mkandarasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Kanye West atakiwa kumlipa mkandarasi wake wa zamani Tsh milioni 365.4 kwa kesi ya jumba la Malibu

    Jopo la majaji huko Los Angeles limemuamuru rapa wa Marekani Kanye West kumlipa dola 140,000 (takriban Tsh. 365.4 Milioni) fundi wa kazi za mikono aliyemshtaki kwa kutolipwa malipo ya kazi wakati wa ukarabati wa jumba lake la kifahari huko Malibu. Fundi huyo, Tony Saxon, alimshutumu rapa huyo...
  2. M

    Mwigulu: Mkandarasi aliyepewa mradi wa umwagiliaji Karatu na hajatekeleza, anyang'anywe pasipoti na ashikiliwe mpaka atapike pesa zetu

    Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba ameyasema hayo wakati akiwa Karatu
  3. Roving Journalist

    TANESCO: Tuliona tunasumbuana na Mkandarasi wa Mradi wa Imalilo tumeamua kuuendeleza na Wataalam wa ndani

    Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Lazaro Twange, amefanya ziara ya ukaguzi wa miradi ya umeme inayotekelezwa Mkoani Simiyu kwa lengo la kujionea maendeleo ya utekelezaji wa miradi hiyo na kuhakikisha inakamilika kwa wakati. Miradi iliyokaguliwa ni pamoja na ujenzi wa Kituo cha Kupokea na...
  4. Mookiesbad98

    Mkandarasi Kings Ltd tengeneza njia mbadala unapojenga barabara

    Hili ni kumbusho kwamba Kings umeshinda tenda zote za ujenzi hapa dsm onesha uwezo wako kwa ujenzi wa barabara kuwa wa viwango na uishe kwa wakati kwani umezua taharuki kubwa hasa maeneo ya kilongawima mpaka mbezi jangwani beach. Ni takwa la. Kisheria na kitendaji unapochepusha barabara basi...
  5. A

    Tumwambie Mwigulu, anapodai mikataba imwelekeza mwekezaji na mkandarasi jambazi atumieje hela yake, hiyo ni nonsense na wazimu

    Huyu ni PhD wa wapi huyuuuuu??? Mikataba iseme hawawezi kutumia hela yao kulipa madeni yao nje ya nchi. Badala ya vipengele vya kimkataba vya kudhibiti usipigwe, unataka kumpangia afanyeje na hela yake na kishakupiga. Huyu knucklehead ni mkenge mkubwa tumeingia. Umeuza rasilimali ya nchi au...
  6. Mad Max

    KERO Mkandarasi aliyepewa Barabara ya Ubungo - Kimara Mwisho hawezi ile kazi!

    Kwa mtumiaji yeyote wa barabara ya Morogoro Rd, atakubali Ubungo Mataa - Kimara ni sehemu fupi ila ya kero sana kwenye foleni. Sasa huyu mkandarasi yeye amechimbua chimbua kila sehemu halafu ameacha na magari ametoa, inapelekea foleni moja kubwa sana. Mfano, pale Kimara Mwisho pana foleni kali...
  7. baz kaiza

    Hii ya Mwigulu Nchemba inaweza kua propaganda Mkandarasi toka 2018 Tumepigwa ionekane Serikali ipo kazini

    Hii ya Mwigulu vs Mkandarasi inaweza kua propaganda kali sana kwamba mkandarasi toka 2018 hii ni propaganda kabisa
  8. M Hacker

    Barabara ya kimara hadi ubungo ina miaka mingapi.? Mkandarasi aaanze kazi

    Barabara ya kimara - ubungo mwanzo walikuwa wanapiga kazi hadi usiku ukipita unaona mataa watanzania tukasema hapa kazi tu kweli pilika pilika fasta fasta ila miaka nenda rudi huu mwaka ni watatu Barabara bado haijakamilika ..........? Nini kifanyike tuweze kwenda kasi katika mambo ya ujenzi
  9. Ndagullachrles

    Mkandarasi huko Moshi ameingia mitini na Milioni 51 za askofu Shoo wa T.A.G

    Mkandarasi wa Kampuni moja ya ujenzi mjini moshi(jina kapuni kwa sasa)anadaiwa kuingia mitini na shilingi Milioni 51 alizopewa na Askafu Mstaafu wa Kanisa la Tanzania Asseblies of God(T,A.G).Glorious Shoo. Mkandarasi huyo aliingia mkataba na kupewa kiasi hicho cha pesa kama malipo ya awali kwa...
  10. sayoo

    KERO Mkandarasi hamwagi maji kwenye kipande cha Barabara kinachoelekea Buguruni Kwa Mnyamani, vumbi linatusumbua

    Habari za muda huu Naomba nitoe taarifa kwaa mamlaka husika waweze kutusaidia raia na Wafanyabiashara wa Buguruni , hususani wa kipande kinachoelekea Buguruni Kwa Mnyamani kuanzia Mataa, maana vumbi linatuathiri sana. Kutokana na ujenzi unaondelea wa Barabara mkandarasi anamwaga maji upande wa...
  11. W

