mitandaoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maneno anayotoa Tundu Lissu majukwaani na mitandaoni si ya CHADEMA ni ya binafsi

    Salaàm! * Habari ya kuwa Abdul alimfuata ili ampe rushwa ni maneno yake mwenyewe. JIULIZE Why mwanasheria nguli afuatwe ili apewe rushwa afu asishitaki kwenye vyombo vya dola. * Kutoa, kushawishi ni jinai - sasa iweje ashawishiwe afu asitoe taarifa kwenye mamlaka za kidola? Uzanzibari vs...
  2. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Vyombo vya Habari hasa Televisheni, TV za mitandaoni tumieni Teknolojia ya kubadili sauti kuwa maneno ili msiache nyuma watu wenye ulemavu wa kusikia

    UTANGULIZI: Navipongeza vyombo vyote vya Habari ambavyo vinaendelea kuwa wabunifu katika kurusha matangazo/maudhui mbalimbali ili kuhabarisha jamii kwa kujumuisha mtindo wa tafsiri kwa ALAMA ili iwe rahisi kueleweka kwa watu wasio sikia vizuri au wasiosikia kabisa. KIELELEZO: TBC wakiendesha...
  3. O

    JamiiForums Tanzania Mitandaoni wanatazama urembo badala ya kazi yangu'- Balozi wa vijana AU

    CHANZO CHA PICHA,DIANA CHANDO Maelezo ya picha,Balozi wa vijana Umoja wa Afrika -AUMaelezo kuhusu taarifa Author,Na Esther Namuhisa Nafasi,BBC News, Dar es Salaam Saa 7 zilizopita "Unajua mimi nina macho makubwa, mara nyingi nikiweka kazi zangu watu wanaanza kuuliza kuhusu muonekano wangu...
  4. JamiiForums Tanzania Kuweni makini na wauza vifurushi wa mitandaoni

    Nikiri nimechagua kuibiwa kibwege kabisa. Niliona mtu mmoja anayetangazwa na KIGOGO2014 huko Instagram kuwa anauza bando kwa bei nafuu. Nikamfata inbox kuomba kujua zaidi kuhusu hiyo huduma. Akanieleza huduma ni ya uhakika kabisa, nikaangalia kwenye comment zake sikuona comment yeyote mteja...
  5. JamiiForums Tanzania Nape Nnauye aliyekuambia kuwa wanaoshinda Mitandaoni 24/7 hawachangii katika kuiletea nchi Maendeleo kama uliyoyaona huko Korea ni nani?

    Hivi kwanini mkipata Madaraka na mnapokuwa mbele ya Camera huwa mnakuwa Majuha ( Fools ) sana na Kuboa hivi? === Alichokisema Nape Nnaye: “Lazima tujenge culture [utamaduni] ya kufanya kazi. Hii culture ya watu wanashinda mtandaoni masaa 24, halafu baada ya pale mfukoni hamna kitu, hii culture...
  6. JamiiForums Tanzania Ni site gani nzuri ya online shopping?

    wakuu habari zenu, Naomba kupata uzoefu, ni site gani nzuri ya online shopping,kati ya amazon,ebay, na aliexpress, kwa kununua simu ambayo nitakua na uhakika wa mzigo wangu kufika. Huwa natumia aliexpress kwa kuagiza vimizigo vidogo vidogo, upande wa simu sijawah naomba uzoefu wenu wakuu.
  7. JamiiForums Tanzania SoC04 Wizi wa mtandaoni na jinsi ya kuzuia

    Ili kupunguza uwizi kwa njia ya mtandao wa tuma kwa namba hii ni vyema Serikali kwa kushirikiana na kampuni za mawasiliano kuja na program maalum ya kuwa na limit ya umbali wa kutuma fedha lkn pia kumtaka muhusika kuingiza pia hata NIN ya mtumiwaji inaweza kupunguza utapeli na kuwa na Tanzania...
  8. JamiiForums Tanzania Wabongo kwa kujiita C.E.O mitandaoni utafikiri hata wanajua maana na kirefu cha herufi hizi. Sio mbaya kujiinua ila huu ni ulimbukeni.

    Mara utasoma " The cute baby mama" C.E.O wa Ze Cute Outfits za warembo Mara "Juma aka Simba mkali" C.E.O wa simba fanicha kunduchi" Maana halisi na ya kawaida ya C.EO ni mtu mkuu mwenye jukumu la kusimamia kampuni, ambaye wakati mwingine pia ni rais wa kampuni au mwenyekiti wa bodi. Tena hapo...
  9. JamiiForums Tanzania Hospitali zaanza kutafuta wagonjwa mitandaoni, Wasanii wahusishwa!

    https://www.pc.go.tz/ Shilole ameonekana akitangaza hospitali hiyo hapo kwenye picha na kusisitiza wagonjwa waende na kwamba ni hospitali Bora. Kimaadili si sawa, ni kama hospitai hiyo inataka kupata watu waumwe ili wakatibiwe huko na ni muhimu sana kujua kwamba ni kama ndvyo basi bwana...
  10. JamiiForums Tanzania Zambia: Wananchi wapinga Serikali kuanzisha Sheria ya Kudhibiti Vyombo vya Habari vya Mitandaoni

