mitandao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    Umewahi kublokiwa na akaunti ya kiongozi yupi Mtandaoni?

    Wakuu! Kuna tabia inashamiri kwa kasi ya akaunti za Viongozi wa umma kublock, mute na kufungia comments Sasa wananchi wanatoaje mawazo yao? Kama hutaki comments unapost kwanini? Watu wawe na uvumilivu, tusinyamazishane! Umeweka post subiri comments! Viongozi wakumbuke watu hawafanani na...
  2. W

    RC Chalamila: Nikupe pole Rais Samia, wapo watu kazi yao kufitinisha Serikali na familia yako kwa maslahi binafsi

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila asema kuwa kuna watu wachache kwenye mitandao wanaacha mambo ya msingi na kuishambulia familia ya Rais, alitaka kanisa liombe ili adui ashindwe. "Wapo watu katika Taifa kazi yao ni kuzungumza uongo unaofitinisha Serikali, Unaofitinisha Familia na...
  3. PreGE2025 CCM Dodoma: Mkingeni Rais Samia dhidi ya mashambulizi mitandaoni

    Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, Jawadu Mohamed amewataka Watanzania na WanaCCM kumkingia kifua Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan dhidi ya mashambulizi yoyote anayoyapata kupitia mitandao ya kijamii Jawadu ameyasema hayo Jumanne Juni 3, 2025 Jijini Dodoma...
  4. W

    Uzi Maalum wa kutambua namba za mitandao ya simu Tanzania 📶

    Watu wengi hupata changamoto kujua kama namba fulani ya simu ni ya Vodacom, Airtel, Tigo, Halotel au TTCL. Karibu tushirikiane kujuzana namba za mwanzo za kutambua mtandao, Tuzikusanye zote na kuweka orodha kamili VODACOM: 0754, 0755, 0743, 0745, 0746, 0769 TIGO: 0710, 0712, 0713, 0714, 0715...
  5. D

    AIBU KUBWA SANA: Hawa ndio Wakurugenzi wakubwa wa Makampuni ya mitandao ya simu Afrika Ya Mashariki. Hakuna Mtanzania hata mmoja

    Wakurugenzi Wakuu (CEOs) wa Makampuni ya Mitandao ya Simu Tanzania, Kenya na Uganda. Tanzania. 1. Vodacom - Philip Besiimire - Uganda 2. Airtel Tanzania - Charles Kamoto - Malawi 3. Yas - Pierre Canton-Bacara - France 4. Halotel - Nguyen Tien Dung - Vietnam Kenya 1. Safaricom - Peter Ndegwa...
  6. Baba Mtakatifu Leo XIV ameandika kwa Kiswahili Kupitia Mitandao yake ya Kijamii ya Instagram na X, kuwashukuru Waafrika

    Baba Mtakatifu Leo XIV ameandika Kupitia Mitandao yake ya Kijamii ya Instagram na X, kuwashukuru Waafrika. "Bara la Afrika linatoa ushuhuda mkubwa kwa ulimwengu mzima. Asante kwa kuishi imani yenu katika Yesu Kristo. Ni jinsi gani ilivyo muhimu kwamba kila mbatizwa ajisikie kuitwa na Mungu...
  7. Kuepuka usumbufu, nakushauri usitume pesa kutoka Tigo/Yas kwenda mitandao mingine kuanzia saa 12 jioni. Be informed

    Yani tangu Tigo iwe yasi kuna mambo mengi ya kukera lakini kubwa zaidi ni changamoto ya kutuma pesa kutoka Tigo kwenda mitandao mingine has ikifika usiku. Imagine unatuma pesa, kisha wanakwambia usubiri masaa 72 ndio utapata majibu kama pesa itarudi au itafika kwa mhusika. So kujiepusha na...
  8. Wanaotuma na kupokea pesa kwa mitandao ya Simu waongezeka

    WANAOTUMA NA KUPOKEA PESA KWENYE MITANDAO YA SIMU WAMEONGEZEKA Sekta ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imeendelea kukua ambapo takwimu zinaonesha kuwa laini za simu zilizosajiliwa zimeongezeka kutoka milioni 73.5 kwa mwezi Aprili, 2024 hadi laini milioni 90.4 mwezi Aprili, 2025 sawa na...
  9. Huyu Mbunge wa Kenya Anatrend kwenye mitandao.

    Mbunge wa Kenya Anatrend kwenye mitandao, hasa huko Nigeria. https://youtu.be/tBy_aGjSDro?si=jRPx2M-pLfpGBtyu
  10. Nawezaje kupata mitandao ya kijamii ya mtu kwa kupitia picha yake.?

