mizimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hakuna Kocha Aliemdharau Mchezaji kutoka Afrika na mizimu ya Kiafrika ikamuacha salama, TUCHEL waulize Pep na Klopp

    Tuchel anachopitia ni Adhabu kutoka kwa Mizimu ya Mababu wa Sadio Mane na Mizimu ya Kiafrika. Huwez ukaamua ugomvi ule wa SANE na MANE kwa dharau Vile,.. Muulize Klopp alimdharau MANE hakufuzu UEFA yupo huko anapigania kombe na Team kama MACCABI HAIFA Pep Alimdharau YAYA TOURE kahangaika na...
  2. B

    Nguvu za giza na mizimu ya ukoo

    Habari wana JF, mimi ni new member ningependa mnikaribishe katika Jukwaa letu. Mimi Ni kijana wa miaka 30’s, kwa mda wa miaka 3 nimekua nikisumbuliwa na Nguvu za giza na Mizimu ya ukoo ambayo imepelekea kuharibu dira ya maisha yangu, nilianza na kuumwa homa za ajabu ajabu, mwili kuchoka...
  3. Waafrika ni muda sasa wa kurudia kuabudu Mizimu yetu

    Rejea kichwa cha habari tajwa hapo juu. Dini ndio chanzo cha matatizo mengi Duniani. Katika Dunia ya leo raia wanakosa ushirkiano tu kwa sababu wanatofautiana Kidini, Mkristo anambagua Muislamu na Muislamu anambagua Mkristo. Na ubaguzi wa kidini hauzungumzwi sana ila kiukweli ndio unaotendeka...
  4. Kwanini vimbunga huzunguka kinyume cha saa ("anticlockwise") katika hemisifia ya kaskazini ("clockwise") katika hemisifia y

    Kwa nini vimbunga huzunguka kinyume cha saa ("anticlockwise") katika hemisifia ya kaskazini na kama saa inavyozunguka ("clockwise") katika hemisifia ya kusini? Au, kwa maneno mengine, kwa nini vimbunga huzunguka kinyume cha saa huko Marekani na kama saa nchini Tanzania? Vimbunga huzunguka...
  5. Orodha ya Mizimu iliyoibiwa mkoani Kigoma

    Je umewahi kusikia milango 7 ya kuzimu ya Ziwa tanganyika? sio hadithi za kusikika ni vitu ambavyo vipo na vinatendeka hadi sasa, tutaileta mada hiyo siku zijazo, leo tunazungumzia Mizimu iliyoibiwa hapa mkoani Kigoma. Itakuchukua dk 12 kusoma taarifa za maajabu haya Kwanza fahamu maana ya...
  6. M

    Dar es Salaam ni "Jiji la Mizimu" (Ghost City)

    Wiki iliyopita nilitembelea jiji la Dar es Salaam baada ya kipindi cha takribani miaka 5. Niliingia jijini usiku na nilishangaa maeneo ya katikati kabisa mwa jiji - Askari Monument, Mtaa wa Azikiwe na Samora hakuna taa za kuangaza mitaa. Mitaa hii maarufu ni giza. Barabara zake zimechoka ila...
  7. A

    Mizimu ya Afrika inatushangaa waafrica

    Moja ya jambo la ajabu so TANZANIA bali takribani mataifa Yote ya Africa, somo la kiingeleza yaani English ni compulsory ilhali somo la kilimo yaani agriculture ni option. Hivi sisi wa Afrika nani alieturoga. Mizimu inaumia sana inap ona hivi vituko.
  8. Maloto: Mizimu gani itakuibukia kwenye kitanda cha mauti?

    MIZIMU GANI ITAKUIBUKIA KWENYE KITANDA CHA MAUTI? SIJAWAHI kuchoka kuitazama hotuba ya gwiji, Denzel Washington, katika mahafali ya Chuo Kikuu cha Pennsylvania mwaka 2011 - Penns Commencement Speech 2011. Jina la hotuba ni “Fall Forward” – “Anguka Mbele". Maisha ni mwendo. Pambana na ujaribu...
  9. N

    SoC03 Treni ya mizimu

    Moja kati ya visa ambavyo bado vinaumiza vichwa vya watu mpaka leo hii ni kisa cha Treni Moja ya Kampuni ya Zannetti. Treni ambayo inadaiwa kupotea miaka ya 1800’s na imekuwa ikionekana kwa baadhi ya vipindi vya miaka, huku mara ya kwanza Ikionekana miaka takriban 60 baada ya...
  10. Watanzania wenzangu tuachane na dini za kigeni tugeukie mizimu na matambiko yetu

    Watanzania wenzangu naomba mniunge mkono tuachane na hizi dini za kuletewa na meli ndege na majahazi! Kama miaka mia iliyopita walitufundisha kuoa mwanamke mmoja tu tena hakuna kuachana mpaka kifo kitutenganishe tuliwaelewa japo kishingo upande tukauweka pembeni urijali wetu wa kuoa wanawake...
  11. Kolo Muani na Kylian Mbappe watimiza matakwa ya mizimu ya babu zao waliolala Cameroon na Congo

