Mizizi ya klabu ya Yanga inaweza kufuatiliwa tangu miaka ya 1910, lakini historia iliyotambulika rasmi ya klabu hiyo ilianza mwaka 1935 wakati wakazi wa Dar es salaam , ambao waliwekwa katika kundi la Waafrika na utawala wa kikoloni wa Tanganyika , waliamua kuunda klabu ya soka ili kushiriki...