    Mkandarasi feki azimia baada ya kubanwa na Waziri Aweso

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, amewaonya Wakandarasi wanaochekelewesha ameonesha Miradi ya Maendeleo na kuonyesha kutoridhishwa na kasi ya utekelezaji wa Mradi wa Maji wa Miji 28 unaotekelezwa katika Wilaya za Wanging’ombe na Makambako, Mkoani Njombe. Akizungumza katika ziara yake ya kikazi...
  12. Roving Journalist

    Responded NIDA: Kitambulisho kikifutika kilete Mkandarasi atakichapisha upya bila malipo

    Mwanachama wa JamiiForums.com aliandika "Ningependa kutoa kero yangu kuhusu hali ya Vitambulisho vya Taifa vinavyotolewa na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kufutika kwa haraka mno, na hii ni kwa vitambulisho vinavyotolewa kipindi hiki vinapoteza maandishi kwa muda mfupi tangu vitolewe...
  13. Nipe Maji

    Aweso aagiza mkandarasi kuongeza kasi ya utekelezaji miji 28 Mafinga

    Waziri wa Maji Jumaa Aweso (Mb) amemtaka mkandarasi wa mradi wa maji wa miji 28 wilayani Mafinga kampuni ya Jandu Plambers LTD kuongeza kasi ya utekelezaji wa mradi ili kufanikisha hitaji la huduma ya majisafi kwa wakazi wa Mafinga kwa wakati. Mradi huo katika mji wa Mafinga ni sehemu ya mradi...
  14. A

    KERO Mkandarasi wa Daraja la Mkuyuni anashindwa kumwaga maji, vumbi linatutesa sana

    Hivi huyu mkandarasi anayejenga Daraja la Mkuyuni hapa Mwanza anakuwa na shida gani ya kutomwaga maji kwenye barabara ya muda. Unakuta inaweza kuchukua mpaka siku mbili Watu tunateseka na vumbi hii, kwanza watumiaji wa vyombo ni hatari kwao kwa kuwa vumbi likiwa jingi ni vigumu kuona...
  15. Nipe Maji

    GE2025 Mchengerwa: Mkandarasi akishindwa kutekeleza awamu ya kwanza Ifikapo mwezi wa 10 Barabara ya Banana-Kitunda-Kivule-Msongola Ipitike, achukuliwe hatua

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais- TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amemtaka Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na mamlaka zilizo chini yake kumsimamia kwa ukamilifu mkandarasi anayetekeleza ujenzi wa Barabara ya Banana-Kitunda-Kivule-Msongola kwa kiwango cha lami na kuchukua hatua za kisheria ikiwemo kuvunja...
  16. Nipe Maji

    Mkandarasi ahidi kukamilisha kwa wakati ujenzi wa ofisi mpya ya mkuu wa mkoa Kagera

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, imeanza utekelezaji wa mradi mkubwa wa ujenzi wa ofisi mpya ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera kwa gharama ya jumla ya shilingi bilioni 9, ambapo awamu ya kwanza imepokea shilingi bilioni 4.6. Ujenzi huo...
  17. Just Pray

    PreGE2025 RC Homera amuagiza DC Mbarali kumsweka ndani mkandarasi endapo hatakamilisha mradi mpaka Juni 30, 2025

    Wakuu Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Dkt. Juma Zuberi Homera amemwagiza Mkuu wa Wilaya ya Mbarali kumweka Ndani Saa 48 Mkandarasi anayejenga daraja la Mto Ruaha mkabala na Itipingi-Mkandami endapo atashindwa kukamilisha Mradi huo mpaka ifikapo June 30,2025 Ameyasema hayo Leo akiwa Wilayani Mbarali...
  18. Stephano Mgendanyi

    Ulega Ambana Mkandarasi Barabara Kuelekea Makao Makuu ya Jeshi (JWTZ)

    ULEGA AMBANA MKANDARASI BARABARA KUELEKEA MAKAO MAKUU YA JESHI (JWTZ). Amtaka akabidhi barabara ifikapo Disemba mwaka huu Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amemtaka Mkandarasi Kampuni ya CHICO kukamilisha ujenzi wa barabara ya Kikombo – Chololo - Mapinduzi (Makao Makuu ya Jeshi la Ulinzi la...
  19. Roving Journalist

    PreGE2025 Ulega ambana Mkandarasi barabara kuelekea Makao Makuu ya Jeshi (JWTZ), amtaka akabidhi barabara Disemba 2025

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amemtaka Mkandarasi Kampuni ya CHICO kukamilisha ujenzi wa barabara ya Kikombo – Chololo - Mapinduzi (Makao Makuu ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi-TPDF) yenye urefu wa kilometa 16.4 kwa kiwango cha lami ifikapo mwezi Disemba, 2025. Ulega ametoa maelekezo hayo...
  20. Nipe Maji

    PreGE2025 Waziri Ulega: Hatutaongeza muda kwa mkandarasi atakaechelewesha mradi

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ameeleza msimamo wa Serikali wa kutomwongezea muda mkandarasi atakaechelewesha kukamilisha mradi. Waziri Ulega ameyasema hayo leo tarehe 26 Mei 2025 alipokuwa akikagua ujenzi wa barabara ya Mitesa-Masasi (km 60) yenye thamani ya Shilingi Bilioni 92 na...
Back
Top Bottom