Waliotekwa, waliouawa hatuoni wala hatuumi. Ila tumeona miondombinu ikiharibiwa na imetuuma.
Hii haikubali.
-Yaani hotuba zote za wenye mamlaka ya juu katika nchi hazigusii uharibifu wa uhai wa watu. Ila uharibifu wa mali na miundombinu.
-Hotuba hazionyeshi kukubali kuwa wapo waliotekwa, au...