mjini

Mjini is a settlement in Kenya's Central Province.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Natafuta Chumba cha Kupanga Kigoma Mjini

    Habari, Natafuta chumba cha kupanga Kigoma mjini isiwe Ujiji wala uswahilini. Nitapendelea maeneo kama Kilimahewa,mjimwema,nazareth,maweni na viunga karibu na hivyo Chumba self cha nje napendelea zaidi Nyumba iwe ya kisasa (Presentable) Maji umeme na huduma zingine za muhimu usalama fence
  2. JamiiForums Tanzania Mkifika mjini mkumbuke mlikotoka

  3. JamiiForums Tanzania Watu ambao asili yenu ni mjini, hamkujui kijjini kwenu, mnalichukuliaje hili swala?

    Tanzania tuna makabila zaidi ya 120 na yote yana asili yake yalipotoka na mkataa kwao ni mtumwa. Kumekuwa na ongezeko la watu siku hizi ambao wanazaliwa mjini na vijijini kwao hawakujui kabisa, mtu unaweza kumuuliza wewe ni mhaya, mnyakyusa, n.k wa wapi, anakwambia yeye ni mngoni, msukuma, n.k...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya Dodoma atangaza kuondoa makazi ya watu zaidi ya elfu 10 kata ya Kizota

    Kumetokea na sintofahamu baada ya ya hati JPM kuaga dunia, Mkuu wa Wilaya ya Dodoma ametangaza kuondoa makazi ya watu zaidi ya elfu 10 kata ya Kizota na bila kujali hawanchi wataenda wapi wala kuishi wapi bali wanajali kupata pesa. Wananchi wameuliza sababu za kubomoa makazi.
  5. JamiiForums Tanzania Picha ilipigwa mwaka 1950 mjini Karachi, traffic police akiongoza magari

  6. JamiiForums Tanzania Kweli mjini hakuna cha bure kujisaidia 500

    Hii kauli nilikuwa naisikia tu mjini hakuna cha bure leo ndio nimeona.kujisaidia 500 kweli kweli.mavyoo yenyewe machafu hii hela inapelekwa wapi
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania ya enzi hizo katika picha

    Hapa Ni Tanzania Elimu Supply(TES) Enzi Hizo 1947 Mabasi ya Ekarusi Kumbakumba kwa nyuma Azania Front Tanganyika Parkers Enzi Hizo 60s Salender Bridge 1960s Dar-Es-Salaaam 1975 Hiyooooo!!! Seaview-Mawingu House 1960 Arusha-Clock Tower 1966 Dodoma City Center 1974 Bukoba City...
  8. JamiiForums Tanzania Watoto wa Mjini na Mishe za kushangaza Town. Jifunze kitu...

    Mchizi wangu Mmoja alikua kachoka sana, nimekuja kumcheki yuko poa sana ana mzigo kweli kweli nikambana akaniambia bro..nauza sex Toys kumbe ni bonge la deal akaniambia wateja wengi ni wake za watu na wadada, bei hata hawabargain unamkuta kwenye foleni anaenda job anadrive..chini kaeka vibrator...
  9. JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Kibaha Mjini Maili Moja kwa mkuu wa Mkoa

    Nyumba inauzwa kibaha mailimoja karibu na kwa mkuu wa mkoa nyumba ina hati ina ukubwa wa eneo la 400 sqmtrs (20×20) bei 35,000,000/= (milioni 35) mazungumzo yapo haina udalali mimi ndio mmiliki kwa mawasiliano 0765882717
  10. JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata eneo zuri la biashara ya uwakala wa benki Iringa Mjini

    Habari zenu wakuu, msaada wa eneo zuri kwa ajili ya kufanya biashara ya uwakala wa benki kwa hapa Iringa Mjini. Kama wanaoufahamu mji vizuri ni wapi naweza pata eneo na pakavutia hii biashara. Asante. PM iko wazi pia!!
  11. JamiiForums Tanzania Sasa haka kamvua kidogo hapa Arusha mjini kasihusishwe na ujio maana hamkawii

    Juzi nilikutana na uzi unaohusisha uwepo wa Kiongozi mahali na kunyesha kwa kamvua....hivyo nina wasiwasi hawa jamaa watakuja na hilo hili kuhusu Arusha. Tuwasikilize Mamlaka hali ya hewa wanasemaje.. Mama Kijazi na timu yake atuambie itanyesha hainyeshi?. tupande au tusubiri maana wengi...
  12. JamiiForums Tanzania Picha hii ilipigwa 1950 mjini Zanzibar

