mkakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Mkakati wadaiwa kupangwa kuwashambulia Shabiby, Kangi Lugola

    KUNA mkakati wa siri unaodaiwa kupangwa na vigogo walioguswa na hoja ya ufisadi bungeni ili kumshambulia mbunge wa Gairo, Ahammed Shabiby na Kangi Lugola wa Mwibala, wote kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM). Mkakati huo umefichuka siku moja baada ya Mkurugenzi wa taasisi ya Kuzuia na Kupambana na...
  2. Roving Journalist

    Rais Samia akizindua Mpango Mkakati wa KKK kwa Watoto wa Awali, Darasa la I na II

    https://www.youtube.com/live/6AuU7vpGdDs
  3. R

    Hii video ya jamaa anatishia polisi,ni mkakati mpya wa destabilization ya serikali ya awamu hii!!?

    Vuta picha maiti za polisi wameuawa barabarani au kambini mwao ziki trend Kwa mitandao zikifuatiwa na matamko kama hayo ya black mask huko mtandaoni! Hali itakuaje Kwa viongozi wetu ambao wamekua wakiwatumia polisi kama shielding ya matamko na power walizobeba kimamlaka dhidi ya wananchi...
  4. B

    Maadili kama mkakati wa siasa Zanzibar

    Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar: Maadili kama Mkakati wa Kisiasa Katika historia ya siasa za Zanzibar, Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) imekuwa ikitangazwa kama suluhisho la migogoro ya kisiasa na njia ya kudumisha amani. Hata hivyo, uzoefu halisi wa Wazanzibari unaonyesha kuwa mara...
  5. L

    Mabadiliko ya Kimya katika Sera ya Marekani kwa Afrika: misaada kama chombo cha kuhudumia mkakati wa taifa

    Katika mwaka mmoja uliopita tangu Donald Trump kurejea Ikulu ya White House, sera ya Marekani kwa Afrika imeanza kubadilika kimya kimya. Barua ya ndani ya mkuu wa Idara inayoshughulikia mambo ya Afrika katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani Nick Checker, iliyovuja hivi karibuni, ilifichua...
  6. Parabolic

    Mkakati wa kumrejesha Mbowe CHADEMA mlango wa nyuma wasukwa

    Kimya kingi kina mshindo mkuu, Waswahili wanasema. Hivyo ndivyo mikakati inavyopangwa kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kurejeshwa kwenye chama hicho kwa mlango wa nyuma kwa ajenda ya maridhiano. Hii inakuja kufuatia juhudi zakumshawishi Mwenyekiti wa sasa wa chama hicho, Tundu...
  7. Idugunde

    Kwa hiyo wanapanga kuifuta CHADEMA ya Lissu ili waendeleze ufisadi, utekaji na mauaji?

    Kwamba kuna mkakati wa kuifutia usajili Chadema ya Lissu. Kisa tu Lissu amekataa kuhongwa na kuwa kibaraka wa CCM. Kisa tu CHADEMA inakataa na kupinga utekaji, ufisadi na mauaji ya watu wasio na hatia?
  8. R

    PostGE2025 Kiliba: Moja ya mkakati wa wanaharakati ilikuwa kutugawa kidini

    Wakrislam tumefikiwa 😂 😂 😂 ---------------- "Ni nani amabye hajui kwamba moja wapo ya mikakati ya wanaharakati kwa ajili ya kutekeleza mambo yao ilikuwa kutugawa kupitia dini?. Kutugawa tuchukiane kwa sababu ya tofauti ya itikadi zetu za vyama vya siasa." - Amesema Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi...
  9. THE BIG SHOW

    Hongera sana serikali kwa kuanzisha mkakati wa kuwasaka vinara wa machafuko

    Friends and Our Enemies... La mgambo limeliaaa,La mgambo limeliaa.. Serikali sasa imetangaza msako,dhidi ya wale wezi,walanguzi,wahaini na wanaohujumu miundombinu ya taifaa... Lilikuwa ni suala la muda tuh kabla ya mkono wa sheria kuwafikia hawa vibaka na wahamasishaji wao wa fujo na wizi kwa...
  10. Sales man

    GE2025 Zimebaki siku 08, ila “tunatoka” hawana mkakati wowote

    Tunatoka siwaoni wakitoa mikakati yoyote hasa ktk jiji la kibiashara DSM
  11. fexcash

    GE2025 Mpango mkakati maalumu siku ya Oktoba 29, 2025

    Vijana wenzangu siku ya tarehe 29 October ni siku yetu ya kuikomboa Tanzania na kujenga Tanzania mpya. Sasa basi tusipelekeshwe na wanasiasa maana hawa ndio vigeugeu wakutuchomesha maana wengi ni double agents. Najua wapo vijana wengi wasomi wenye uwezo wakutengeneza forum za siri ambazo...
  12. Nipe Maji

