misikitini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    JamiiForums Tanzania Kwa waislam msalaba ni alama ya laana tuangalie namna unavyotugusa

    Ukisimama au kulala chali na kunyosha mikono yako, unatengeneza msalaba. Ndege zinazotumika kwenda hija ni alama ya msalaba Mitaa tunayokazita kadhilika Nyumba tuishimo mapaa yake yamejaa alama hii Makutano yote yana alama hii Ongeza alama yako ya msalaba halafu tuangalie kweli kama imani hii...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Kwa maendeleo ya teknolojia na sayansi bado tunahitaji vipaza sauti misikitini na makanisani kweli?

    Hoja iko wazi. Naomba niwasilishe.
  3. JamiiForums Tanzania Hivi haya mafundisho ya dini tunayopatiwa misikitini na makanisani na wazungu wanafundishwa mafundisho haya haya?

    Hivi haya mafundisho tunayopewa misikitini na makanisani na wazungu wanafundishwa hivi hivi au kwa wazungu wanapewa mafundisho yao mengine japo dini moja. Kuna vitu ukivisikiliza kwa masheikh au wachungaji haviingii kabisa akilini na mbaya zaidi ukihoji uweze kuelewa na kuondolewa shaka...
  4. JamiiForums Tanzania Mtu akiwekwa kizuizini anaruhusiwa kwenda kanisani ?

    Mtu akiwekwa kizuizini anaruhusiwa kuendelea kuitumikia Imani yake mbele ya umma kama kuendelea kwenda kanisani, misikitini au kwa waganga kulingana na imani yake ? Au anakuwa anapelekewa padri, mchungaji, askofu, sheikh, ustadh au mganga aliko kizuizini?
  5. H

    JamiiForums Tanzania Mungu anatumiaje pesa wanazompa Waafrika makanisani na misikitini?

    Habarini, Viongozi wa Dini wanatunzwa na washiriki maskini wa kanisa na misikiti kwa kuambiwa watarajie muujiza ndani ya wiki! Viongozi wa dini nndiyo wanatumia pesa alizopewa Mungu na waafrika kwaajili ya kununulia majumba na magaari ya kifahari,kuishi maisha mazuri,kununnua kondom,nk...
  6. JamiiForums Tanzania Propaganda: KItabu Cha Abdul Sykes Kinauzwa Misikitini

    Kwa kipindi kirefu kitabu cha Abdul Sykes kilikuwa hakipatikani kwa kuwa nakala zilikuwa zimekwisha (out of print). Hiki ni kitu cha kawaida kwa kitabu kukosekana. Kitabu cha Abdu Sykes ni kitabu kilichozingirwa na ubishani mkubwa toka mara ya kwanza kilipochapwa kwa Kiingereza mwaka wa 1998...
  7. JamiiForums Tanzania Shetani asingekuwepo tungeenda kusali makanisani na misikitini?

    Shetani ametumika kama fursa ya kuingizia watu kipato na kutajirisha watu na mataasisi ya Dini (ukubali ukatae) Nitatoa mfano Kanisa langu la Roman Catholic miaka Ile ya zamani lilikuwa linauza bahasha za ondoleo la dhambi badae mambo ya kabadirika. Ukija kwa walokole shetani anatumiwa kama...
  8. JamiiForums Tanzania Sasa naelewa kwanini UAE wamepiga marufuku harakati za itikadi kali nchini mwao, kuanzia misikitini hadi mitaani. Hii imepelekea nchi kufaidi amani

    Hata siku moja hauwezi kuona dubai imeingilia mgogoro wowote hapo mashariki ya kati. Hata siku moja hauwezi kuona maandamano ya kuunga mkono palestina na hamas nchini mwao Hata siku moja hauwezi kuona dubai inaendekeza itikadi na sera za MUSLIM BROTHERHOOD zilizoleta maafa mashariki ya kati...
  9. JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Godbless Lema zitaanza Kampeni kupitia Misikitini, Uislamu na Ukristo ambao hautendi haki, huo ni unafiki wala siyo Udini

    Mjumbe wa kamati kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Godbless Lema kwenye moja ya Mkutano wake wa hadhara alisema; Waislamu sikilizeni, zitaanza Kampeni kupitia Misikitini, nawaambia mimi najua 'game' zinavyochezwa nchi hii, waambieni hivi kwani CHADEMA wanashida na Msikiti?...Sisi...
  10. JamiiForums Tanzania Ulipo wapo, Serikali ipo na mkono mrefu - Ukitaka siri fanya pekee yako (Kwenye Bar, Makanisani, Misikitini, Kokote wapo) Mange mkwanja tu anatoa siri

    Ukishaitambua Serikali ni nini hakika hutaweza kuanza kuleta mawazo mgando. Kona zote za nchi Serikali inafanya kazi, Sasa hivi serikali inaundwa kila kitu kitakuwa mahali pake. Vijana wa Gen Z watashangaa kuona babu zao wanawasaliti. Wataingizwa kwenye mkenge. Wazee wamekaa kwenye migawahawa...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuna migogoro mingi misikitini, Maimamu wanagongana kwa sababu ya sadaka, vifurushi vinavyoletwa, vijinyama vinavyotoka Makkah

