mitumba

The Mitumba Mountain range stretches along the Western Rift Valley in Eastern Congo (DRC), west of lake Tanganyika. The two main peaks, Mount Kahuzi (3,308 m) and Mount Biéga (2,790 m) are dormant volcanoes.

View More On Wikipedia.org
  1. nzalendo

    Nilianza kumuona Kyela akiuza viatu vya mitumba, wiki iliyopita nilikutana nae uwanja wa ndege

    Baadae nikakutana nae kwenye minada ya Shinyanga...Tinde...nikiwa na Grinaker LTA Kampuni ya ujenzi wa barabara, Baadae huyu mwamba akawa analeta mbuzi vingunguti....wakati huo sisi tunakula pombe pale relini... Mwamba kanunua lori kubwa kwa ajili ya biashara zake za kununua mikoani na kuuza...
  2. ndege JOHN

    Wauza mitumba mnatuotea bar nimewashtukia nasitisha nimegundua nguo zenu hatuzivai

    Hii nchi kila kona upigaji yaani mtu anakutegea ukiwa umelewa anakuja na shati lake na suruali eti 10000 anakupigisha stori wee eti anakushushia bei 5000 sijui ndo pombe au anamuonea huruma unaichukua nguo unakwenda kuijaza chumbani huivai kumbe ilikuwa NI ronyo.Nyie watengenaji wa pombe...
  3. Mkunazi Njiwa

    Kenya yaongoza Afrika kuingiza mitumba nyuma ya Nigeria yenye idadi ya raia mara 4 zaidi yake : JPM alitutaka tuwe nchi ya viwanda !

    Japokuwa Tanzania ni nchi yenye idadi ya raia zaidi ya Kenya lakini hatuingizi mitumba mingi. Tafiti iliyofanyika chuo kikuu cha Massachusetts (MIST) nchini Marekani imelinganisha idadi ya raia wa Nigeria kuwa ni mara 4 zaidi ya Kenya lakini nchi hiyo imekuwa ya pili kuingiza MITUMBA nyuma ya...
  4. Sir John Deere

    Marehemu Magufuli angekuwepo leo Tanzania tungekua tunauza nguo zilizotumika (mitumba) nje ya nchi

    Siwezi kusema nausimanga uongozi wa sasa ila nazungumzia tu yale maono na utashi aliyokua nao marehemu. Aliwahi kusema katika hotuba zake huko nyuma kuwa kwanini Tanzania tusipeleke nguo za mitumba wakavae wazungu huko ulaya? Akasema Tanzania tutapanda treni za umeme wazaramo wakipigw picha...
  5. Sir John Deere

    Paul Kagame: Nashangaa Afrika mashariki tunalima pamba na kuuza Nje ila tunaagiza nguo za mitumba kutoka nje

    Baada ya Kifo cha John Magufuli Africa ya mashariki kiongozi imara na mwenye maono aliyebaki ni Paul Kagame Rais wa Rwanda. Akihojiwa na mwandishi wa habari Mario Nawfal hivi karibuni kagame amesikitishwa na kitendo cha Afrika mashariki kuendelea kuingiza nguo zilizotumika maarufu kama mitumba...
  6. R

    Nimevaa sana mitumba ya kurusha, kutumia simu kioo kimepasuka miaka miwili, kutembea kubana nauli, niliyaogopa mapenzi, n.k, Umasikini ulaaniwe

    Nikikumbuka maisha niliyowahi kuyaishi siwezi kuja kumuombea hata adui umasikini, Ni hali inayoaibisha, kukunyanyasa, kushusha heshima, kukutesa, n.k. Nimevaa sana mitumba ya kurusha, kiatu unaenda kutafuta lisaa zima uone chenye nafuu Simu imepasuka kioo miaka miwili sina pesa ya kubadili...
  7. The Father of All

    Tanzania namba 3 kuingiza nguo za mitumba Afrika, yatumia Sh379.9 bilioni

    Tanzania imetajwa kushika nafasi ya tatu ndani ya Bara la Afrika kwa kuingiza nguo za mitumba katika mwaka 2022, ripoti ya tovuti inayojihusisha na masuala ya biashara Observatory of Economic Complexity (OEC) inaeleza. Kwa mujibu wa tovuti hiyo, Tanzania ilitumia Sh379.921 bilioni kuingiza nguo...
  8. Mr Why

    Dhuluma ya viwanda vya kufungasha mitumba China, sababu kuu ya kumzuia mke wangu kufanya biashara ya mitumba

    Wakuu mke wangu alikua muuza mitumba sasa ile biashara huwa wananunua yale mabando ya nguo na huwa linafungashwa mchanganyiko wa nguo tofauti Sasa kwa mara kadhaa kila alipokuwa akifungua ili achague nguo za kufanya usafi ili aanze kuuza huwa alikutana na taka nyingi sana za matambara...
  9. benitus bonifas

    wauzaji wa mitumba naombeni ushauri

    kwa wauza mitumba popote mlipo naomba elimu nianze na nguo gani zinazo toka haraka na zabei ya chini naomben ushauri
  10. Roseyree

    Kwa BuKu 1000 njoo nikupe siri machimbo unayoweza pata mitumba safi na quality za watoto,za wadada bei nafuu nguo kuanzia 300 pga 0625056158

