mizimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MamaSamia2025

    Wakristo na watu wa dini ya MNYAAZ tunaabudu mizimu.

    Tunakataa kufanya matambiko na kuabudu mizimu yetu ila tuko bize kuabudu mizimu ya kizungu na kiarabu. Hii sio sawa. Tujisahihishe.
  2. M

    Hivi! Watanganyika ni watu au mizimu watu?

    Hawajui baya na zuri, zuri kwao ni baya, na baya kwao ni zuri! Samahanini Watanganyika kwa swali hili Ukisema Watanganyika ni watu Utaje na sababu zake Ndiyo maana mtu anaweza kuwatoa sadaka wote kabisa kwa miungu yake na msifanye chochote Kwamba Bandari tuliwapa wawekezaji, wawekezaji...
  3. Just Pray

    Yericko Nyerere: Ninaabudu mizimu, siabudu dini zilizoingilia Posta, Kilwa au Bagamoyo

    Yericko Yohanesy Msambila Mkana Nyerere Mwanachama wa kweli wa CHAUMMA anasimama kidete na kuweka wazi kuwa yeye hana dini na kimbilio lake ni mizimu kwa sababu ndiyo chimbuko lake.
  4. GENTAMYCINE

    Na Wewe pia unaondoka lini Simba SC Kwetu kwani licha kwamba una Nuksi Isiyotibika kwa Mizimu yote lakini binafsi nakujua Wewe ni mwana Yanga SC 100%

    Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally amesema kocha wa kikosi hicho Fadlu Davids anahusika moja kwa moja na kutoongezwa au kuvunjwa kwa mikataba kwa baadhi ya wachezaji wa klabu hiyo wakati huu ambao wanajiimarisha kuelekea msimu ujao Akizungumza leo jijini Dar es Salaam, Ahmed...
  5. S

    Mizimu ni vitu gani?

    Je, kuna mtu anaweza kuleta ushahidi kuwa Mizimu ipo?
  6. The redemeer

    Laana ya mizimu na hatari katika maisha yetu hakika nyota zetu zipo kuzimu

    LAANA YA MIZIMU NA HATARI KATIKA MAISHA YETU HAKIKA NYOTA ZETU ZIPO KUZIMU Ifahamike kuwa kila kabila lina utawala wake wa mizimu ambapo utawala huo huwa unateua kuhani wa kuongoza shughuli zao.. Ila kutokana na Mwamko wa Elimu na dini mpya zilizoingia habari za mizimu zimeendelea kupoteza...
  7. Nyafwili

    Enai Na Abes Life

    Sasa Enai anarudi duniani kama binadamu tena, akiwa na jukumu moja kuu la kukusanya vipande 7 vya roho yake kabla ya siku 50 kuisha. . Kijana anayeitwa Enai anafariki ghafla. Kabla ya kuenda moja kwa moja peponi au kuzimu, anakwama katika hali iitwayo "Abes Life" – sehemu ya mpito ambapo roho...
  8. Waufukweni

    FT: Al Masry SC 2-0 Simba SC | Robo Fainali CAF CC | New Suez Stadium | 02.04.2025

    Mnyama Simba SC anaanzia ugenini Misri kwa kuvaana na Al Masry SC katika mechi ya mkondo wa kwanza ya Robo Fainali ya Shirikisho Afrika. Mchezo huu unapigwa saa 1:00 usiku 🏟️ New Suez Stadium Kaa karibu kwa Live updates Vikosi vya timu zote (Team news) Mechi imeanza 4' Mashambulizi kwa...
  9. Forrest Gump

    Ujuaji mwingi wa Waafrika kuhusu mambo ya imani ndio unafanya wao kuwa watumwa kwa watu wengine

    Mbona hatujapata sasa suluhisho la haya yote. Maana ujuzi halisia wa kitu ina maana hauwezi tena kuwa mtumwa wa kitu hicho. Unaweza kuta mtu anaandika kwa uhakika kuwa sababu ya magumu yako ni nyota yako imeharibiwa au dhambi zako lakini unashangaa kuna tajiri mmoja yupo ana dhambi zaidi yako...
  10. J

    Je Mizimu ipo au ni maneno ya Watu

    Je Mizimu Ipo au ni Maneno ya Watu Mizimu ni Nini Mizimu ni maroho wa kuzimu walio wakuu wa giza ambao wanajimilikisha familia, ukoo au eneo ili watu wa eneo hilo wawe chini ya utawala wao na maelekezo yao. Mizimu ni miungu inayowamiliki watu wa familia fulani, au ukoo fulani, au eneo fulani au...
  11. Yoda

    Wanga, wachawi na mizimu huwa hawafanyi mambo yao mchana?