  13. JamiiForums Tanzania Shangaa Serikali inavyoangaika sana na wachuuzi kuwatafutia mikopo wabaki mjini huku mamia ya vijana wakisota na ukame na hawana fidia

    Wana Jf, Serikali kama kawaida ya kupendelea mafundi kama haijui, wale walio kijijini ndio wapiga kura aswa kuliko hawa wachuuzi wa mjini. Serikali ipo radhi kuona nchi inakabiliwa na ukame mkubwa na wakulima vijana hawapati fidia ya vitu walivyovipoteza wakati wanapambania maisha yao na ya...
  14. JamiiForums Tanzania Andaa bajeti ya duka la milioni moja kwenye mtaa wa walalahoi unaotazamana na kilabu cha pombe kilichoko mjini

    Imagine unaishi mjini halafu unataka kuanzisha duka ambalo Lina frem tayari Ila duka Hilo linatazamana na kilabu cha pombe za kienyeji japo cha kisasa Ila wewe una mtaji wa milioni moja hebu sema utanunua vitu gani? Ambavyo unadhani piga ua hapo lazima vinunuliwe Ila pia kuna kijiwe kikubwa cha...
  15. JamiiForums Tanzania Soko la Mbeya liliungua miaka zaidi ya kumi na halijajengwa, ila la Kariakoo limeungua juzi tu limetengewa bilioni 34

    Hii imekaaje. Ni kwamba serikali inafanya miradi yake kwa upendeleo?
  16. JamiiForums Tanzania Kuanzia Novemba Mosi Bajaji na Bodaboda marufuku kuingia Mjini

    Ifikapo tarehe 1/11/2021 bodaboda na bajaji zote marufuku kuingia mjini na wale waliokua mjini watoke wote isipokua bajaji za walemavu. Agizo hilo limetolewa na Abdi Issango, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Mkuu wa Usalama Barabarani Kanda Maalumu ya Dms. #PbOnSaturday
  17. JamiiForums Tanzania Nimesikitika sana kuona watu wanafurahia wamachinga kufukuzwa mjini

    Inasikitisha sana kuona Mtanzania mwenzio anabaguliwa kwamba yeye hafai kukaa mjini akakae huko mbali ajifiche na mjini ni kwa watu wenye uwezo fulani halafu wewe unafurahia eti sababu haikuhusu, imeniuma sana. Viongozi acheni ulimbukeni hata Ulaya machinga wapo. Pia katika hao machinga wengine...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Baada Ya 'Machinga' Kukiona cha Mtema Kuni..! Bodaboda Wa Mjini Kati Kaeni Chonjo

    Wahenga Wana msemo Wao... 'Mwenzio Akinyolewa Wewe chako Tia Maji'. Tamko la Kuondolewa Machinga Likiendelea kwa Kasi huku Mabanda Sehemu Mbalimbali Yakiendelea Kuvunjwa Jijini Dar Kwa Mzee Amos Makalla. Ni Vema Bodaboda wa mjini Kati Wajiandae Kisaikolojia maana Chochote Kinaweza Kutokea...
  19. JamiiForums Tanzania Ndoto za kuishi Tanga mjini

    Mambo vipi Wana Jamii...... back to the Point, mimi nishapita umri wa ujana. nipo jiji hapa, nimetembea tembea sana Mambo vipi? Wana Jamii. back to the Point, mimi nishapita umri wa ujana. nipo jiji hapa, nimetembea tembea sana Mbeya, Arusha Moshi Dodoma Mwanza na Tanga PLUS Unguja na...
  20. JamiiForums Tanzania Arusha jiji wajengewa hospitali ya kwanza yenye hadhi ya Jiji ya kisasa EAC, Watali sasa kutibiwa Tanzania badala ya Kenya

    Rais Samia Suluhu Hassan aanza kuzindua miradi ya awamu yake, Mmoja kati yake ni Hospitali ya kisasa ya 2.5bl Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan anazindua mradi mkubwa wa Hosptali ya kwanza ya Jiji iliyopo maeneo ya Njiro Jijini humo ujenzi wake umegharimu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…