    Tangazo la Serikali kuitaka Mamlaka Huru ya Utangazaji (IBA) kuongeza Kanuni mpya zitakazodhibiti Uendeshaji wa Vyombo vya Habari vya Mitandaoni limeibua malalamiko ya Wananchi wanaodai zinalenga kuminya Uhuru wa Habari na Kujieleza Baadhi ya Wanahabari na Wanaharakati wamesema "Kuna haja...
  11. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Utapeli mpya uliozuka mtandaoni

    UTAPELI MPYA ULIOZUKA MITANDAONI Habari wana Jamii Forums Kumekuwa na njia mpya ya utapeli mitandaoni ambayo inawaumiza wa Tanzania wengi na pia kuwaondolea uaminifu baadhi yao kwa jamii inayowazunguka. Utapeli umekuwa ukihusisha mtandao wakijamii wa Facebook kama daraja la kufanikisha hao...
  12. JamiiForums Tanzania Makonda piga kazi baba usisikilize kelele za wabaya wanaokuteta mitandaoni

    Mh Makonda piga kazi baba usisikilize kelele za mafisadi wanaokuteta mitandaoni kumbuka kuwa binadamu hata umfanyie jema atakupaka mavi Ni hivi karibuni umeanza harakati za kuwafuata Wananchi na kusikiliza keo zao ikiwemo kutatua lakini mitandaoni humu tunaona watu wakijadili misafara yako...
  13. JamiiForums Tanzania Anayejua kuhusu huyu Roboti wa Tanzania anisimulie vizuri. Naona mitandaoni amekua gumzo

    Kwenu wataalam wa maroboti.
  14. JamiiForums Tanzania Usitapeliwe mitandaoni - Part 1

    CHUKUA TAHADHARI ZIFUATAZO KUEPUKA KUTAPELIWA MTANDAONI MAELEZO KWA VIDEO👇🏽 Na Comrade Ally Maftah KING OF ALL SOCIAL MEDIA Kutokana na hali ya watu kuwa wanadhurumiwa mara kwa mara kwenye mitandao ninaanza kampeni ya kuwasanua watu kuhusu mbinu za hawa matapeli, WAUZAJI WA BANDO Pamoja na...
  15. JamiiForums Tanzania Mitandaoni sio sehemu ya kujibizana na kila mtu

    Katika miaka kadhaa ambayo watanzania tumeizoea mitandao basi tunakutana na watu mbalimbali katika posts zao ama comments ambazo ukizisoma unaweza patwa na hasira kwa jinsi alivyoandika upuuzi. 1.Kuna hawa wanaoandika kuhusu siasa, kuunga mkono juhudi, kutukana wapinzani, kusifia mambo...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanachama wa CCM wamewaacha viongozi wao akiwemo Kinana kushambuliwa mitandaoni bila kuwatetea?

    Mhe. Kinana anazungumza na waandishi wa habari Dodoma. Katika mambo aliyozungumza ni kudai tume itakuwa huru, kudai Rais ana nguvu kwenye kila tume ya uchaguzi Duniani na kudai Chadema wanamepewa uhuru siku chache na wanahubiri chuki. Katika haya yote hakuna linaloonekana kuungwa mkono X na...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Watakatishaji fedha wanaotoa mikopo mitandaoni wanalindwa na nani? Wanapata wapi pesa za kukopesha watu wasiowafahamu?

    Tanzania kuna mtandao mkubwa umeibuka wa utakatishaji fedha unaoongozwa na wanasiasa na viongozi wa umma wanaokwapua fedha za walipa kodi zisizo haki yao. Kutokana na watu hawa kupata fedha wasizo na uchungu nazo wametengeneza application zakutoa fedha online kama mikopo. Masharti yao...
  18. JamiiForums Tanzania Kuna video inasambaa mitandaoni, kiingereza kwa Watanzania wengi ni shida sana!!

    Mdada ni Mnigeria ana pikipiki zile za masafa marefu, yupo mpakani kasimamishwa na wana mamlaka wetu. Wakaanza kuongea nae kiingereza, aibu nimeona mimi. Mdada ana camera kaifunga nadhani kwenye pikipiki so alikuwa anarekodi matukio na kuyapost mtandaoni. Tusomeshe watoto jamani dunia ya sasa...
  19. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kamati ya maadili ya CCM yamuonya Makonda, yadaiwa baada ya ile hotuba yake matusi juu ya Rais wetu yalizidi kuzunguka mitandaoni maradufu

    Kwenye korido za makao makuu ya CCM Dodomana Lumumba,kuna tetesi kuwa kamati ya maadili imemuonya Makonda aache koropoka . Hiko hivi,watu wengi hawakuwawakijua kuwa mama yetu anatukanwa huko mitandaoni lakini baada ya ile hotuba watu wengi walianza kufuatilia ,hayo matusi dhidi ya mama huko...
  20. JamiiForums Tanzania Kuna shida ya kupambana na matapeli mitandaoni

    Nimepitia report ya Mamlaka ya mawasiliano ya past three months(iliyotoka mwezi huu) report Nimeona kitu cha ajabu sana , kila report hizi za TCRA zikitoka , mikoa miwili ya Rukwa na Morogoro inaongoza kwa utapeli mitandaoni , kuna maswali magumu sana najiuliza 1. Taasisi zinazopambana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…