mishahara

  1. I

    JamiiForums Tanzania Nchi 10 za Afrika zenye mishahara mikubwa kwa wafanyakazi wake

    Mishahara inaendelea kuwa sababu kuu inayowashawishi watu binafsi kukubali kazi, na katika nchi nyingi za Afrika, wafanyakazi, hasa wale walio na majukumu ya kulipwa, hupokea fidia ya ushindani. Hii kimsingi inachangiwa na ukuaji mzuri wa uchumi na mahitaji makubwa ya ujuzi maalum. Ripoti hii...
  2. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mishahara kwa watumishi wa Umma Novemba 2024: Kwanini Serikali haikulipa mishahara kwa baadhi ya watumishi hadi leo?

    Naamini JF ni Platform kubwa na hata Rais wa nchi na viongozi wengine wanapitia humu. Naanza kwa kudeclare interest binafsi ni Mtumishi wa umma na mshahara ni haki yangu kama ninavyotimiza wajibu wangu. Nyie matajiri na mabilionea wa JF msiohitaji mshahara uacheni huu uzi na endeleeni na nyuzi...
  3. JamiiForums Tanzania Wafanyakazi na nyongeza za mishahara!

    CCM juu!🙏
  4. JamiiForums Tanzania DOKEZO TAMISEMI Utumishi wameshindwa kuhamisha taarifa za mishahara ya watumishi waliohama

    Kero: Tamisemi Utumishi wameshindwa kuhamisha taarifa za mishahara ya watumishi waliohama. Watumishi wanahangaika Huko na huku bila msaada ,ikiwa mtu amepata UHAMISHO halali kwa Nini zoezi tena lakuhamisha taarifa zake ahangaike kiasi Cha zaidi ya Miaka. Huu ni uonevi kwa watumishi , sio...
  5. JamiiForums Tanzania Mishahara ya Muhimbili kwa muuguzi mwenye certificate ni kiasi gani?

    Hivi muuguzi mwenye certificate Muhimbili anaanza na mshahara kiasi gani?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mishahara ya Miniac company

    H
  7. JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa serikali za mitaa unapewa thamani kubwa namatumizi makubwa ya fedha lakini viongozi hao hawana posho Wala mishahara,

    Wasimamizi wa vituo vya kujiandikisha wapiga kura wanalipwa 350000, kwa mmoja ,kituo kimoja wakiwa wanne ni zaidi ya 1.2m ,kwa nchi nzima ni mabilion ya pesa !! Kwanini mnathamini mchakato na sio ajenda? Mkishawachagua hao viongozi wanaanza kujitolea hawana hata posho Wala mishahara ,ifike...
  8. JamiiForums Tanzania Nanyi Askari mtoshewe na mishahara yenu.

    Nukuu👇👇 Luka 3:14 (KJV) Askari nao wakamwuliza, wakisema, Sisi nasi tufanye nini? Akawaambia, Msidhulumu mtu, wala msishitaki kwa uongo; tena mtoshewe na mshahara wenu. Ni zaidi ya miaka2000 tangu hii sentensi isemwe. Ukisoma vzr mstari huo yohana mbatizaji anaanza kuwaambia Askari maneno haya...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya CHADEMA imeonekana nchi nzima na hofu ya vyombo vya dola ni kubwa sana. Je huu ni ushindi kabla ya mechi?

    Kama ni ushindi, basi CHADEMA walishashinda mechi kabla hata ya mechi yenyewe kuchezwa. Hii mbinu ya kimapambano ni kubwa sana na haijapata kutokea hapa Tanzania. Nimeona polisi kila kona ya jiji na unaweza ukafikiri kuna shambulio la kijeshi linasubiriwa kutoka majeshi ya nchi jirani au...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali isitishe mishahara kwa watumishi waliorudi masomoni ni upotevu wa pesa tena wengine wanahama fani kabisa

    Kuna hii tabia ya watumishi walioajiriwa na serikali kukaa kwenye ajira kwa miaka kadhaa halafu wanaandika barua kwenda masomoni kujiendeleza au wengine wanabadili fani kabisa ,kama alikuwa mwalimu anabadili fani kwenda fani nyingine ambayo kwake ataona inamfaa. Sasa ubaya wa hili jambo ni pale...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Hakuna sehemu wanazolipa mishahara mishahara mizuri hapa Tanzania kama migodini na Depot za mafuta

    Hakuna mahala ndani ya nchi hii wanapolipa vizuri na kujali wafanyakazi wao kama sehemu tajwa hapo juu.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi Mgodi wa CATA Mining Mara waandamana, wakidai Mishahara, NSSF, wamwangukia Rais Samia

