazimika kuipeleka mechi kwingine.Maandalizi na marekebisho yafanyike sasa na ikiwezekana uwanja ufunikwe kwa turubai hizi mvua zisiuharibu na kusiruhusiwe shughuli yoyote ile mpaka siku Berkane waje kukutana na kiama chao mbele ya Watanzania...
Zoezi la ufungaji wa viti vipya 62,000 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa linaendelea, ambapo viti hivyo vitakuwa na muonekano wa bendera ya Taifa la Tanzania ambazo ni rangi za Njano, Nyeusi, Bluu na Kijani.
Hatua hiyo ni sehemu ya maboresho makubwa yanayotekelezwa kwa lengo la kuboresha...
Salamu kwenu wadau wa mpira.
Imethibitika rasmi Simba sc atalazimika kutumia uwanja wa Aman Zanzibar kwenye mchezo wake wa mguu wa kwanza.
Oneni sasa nchi inaenda kuwa homeless kwenye michezo kwa vilabu vyake bila sababu za msingi kabisa.
Hela zimeidhinishwa, zikatoka, watu wamekula...bilion...
Wasalaam,
Hongera kwa jamii yote ya wapenda maendeleo ya mpira nchini kwa mafanikio ya Simba SC kutinga nusu fainali ya CAFCC 2024-25.
Bila kusema mengi, baada ya mechi ya marudiano ya Simba vs Al Masry, serikali ilitoa tamko kuwa uwanja unafungwa kwa matengenezo na kwamba Simba itafute uwanja...
Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo inatangaza kuufunga uwanja wa Benjamin Mkapa kwa muda kuanzia leo tarehe 9 Aprili 2025 ili kupisha marekebisho ya eneo la kuchezea (Pitch) lililopata athari kubwa kufuatia mvua zilizonyesha na kufuatiwa na mchezo wa Robo Fainali wa Kombe la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.