    Kwa nini wanga, wachawi na mizimu huwa kuonekana kwake ni usiku tu? Kila nikisikia stori za haya mambo ni mtu alikuwa amelala usiku, usiku watu walikuwa wanapaa na ungo ndio likatokea jambo, usiku mtu alikuwa anaendesha gari. Majini tu ndio huwa nasikia stori zake yakiwa yanafanya mambo yao...
  12. Melki Wamatukio

    Hali ya kutokewa na mizimu inadhihirisha wazi kuwa kuna maisha baada ya kifo

    Let say somebody you know interiorly has fallen into the bad land (Being burried), baada ya mazishi na maziko, huna hili wala lile umechil, hujavuta bangi, hujanywa pombe, huna stress za ziada ukitoa maziko, unashangaa mwanga huoooo, unaskia sauti "Shiuuuuu", kuangaza kwa umakini huyoooooo...
  13. Mtu wa Majira na Nyakati

    Atheist na watu dini ni kundi moja ambalo halijuani

    Unakuta mtu anajiita Atheist Ila anaamini katika universe na nature Ila haamini kuhusu Mungu mwingine yeye hatambui universe wala nature Ila anaamini Mungu. Ukifatilia hawa wote hawajitambui maana wanafatisha watu wamagharibi wanachokiamini. Binafsi Mimi naamini katika mizimu na karma. I pray...
  14. Empty container for sale

    Namna ya kuwasiliana na mizimu (ancestors) kwa ajili ya kupata mafanikio au kuweka mambo yako sawa

    Hapa natoa madokezo (hints) kuhusu kujiunganisha na mizimu ya kwenu ili kuweka mambo yako sawa. Tunaanza. 1. Tafuta eneo safi na tulivu Hakikisha Una eneo safi na tulivu ambalo utalitumia Kama madhabu yako kuongea na mizimu ya kwenu ili kupata msaada eneo linaweza kuwa hata chumbani kwako...
  15. OMOYOGWANE

    Niulize chochote kuhusu mizimu

    Habari wakuu, Nipo bariadi gamboshi masomoni nachukua digrii ya uchawi wenye faida. Mizimu ni roho za watu waliokufa. Kila mtu ana mizimu. Mizimu ya upande wa kwa baba na ya upande wa kwa mama (mababu na mabibi wote waliokufa) Mizimu ipo mizuri na mizimu mibaya Kuna aina zaidi ya >200 za...
  16. GENTAMYCINE

    Nahitaji kujua ama Kanisa Wanalosali hawa Mawaziri Wawili au Waganga Wao wa Kienyeji wanaowatumia au Mizimu yao wanayoitumia tafadhali

    1. Waziri Jenista Mhagama 2. Waziri Dk. Mwigulu Nchemba Sitaki Kuulizwa Swali kwanini nimewataja hawa au nimeomba hivi kwani ukiwa na Akili Timamu tu utajua ipi sababu.
  17. Bujibuji Simba Nyamaume

    Hivi watu waliokufa zamani wanapata wapi nguvu ya kutatua shida zetu? Hao kina Yesu, Bikira Maria na Mizimu?

    Najiuliza sipati jibu, labda wenzangu mtakuwa Na majibu. Mizimu inanipaje utajiri wakati nao walikuwa masikini? Yeah Na Bikira Maria hawakuwa matajiri, wanaweza vipi kunipa utajiri? Sawa kina Mwamposa ni matajiri kwa kuwa ni wajanja wa Mjini.
  18. N

    Unayesema tusiabudi MIZIMU hawa mnaoabudu nyie sio mizimu?

    Habari, Afrika tumekuwa kwenye kiza kisichojulikana kwa miongo kadhaa, wachongaji wengi utasikia wakisema msiabudu mizimu ya mababu zenu, mara mizimu inaleta nuksi, mara watu wamefungwa na mizimu ya kwao. Nauliza hivi huyo YESU SIO MZIMU? MAMA MARIA SIO MZIMU? WATAKATIFU TUNAWAOMBA...
  19. K

    Ushirikina Sio Kuabudia Mizimu na Kwenda kwa Waganga tu!!

    Watu wengi wanafikiri ushirikina ni kuabudia mizimu na kwenda kwa waganga kutambika tu. Lakini ukweli ni kwamba hata kumuhusisha mwanadamu na mambo yanayohusu kudura na uweza wa mwenyezimungu ni ushirikina vilevile. Tena huu ndio ushirikina mbaya maana unahusisha dhati na uwezo wa...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    Miungu yetu ilishindwa, Mizimu yetu ikapigwa, Sasa tumekuwa Jamii iliyoanguka na hatuna Tumaini la kusimama

    MIUNGU YETU ILISHINDWA, MIZIMU YETU IKAPIGWA, SASA TUMEKUWA JAMII ILIYOANGUKA NA HATUNA TUMAINI TENA LA KUSIMAMA. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli. Mila zetu, Desturi zetu, tamaduni zetu, utambulisho wetu na kila kilichokuwa chetu kiliitwa Potofu baada ya kushindwa. Upotofu upo kwa...
Back
Top Bottom