mitaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    KERO Barabara za Mitaa Wilaya ya Ubungo zimegeuka Machinjio ya vyombo vya moto, fedha za Matengenezo ziko wapi?

    Barabara nyingi za mitaa katika Wilaya ya Ubungo zimegeuka machinjio ya vyombo vya usafiri na chanzo kikuu cha hasara kwa wananchi, huku mamlaka husika zikionekana kushindwa kutoa suluhisho la kudumu. Katika Kata za Kimara, Makoka na Saranga, mashimo makubwa, matope na mifereji mibovu vimekuwa...
  2. Lycaon pictus

    Serikali inaweza kutengeneza ajira nyingi kwa kujenga barabara za mawe na zege kwenye mitaa ya miji na majiji

    Moja ya sekta kubwa inayochangia GDP na kutoa ajira nyingi ni ujenzi. Nchi yetu, miji na majiji mengi yana barabara mbaya za mitaa. Tunaweza kuboresha barabara hizo kwa kutumia mafundi wa ndani, materials zote za ndani, bila kugusa forex yetu kwa kulipa wakandarasi wa nje na kununua vitu kama...
  3. N

    KERO Mitaa ya Mbagala Kuu tuna kero ya takataka, ni zaidi ya miezi mitatu hakuna gari la taka

    Kero ya matakataka Mitaa ya Mbagala Kuu ni zaidi ya miezi mitatu sasa hakuna gari la taka lilopita mtaani kwetu. Matakataka yamezagaa na ukizingatia sehemu za wazi ambazo Watoto wanacheza, Serikali ya Mtaa haijachukua maamuzi yoyote. Ni hatari kwa afya. Maeneo ya Mbagala Kuu ni Mitaa ya Mbagala...
  4. A

    KERO Wakazi wa Goba, Mitaa ya Nasary & Mwanzo tunapata maji mara 3 au 4 kwa mwaka

    Sisi wakazi wa Goba Mitaa ya Nasary & Mwanzo tuna kero kubwa ya kukosa maji, unakuta tunapata mara 3 au 4 kwa Mwaka😢 wakati ambapo mitaa ya jirani wao wenyewe wanapata walau mara moja kwa mwezi. Hii hali inatuumiza sana kwa kuwa kuna muda tunalazimika kununua madoza ya maji hadi kwa Shilingi...
  5. JF Member

    Kariakoo; Na majina ya Mitaa

    Kwanini baadhi ya Mitaa imepewa majina ya lugha/kabila afu baadhi ya lugha/makabila hayana Mitaa. Mfano.. Kuna Mtaa wa Nyamwezi, Sukuma, Swahili n.k ila hakuna Mtaa wa Kurya, Kinga, Makonde n.k.?
  6. Ponjoro wa Kinondoni

    Wanajeshi wa JWTZ wapewe kazi za kufanya usafi wa mitaa

    Waokote takataka zote na kupeleka dampo, wasafishe mitaro yote kando ya barabara, wasafishe vyoo vya stendi, sokoni na kwenye maeneo yote ya umma. Mshahara ni huo huo wanaolipwa unatosha, kwakuwa, nchi inalindwa na jeshi la polisi, wao watusaidie kwenye usafi na yeyote atakaye kaidi akabidhiwe...
  7. The Magnifico

    GE2025 Mitaa ya Dar usiku huu ni shwari kabisa, panapokuwaga na foleni leo peupe peeh!

    Na kesho mida kama hii, natumai mama atakuwa ameshatangazwa mshindi kwa kishindo cha mbwa koko. Mimi nilikuwa navishangaa vyombo vya ulinzi vilikuwa vinahangaika nini, maana nchi nyingi wananchi wake hawana vinasaba vya maandamano, na mojawapo ni Tanzania. Sasa tufunge mikanda kwa miaka...
  8. Victor Mlaki

    Utawala wa Rais, Samia Suluhu Hassan unastahili kongole kwa barabara za Mitaa na taa za barabarani

    Moja ya jambo zuri linaloipendezesha miji mingi Tanzania ni uwepo wa barabara nzuri za mitaa zenye taa za barabarani. Hakika Utawala huu kwenye suala hili umejitahidi sana kwa sababu mitaa yetu sasa imekuwa na hadhi nzuri pamoja na muonekano maridhawa. Biashara ndogondogo zinazofanyika usiku...
  9. JanguKamaJangu

    Kuna Jengo limeshika moto Mitaa ya Aggrey na Sikukuu - Kariakoo muda huu (Agosti 31, 2025)

    Jengo la ghorofa ambalo linaendelea kujengwa limeshika moto majira ya Saa Sita Mchana wa leo Agosti 31, 2025 katika Mitaa ya Aggrey na Sikukuu, Kariakoo, ambapo Jeshi la Polisi limefika na linaendelea na jitihada za kuuzima moto huo.
  10. R

    Kutoka mitaa ya siasa- Soma kwa makini: Memorundum of Undestanding "MoU" kati ya CCM na CHAUMMA

    "....TULIKOTOKA NI KARIBU SANA KULIKO TUNAKOKWENDA......" Kwanini??? Samahani ndugu yangu: Umenichekesha sana karibu nipasuke mbavu. Kwanini unauliza majibu? Hivi hujui kuwa katika "MoU" ya CCM na CHAUMMA ilikuwa na kipengele cha CCM kuwaachia majimbo CHAUBWABWA? Viongozi wa cha CHAUBWABWA...
  11. ubuntuX

    Kero ya watu kudrift magari yao kwenye mitaa ya raia.