    GE2025 CHAUMMA: Tutakuja na mkakati wa kilimo cha umwagiliaji

    Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Bibi. Devotha Minja, ameanza ziara yake mkoani Tabora ya kuomba kura za wananchi kukipa ridhaa chama hicho kuongoza Tanzania huku akikiahidi wakiingia madarakani kukibadili kilimo hapa nchini, kuwa cha umwagiliaji kuachana na...
  13. Dennis Robert Shughuru

    Nikiwa Rais, nitatenga maeneo watu watakuwa wanaongea chochote kile wanachojisikia kama mkakati wa kuhakikisha freedom of expression ni kubwa

    Mimi katika mambo ambayo siyapendi ni kutumia nguvu kubwa kumziba mdomo mwingine asiongee jambo nisilolipenda, bata huku jamiiforums napenda wale wanaokosoa na kamwe siwezi waweka kwenye ignore list Mimi ni mtu ambaye niko comfortable kwa wale wanaonikataa, na kunipinga sababu naamini wanahaki...
  14. J

    GE2025 "NO REFORM NO ELECTION"Mkakati uliokosea Timing

    Huwezi kupambana na kuleta mabadiliko makubwa ya kikatiba kwa Nchi ambayo imeongozwa na chama kimoja kwa zaidi ya miongo mitano kwa harakati za barabarani (maandamano & mikutano ya hadhara) na vikao vya majadiliano tu bila nguvu ya bunge, ni ngumu sana. Ili kulainisha mabadiliko haya lazima uwe...
  15. S.M.P2503

    CHADEMA, mkakati wa kisheria na kisiasa kwa ajili ya uchaguzi ujao 2025

    Kwa kuzingatia Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 (kama ilivyorekebishwa), haki za kisiasa na za kijamii zimewekwa wazi, ikiwa ni pamoja na uhuru wa vyama vya siasa kushiriki katika shughuli za kisiasa kwa mujibu wa Ibara ya 20(1) inayosema: “Kila mtu anao uhuru wa kuungana...
  16. Upekuzi101

    Baada ya machawa kupigwa chini kwenye mchakato, CCM waja na mkakati wa kuwapitisha tena ndiyo maana wakataka majina mengi yaende juu

    Baada ya wajumbe huku chini kideal vizuri na wale waliokuwa machawa, wazembe na waliongia kwenye nafasi za uongozi kwa kubebwa, CCM imeona haiweziishi bila machawa wameona waje na mpango mwingine wa kuhakikisha wanawapitisha huko juu Ili kudharaulisha na kupuuza maamuzi ya wajumbe kwaiyo...
  17. K

    Sioni dalili au mkakati wa Simba kumfunga Yanga,tutegemee vipigo zaidi

    Kwa yanayoendele tutakuwa wanyonge kwa miaka mingine zaidi kama tutaendelea kumkumbatia Dewji
  18. Stephano Mgendanyi

    Waziri Mavunde: Serikali Inakuja na Mkakati wa Kuwawezesha Wazalishaji Chumvi Nchini

    Katika kuwajengea uwezo wazalishaji wa chimvi nchini,Serikali imekuja na mikakati mbalimbali kufikia azma hiyo ikiwemo upunguzaji wa ada ya pango kwa mwaka ya leseni (Annual Rent) za uchimbaji mdogo wa chumvi nchini ili kusaidia kupunguza gharama za uzalishaji na kuchochea uzalishaji wa wingi wa...
  19. D

    Tetesi: Kumbe walikaa kikao rasmi kumfungia Gwajima; Wana ufufuo wenzagu jumapili ijayo tukutane kwa wingi kwa maombi

    Kanisa la Mungu lipo mioyoni mwetu! Sisi tunamwabudu Mungu wetu wala hatujaua Mtu wala hatujaiba cha mtu wala hatujateka mtu. Jumapili ijayo chonde chonde makanisa yote ya ufufuo na uzima kila wilaya tukutane kwa maombi ya mkakati na nguvu zaidi kama majeshi ya bwana!! Wanakaribia kutema bungo!
  20. kagoshima

    No reforms no election ni mkakati wa kurudisha mamlaka, maamuzi, heshima kwa wananchi

    1. Wananchi ndio waamue kiongozi wanaye mtaka, tofauti na sasa ambapo kura ya raia haina thamani 2. Wananchi ndio wawe sauti ya mwisho kwenye maamuzi 3. Lipatikane bunge lan wananchi litakalo isimamia serkalo na siyo bunge serikali 4. Chaguzi zetu ziwe na mashiko na sio za bora lipite...
Back
Top Bottom