    “Kwenye stahiki za Maimamu mioyo huwa inatuharibika kidogo kuna migogoro mingi misikitini Maimamu wanagongana ukiangalia ni nini ni sadaka, vifurushi vinavyoletwa, vijinyama vinavyotoka Makkah vile vilivyochinjwa yaani ni ugomvi" "Hatuna amani za mioyo yetu, kwahiyo wanasema mkubwa humwambia...
  12. JamiiForums Tanzania Utoaji wa misaada makanisani na misikitini ni kigezo cha kuteulia kugombea ubunge kupitia CCM Moshi Mjini?

    Ibra Line, ambaye ni mtia nia kupitia CCM, anajulikana sana kwenye mitandao ya kijamii akitoa mamilioni ya fedha kama michango katika makanisa na misikiti huko Moshi Mjini. Hii inakuja wakati ambapo amejaza fomu ya kugombea ubunge katika eneo hilo. Swali langu kwa wanamoshi ni hili: Je...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa nini Waislam hawana KWAYA Misikitini?

    MwenyeziMungu NDIYE aliyeanzisha KWAYA KWA mara ya kwanza wakati wa Mfalme na Nabii Dawood. Mwenyezi Mungu mwenyewe anapenda sana kuimba na muimbaji... Sefania 3:17 BWANA, Mungu wako, yuko katikati yako shujaa awezaye kuokoa; Atakushangilia... Atakufurahia kwa kuimba. KWa nini NDUGU zetu...
  14. JamiiForums Tanzania Je, Kwa Nini Masuala ya Uchumi na Fedha Yasifundishwe Kanisani na Misikitini?

    Katika jamii nyingi, nyumba za ibada zimekuwa zikizingatia mafundisho ya Kiroho pekee. Maisha ya Kiroho ni muhimu sana, lakini hayawezi kutenganishwa na maisha ya kila siku, hasa yale yanayohusu uchumi na fedha. Mtu anaweza kuwa mcha Mungu wa kweli, lakini bado akahangaika na madeni au kukosa...
  15. JamiiForums Tanzania Wanaovua viatu misikitini ni masikini

    Trump akitembelea msikiti mkubwa wa Sheikh Zaidi huko Abu Dhabi. Wanauliza mbona huyu kafiri hajavua viatu? Nani alikuambia tajiri anavua viatu? Maskini ndio anaitwa kafiri na sio rahisi kumwingiza msikitini na viatu. Kumbuka hata Papa anazama (ga) msikiti na shoes zake bila wasiwasi.
  16. H

    JamiiForums Tanzania Waafrica muache kwenda makanisani na misikitini bali tusiache kumwamini Mungu wetu!

    Nimeacha kwenda makanisani na misikitini kwa mungu wa warabu na wazungu bali sitapoteza imani yangu kwa Mungu wa kweli wa WAAFRIKA na AFRIKA nzima. WAAFRIKA TUAMKE NA TUJITAMBUE
  17. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini Physics na Chemistry hazifundishwi makanisani na misikitini??

    Kwanini taasisi za elimu (shule za Primary na Secondary) zinajipa majukumu ya kidini?? Mbona taasisi za kidini (makanisa na misikiti) hazijipi majukumu ya kitaaluma (academia) Watoto wanatoka majumbani mwao wakijua wao ni wamoja. Wanaongozana pamoja on their way to school. Watoto wanafika...
  18. JamiiForums Tanzania Hapa harmonize kakosea nini ? ,Kwani huko Misikitini na Makanisani tunafundishwa nini ?

    Nimesoma baadhi ya coments kwenye video kuna comments zijazielewa . Kwani huko Misikitini na Makanisani tunafundishwa nini ? https://youtube.com/shorts/rshL-5gKQWA?si=sxfJ-ai-adqRFYtt https://youtu.be/CcsuxHwzHnM?si=PGHKECduCsGHNkvG
  19. M

    JamiiForums Tanzania Waliongua wapinzani wanaingia misikitini na makanisani?

    Swali. Hawa walioengua wapinzani wanaingia misikitini na makanisani kusali au ni wapagani? Kwa binaadam wa kawaida ambae anaingia misikitini au makanisani hawezi kufanya hivi NIMEULIZA HIVYO KWA SABABU Qur'an inatoa mafundisho muhimu kuhusu kutenda haki hata wakati wa chuki au hisia nyingine...
  20. JamiiForums Tanzania Misikitini waanza kutumia mafuta ya Upako, Sheikh aonekana akinywesha watu mafuta katika ibada

    Sheikh huyu amekuwa akitumia mafuta ya upako na kuwanywesha watu wenye matatizo mbalimbali waliohudhuria swala msikitini.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…