    Waliokuwa wafanyakazi wa mgodi wa dhahabu wa CATA MINE uliopo kijiji cha Kyabakari, Wilayani Butiama Mkoani Mara, jana wameandamana kwa mara nyingine kuelekea katika Ofisi za mgodi huo, kushinikiza mwekezaji kuwalipa malimbikizo ya mishahara yao pamoja na NSSF. Wakiwa na mabango yenye jumbe...
  13. JamiiForums Tanzania Hii ndio mishahara ya Wachezaji wa Manchester United Msimu huu 2024/2025

    Struggling star is Man United's highest earner as transfer flop makes the top five - but key midfielder is the LOWEST-paid player in Erik ten Hag's squad Manchester United's wages for the 2024-25 season have been revealed with three players currently earning more than £300,000 a week. Captain...
  14. JamiiForums Tanzania Hizi ndizo taasisi za afya zenye mishahara mikubwa

    1. Osha 2. NIMR 3. Ocean Road 4. NashCop 5. MOI 6. NACP 7. TMDA 8.Muhimbili 9.Benjamini Mkapa hospital 10.MSD 11.Jakaya kikwete Cardiac Institute (JKCI) 12. 13. Kama kuna zingine ongezea NB: uzi uliokuepo hakuongelea sana taasisi za Afya.Taasisi za serikali Usitoke nje ya Rada Pia soma...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali imesitisha nyongeza ya mishahara ya kila mwaka (annual incriment) na tucta ipo kimya tuu

    Mwaka jana mama alitangaza kurudisha ile nyongeza ya kawaida ya kila mwaka baada ya kusitishwa na Raisi Magufuli, Pamoja na kupandisha vyeo wafanyakazi ambapo walikuwa wamesitishiwa .. Tumeona wafanyakazi wakipanda vyeo kwa mujibu wa sheria japo kuna miaka iliyodhulumiwa vyeo Yaani mwaka...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Je, ni wafanyakazi wote wa serikali wamelipwa mishahara mwezi huu wa August?

    Nauliza swali hili kwa lengo la kujiridhisha kuhusiana na taarifa fulani ila kwa sasa naona sio busara kuzitaja ila majibu yatanisaidfia kupata walau picha halisi. Naomba tujuzane kama kuna watumishi ambao bado hawapata mishahara mpaka leo hii.
  17. JamiiForums Tanzania DOKEZO Shule ya Atlas school inatesa waajiriwa wake kwa kutowalipa mishahara

    Hii ni shule ya mtu binafsi ina matawi mawili Madale na Ubungo. Mmiliki wa shule hizi anatumikisha vijana bila kuwalipa anawalisha tu chakula cha wanafunzi na kuwatunza kama wanafunzi ila hawapati posho zao kama wanavyoahidiwa mwanzo. Mtu ameanza kazi miezi mitano bila kulipwa ukidai anakujibu...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka ya Jiji la Dar kuchelewesha mishahara

    Mamlaka ya Jiji la Dar es Salaam hailipi mishahara kwa waajiriwa wake kwa wakati, kwa mfano mshahara wa mwezi May ulilipwa tar 06.0.6.24,Wa Mwezi June ulilipwa tar 02.08.24 mwezi July haujalipwa mpaka leo. Wanaodai mshahara wanatengenezewa zengwe na kufukuzwa kazi.
  19. JamiiForums Tanzania Sheikh Bombo: Viongozi wa Dini tuingizwe kwenye payroll ya Serikali

    Sheikh Ibrahim Bombo kutoka Mkoani Mbeya amependekeza Serikali ianzishe utaratibu wa kulipa mishahara kwa Viongozi mbalimbali wa Dini kutokana na kazi nzuri wanayoifanya ya kulinda amani na kuhamasisha maendeleo Nchini Tanzania ambapo amependekeza kiwango chao cha chini cha mshahara kisipungue...
  20. JamiiForums Tanzania Katibu mkuu kiongozi kiongozi umeshindwa kumshauri Rais kuhusu mishahara ya watumishi wa umma? Tukiibia serikali mtatulaumu?

    Just imagine kwenye harusi moja ya mtoto wa kiongozi mmoja wa serikali ya mapinduzi zanzibar amezawadiwa bilioni 1.5 ndiyo 1.5 bilion hizo pesa zinatoka wapi? Sio kama wizi nini? Mtumishi wa umma unapataje kiasi chotee cha pesa hiko? Hii haikubaliki hata kidogo Yaani haiwezekani mtumishi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…