    Jana mchana niliposema Waafrika tulimtuma Kolo Muani kuwapiga kibao Morocco kwa kusema wao sio waafrika na leo tunamtuma Kylian Mbappe kuwapiga ngumi Argentina ilionekana ni kama jambo jepesi lakini lilibeba maana nzito ya kiulimwengu! Waargentina waliwatesa Waafrika miaka ya 1870 hadi 1900 na...
  12. Watanzania wengi hizi dini zipo kujisafisha tu, watu wengi bado wanaendelea kwenda kwa waganga na kuendeleza matambiko ya mizimu

    Ndiyo asili ya Waafrka wengi, huwezi kumtoa mtu asili yake kirahisi rahisi. Watu kibao nimewaona na chale za kwenye matambiko, niliwahi kuifanya kazi fulani iliyoweza kunipa access ya kuwaperuzi wanaume kwa wanawake wakiwa vifua wazi, ysani ni wengi tu wanazo chale za matambiko ama waganga...
  13. Mizimu

    MATATIZO YA IMANI ZINAZO PENDWA Je wale wanao amini kuwa mwanadamu (roho) anajitambua baada ya kifo wanaweza kukataa kile kitakacho onekana kuletwa kwao na hiyo roho?? Imani kwamba roho za wafu zinarudi kuwahudumia walio hai inafungua mlango kwa ajili ya imani ya kisasa ya mizimu. Ikiwa wafu...
  14. Mizimu inapata wapi nguvu za kuleta mvua?

    Halafu mtu akifa anageuka kuwa mzimu, kesho mnaenda kumuomba alete mvua, huu upuuzi tumeupata wapi? Mfu anapata wapi Nguvu za kuleta mvua?
  15. PSU kuna manahodha wa meli/boti?

    Rais Samia Suluhi Hassan leo alitumia usafiri wa boti kutoka Zanzibar kuja Dar Es Salaam. Je, huko kwenye Idara ya Ulinzi wa Rais kuna ambao ni manahodha wa boti au meli? Ambapo ikitokea Rais anatumia usafiri wa maji basi waweze kumuendesha? Maana safari za namna hizi za Rais kutumia usafiri...
  16. Arumeru: Wandishi wa habari wapigwa mawe na mizimu na kutimka mbio. Mawe hayajulikani yanatoka wapi. Yanamwagika kama mvua

    Waandishi wa Habari mkoani Arusha wametimuliwa kwa kupigwa na mawe ambayo hayajulikani yanapotokea katika Kijiji cha Kiwawa Wilayani Arumeru, ikiwa ni baada ya waandishi hao kufika kwenye eneo hilo kufuatilia taharuki ya wananchi kupigwa kwa mawe yanayohisiwa kurushwa na mizimu.
  17. Ziara ya Marekani isipotupaisha uchumi wa juu tutaishitakia mizimu

    Ziara ya mkuu wa nchi anayondelea nayo nchini marekani zaidi ya wiki sasa ni nzuri sana ila ni lazima tuseme ukweli haitatuletea mapinduzi ya kiuchumi na nchi yetu kuwa na uchumi wa hali ya juu kama baadhi ya nchi za Afrika. Ziara ya zaidi ya wiki moja ni kitu kikubwa sana kwa mtu ambaye...
  18. Watakatifu ni wazungu waliokufa zamani. Waafrika waliokufa zamani eti ni mizimu

    Ni upumbavu wa hali ya juu wazee wetu waliotangulia mbele ya haki kuitwa mizimu halafu wale wazungu kuitwa watakatifu, nakereka sana. Utasikia mtakatifu Yohana utuombee. Halafu sisi tukiwaambia wazee wetu watuombee mnasema tunaabudu mizimu. Halafu sipendi kabisa mnavyosema sisi ni wapagani...
  19. Jinsi mizimu ya ukoo ilivyonifanyisha Mambo ya kustaabisha baada ya kukataa kupokea mikoba ya waungwana.

    Mwaka 2005 nikiwa nimezama kwenye imani kali ya ulokole, hapo nikiwa kiongozi wa Ukwata na pia kiongozi wa kiroho kwa vijana wa mtaani kwetu (nilikuwa napita majumbani, naongea na wazee waniruhusu niwafundishe maadili mema watoto wao ikiwemo kazi za nyumbani na za kitaaluma). Kutokana na tabia...
  20. Pamoja na usomi wangu siachi matambiko na mila ng'oo

    Mimi na uislam wangu, na uchaga wangu, na usomi wangu siachi matambiko Huu ndio ukweli unaotusumbua watu weusi, Wazungu wana dini yao, Waarabu wana dini yao, Wahindi wana dini yao, Wachina wana dini yao, na wanaziishi dini zao, ila cc waafrika tulizikataa dini zetu. UPOTOSHAJI KUHUSU MIZIMU YA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…