    Hello wapendwa una mtaji mdogo au mkubwa na unataka uanze biashara ya Nguo za mtumba Then karibu nikuhudumie kwa buku tu kukuelekeza na kukushauri kuhusu biashara ya nguo za mtumba Za watoto Za kike Na kiume Bei nafuu Mfano nguo za watoto unapata kwanzia sh 300 , 500 , 1000 wewe tu Nguo...
  11. G

    chupi / boxer za mitumba zipigwe marufuku, ni bidhaa zinazoshusha utu kuliko kuyamudu maisha kiuchumi

    Elimu ndogo ya boxer (Me) na chupi (Ke) Chupi / Boxer inafyata nabidi ifyatuliwe Matone ya mkojo hudondokea Kwa wanaume zinachafuliwa na manii (Bao) Kwa wanawake zina zinagusa Period Chupi ni nguo ya kwanza kupokea hewa chafu Bora uende dukan ununue chupi / boxer za bei chee kuliko original...
  12. Roseyree

    Nauza Magauni ya mtumba, jumla 2500 hadi 3000. Unapata gauni kali

    Hellow wapendwa nauza nguo za mtumba kali Magauni na tops kali pia. -Magauni jumla utapata kuanzia sh 2000, 2500 tu hadi 3000 guys vigauni vizuri mnoo ambayo ukienda kuuza unapata faida kama unataka kuanza biashara karibu Nauza magauni kwa reja reja pia kuanzia sh elfu 7000 hadi 15000...
  13. Kalaga Baho Nongwa

    Wanaouza bidhaa za bei rahisi, sahani za plastiki na yeboyebo au viatu vya bei rahisi, mitumba nje ya dareslaam tukutane hapa

    Wakuu hii ni mada maalum ya kupeana mbinu, updates na kushea uzoefu kwenye biashara hizi za minadani au magulio. Nina plan na mikoa ya nyanda za juu kusini kibiashara. Nataka kupeleka mitumba, vikombe vya plastiki na yeboyebo. Karibuni kwa mjadala
  14. nipo online

    Makambako na Dodoma wapi chimbo sahihi la kubeba mzigo wa nguo za mitumba?

    Tafadhalini wakuu nisaidieni hapa kwa sasa nipo iringa lengo nikajumue kwa bei nafuu hapa iringa gharama kubwa. Asanteni.
  15. Kalaga Baho Nongwa

    Namna nzuri ya kuwa Winga na Pointa wa biashara ya mitumba

    Na Mwalim M. A, Mkombozi (Kalaga baho) Kanusho : Hakuna mgogoro wowote wa kimaslahi utakaojiyokeza kwenye darasa hili endelevu. Ushauri utatolewa bure kabisa na hakuna nia ya moja kwa moja ya kuumiza hisia ya mtu. Asee niaje? Wazee mpo?? Ni vyema kwa kias chake kuendelea kumwaga nondo na...
  16. Bushmamy

    Wafanyabiashara wa nguo za mitumba wagundua aina mpya ya nguo za mitumba zenye gharama nafuu

    Wanawake ambao ni wafanyabiashara wa nguo za mitumba wamegundua aina mpya ya nguo za mitumba zenye gharama nafuu kwa watu wa kupato cha chini. Wanawake hao wamekuwa wakienda Dampo/jalalani kutafuta nguo zilizotupwa na zilizoletwa na magari ya taka na hivyo kuchukua nguo hizo kwa kununua...
  17. Jacky collection

    Jipatie balo za mitumba quality grade one Kwa bei poa

    Habari wanaJf tunauza balo za mitumba Aina zote quality Sana Kwa bei poa kabisa uhakika WA kurudisha ela yako mara mbili ni 95%. Balo zetu ni zakutokea; -UK, Dubai, China, Canada na Korea Tunapatikana Changombe veta Dar es salaam tunapatikana Kwa simu 0692436124 Balo tulizonazo ni kama...
  18. Allen Kilewella

    Jinsi mitumba inavyotuunganisha na watu tusiowapenda!

    Asubuhi ya leo wakati navua raba nilipotoka mazoezini, ghafla lilinijia wazo la ni nani alikuwa anaivaa raba hiyo kabla haijaletwa Tanzania kama mtumba? Nikaanza kuangalia jinsi mitumba ilivyotawala maisha ya Watanzania kwa kiasi kikubwa Sana. Lakini huwa tunajiuliza hiyo mitumba ilikotoka...
  19. navigator msomi

    Natamani sana biashara ya kudaka mitumba na kuitembeza mtaani!

    Wakuu nisaidieni kunipa mbinu,nina ka mtaji kama laki hivi nataka daka mitumba kadhaa na kupita nayo kitaa kuizungusha, Mm ni mgeni mwanza ila nataka hii iwe starting point yangu ya kuijua mwanza, ni eneo gani zuri nitapata hii mitumba na je ni sehem zipi nzuri naweza tembea mitumba yangu...
  20. MIXOLOGIST

    Mpaka lini tutakuwa watu wa vitu vya mitumba?

    Swine Yaani nimekaa sehemu ya uwazi hivi mitaa ya nyumbani jimbo la muheshimiwa Gwaji Boy, kila mchuuzi anapitisha mitumba. Nimeangalia kwenye parking ya magari 80% ni mitumba Nacheck washkaji na mademu wao yaani wana vitambi na putty za kutosha usoni, yaani full mitumba Nimeletewa beer...
Back
Top Bottom