    Habari wakuu?hivi kuna sheria au ni makosa watu kudrift magari yao ile kuzungusha gari kwenye barabara ya kawaida. Je nikichukua jiwe na kurushia lile gari na kupasua kioo itakua ni kosa?naweza kushtaki wapi? Huku kwetu mwananyamala kuna wadau wa magaari yao wanakuja mtaani na kudrift magari...
  12. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Nimeenda mitaa kadhaa hapa kahama ukifika kijiweni wee sema tu CCM HAINA USHAWISHI TENA Kisha Endelea kunywa kahawa Yako.

    Ni dhahiri kabisa ccm watu hawapendi hata kidogo kabisa wiki iliyopita nilikuwa geita basi nilikuwa nikifika kijiweni natupia tu Ccm Haina mashiko/ushawishi kabisa Kwa Sasa halafu natulia kuskilizia....mada ilikuwa inadakwa juujuu na inakuwa ya moto kweli.... Japo kwenye kundi la mamba kenge...
  13. Mhaya

    Range Rover Iliyoibiwa UK Imeonekana Kwenye Mitaa Ya Jiji La Dar es Salaam, TZ

    Raia mmoja wa Uingereza amechapisha kwenye kundi la Facebook kuhusu gari lake aina ya Range Rover lilipotea miezi kadhaa iliyopita, ambalo sasa limeonekana likiwa Tanzania kupitia kifaa cha GPS alichokuwa amekificha ndani ya gari. Tafsiri kwa udhamini wa google Gari langu liliibiwa kutoka...
  14. C

    Hali ya mazingira katika baadhi ya mitaa ARUSHA... Je? Jamii inazingatia usalama na afya

  15. President of China

    Semina kubwa Songea, Wajumbe zaidi ya 800 wa siasa na Serikali za Mitaa wafikiwa na Mama Samia Legal Aid

    Hii ndio Tanzania ya watu wote. https://www.youtube.com/live/CIfhuj_3bvM?si=hu0-rcS5CnzB9JT9
  16. Echolima1

    IDF wakijivinjari kwenye mitaa ya Jenin ole wako urushe jiwe umekwisha!

    Askari wa Israel wakiwa kwenye mitaa ya Jenin usiku huu hapo wako kwenye mission ya kwenda kulikamata Gaidi.
  17. Bams

    PreGE2025 Rais Samia Awaahidi Wananchi Uchaguzi Mkuu Utakuwa Wa Amani, Huru, na Wa Haki, Kama Ulivyokuwa wa Serikali za Mitaa 2024

    Hotuba ya Rais Samia, jana usiku, pamoja na mambo mengine, aliongelea kuhusu uchaguzi mkuu wa 2025, akisema kuwa Serikali yake itahakikisha uchaguzi mkuu wa 2025 utakuwa wa amani, huru na wa haki. Maneno haya pia Rais Samia aliyatamka mwaka 2024 wakati akiwahamasisha wananchi kujitokeza kwenye...
  18. JanguKamaJangu

    Askari Polisi ni wengi leo Mitaa ya Dar es Salaam, wanaimarisha ulinzi na wanaonekana wapo tayari kwa “kazi”

    Naona ulinzi umeimarishwa mitaa ya katikati ya Jiji la Dar es Salaam, maeneo mengi kuna askari ambao wanaonekana wapo tayari kwa kazi wakiwa na silaha, magari ya maji ya kuwasha, virungu na vingine vingi.
  19. Torra Siabba

    KERO Responded Suala la chemba kutiririsha maji taka Mitaa ya Nyamwezi na Mhonda - Kariakoo, Mamlaka husika zinachukulia poa?

    Kipindi hiki cha mvua hali sio shwari kwenye baadhi ya Mitaa ya Kariakoo, Watu tupo hatarini kupata magonjwa kutokana na chemba kadhaa kutiririsha maji kwenye maeneo ya karibu na biashara zetu sambamba na kwenye njia ambazo watu tunapita, hali hii inaleta kero kubwa. Mfano katika Mitaa ya...
  20. M

    Hawa watendaji wa mitaa na kata wana mamlaka haya?

    Msaada tutani. Kumfungia mtu ofisini kama selo kama anadaiana na mtu,au hajatekeleza jambo fulani na kumuacha humo bila huduma muhimu mf choo?
Back
Top Bottom