    Kuna some people nimepoteza contacts zao ila nina picha zao nahitaji kuwapata kupitia facial recognition
  11. Mitandao Inakula Wakati Wako, Haikupi Hata Mia – Tafakari!

    Siku hizi, watu wengi wanashinda kutwa nzima wakibenua simu, wakipiga scroll mitandaoni hadi vidole vinachoka – lakini mwisho wa siku hawana hata shilingi mia mfukoni, achilia mbali wazo moja jipya la kujiendeleza. Unamuona jamaa anaanza asubuhi na “Good morning fam!” halafu anapotea kwenye...
  12. Nimeanza kushuku kama hawa watu wa mitandao ya simu ni wasanii waliokosa kazi Bongo Movie

    Nimeanza kushuku kama hawa watu wa mitandao ya simu ni wasanii waliokosa kazi Bongo Movie, wakaamua kutu-actia. Maana sasa hivi ukiwa na bundle ni kama uko kwenye uhusiano wa long distance—upendo upo, mawasiliano hayapo! Unaamka asubuhi, unacheki simu: “Huna salio la kutosha kutuma ujumbe huu.”...
  13. Nachukizwa sana na baadhi ya nchi zinazoadhibu mitandao ya kijamii kwa kisingizio cha kuvunja Sheria, madhumuni ya nchi hizi ni kudhoofisha teknolojia

    Meta inatishia kufunga Facebook nchini Nigeria kutokana na kutozwa faini kubwa Watu nchini Nigeria wanaweza kupoteza ufikiaji wa Facebook na Instagram baada ya kampuni mama ya Meta kusema ilikabiliwa na faini kubwa na matakwa ya udhibiti "yasiyo halisi" kutoka kwa mamlaka ya Nigeria. Mwaka...
  14. R

    Aliwahi kuwa star kwenye mitandao, kapotelea wapi huyu mwamba

    CHIKUMBALAGA
  15. Kwanini transaction fee kati ya mabenki na mitandao ya simu ni kubwa sana?

    Wakuu hawa watu ni kama wana ugomvi, ukitaka kutuma hela kwenda bank au bank kuja kwenye simu lazima ushtuke, gharama zake hazina tofauti na kutoa hela kwa wakala i.e Mpesa! Kwa mfano mtu anayetuma mil 1 anakatwa mpka 11k wakati hela hiyo hiyo kutoka bank moja kwenda nyingine wanakata buku tu...
  16. Mitandao ya simu Voda, Airtel Yas waanze kutafuta mashamba ya kulima.

    Elon Musk enables satellite calls on iPhones and Androids worldwide. Elon Musk has once again made waves in the tech world, this time with a groundbreaking advancement that could forever change mobile connectivity. Starlink, his satellite internet service, is set to enable satellite calls on...
  17. Video : Popoma anazidi kutrend kwenye mitandao ya kijamii

    Watu wa kanda ya ziwa huwa nawakubali Sana jinsi wanavyo ongea. They are so funny. Check video ya huyu popoma kutoka kanda ya ziwa inavyo trend. Tunasubiri interview kama Abass Chionda.
  18. Kuna shida gani kwenye mitandao ya simu kwa sasa, Je tupo salama?

    Hali ya usalama wa mali za raia inatia wasiwasi sana kwani kwa sasa mfululizo wa jumbe za utapeli umekuwa kwa kasi sana. Linalotia shaka zaidi ni pale unapokuwa mtu wa kufanya transactions mob maybe depositing au withrdrawing basi punde baada ya muamala ujumbe wa “Tuma kwenye namba hii”...
  19. DOKEZO Responded Kwa zaidi ya 10 hrs sasa tangu jana mitandao na benki zote zinagoma ku-access malipo ya LUKU, hii shida ni kwangu tu?

    Jana jioni majira ya saa 11 Jioni nilitaka kufanya malipo ya king'amuzi kupitia benki flani mtandao ukawa unagoma kukamilisha muamala huo, nikajaribu benki nyingine shida ikawa ni ileile. Nikajaribu kununua umeme shida ikawa the same kwenye benki tatu tofauti, nikajaribu kununua kwa simu pia...
  20. W

    Huwa unazingatia vitu gani unapotumia Mitandao ya Kijamii?

    Mitandao ya kijamii siyo tena sehemu ya kujipost tu au kufanya mawasiliano na watu. Kuna fursa mbalimbali zinazojitokea ukiamua kufanya maamuzi sahihi ya Mitandao kama vile kufanya biashara, kuwa "influencer" au "content creator" KANUNI AU "ETIQUETTES" ZA KUZINGATIA UKIWA UNATUMIA MTANDAO...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…